tarehe 29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Wangapi Tarehe 29 October 2025, Tutaandamana Mtandaoni au Moyoni

    Wale ambao tunaona mambo hayaendi sawa. Tunatamani kuandamana ila bado hatuko tayari kutoka barabarani, tunaogopa kupingwa na polisi, tunaogopa familia zetu tutaziachaje. Tunaogopa kuumizw au kufa. Uwanja ni wetu, tujuane keyboards warriors, tusione haya kukiri kuwa sisi ni waandamanaji wa...
  2. Tarehe 29 Oktoba ni kumbukizi ya kuzaliwa Hayati JPM na ndiyo siku ya uchaguzi mwaka huu huku wananchi wakidai kuandama kupinga uchaguzi huo

    Wakuu kuna mambo nayaona kuelekea Oktoba 29 mwaka huu isiyo ya kawaida kabisa katika nchii tangu kizazi cha uhuru. Tarehe hii 29 Oktoba imebeba historia nzito sana kwa Taifa la Tanzania,inahusisha mambo makuu matatu ya kuogofya 1.Uchaguzi Mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani. 2. Kumbukizi ya...
  3. Tarehe 29 ni mwendo wa Nepal. Watachagua walinde vituo vya kupiga kura au nyumba za Viongozi wa CCM au barabara za kwenda Ofisi za CCM

    Kati ya maandamano yaliyopangwa vizuri ni haya maandamano ya Tarehe 29 Oktoba 2025 Wanaotutisha kufanya mazoezi watajua wenyewe walinde vituo vya kupiga kura au nyumba za Viongozi wa CCM au Ofisi za CCM au nyumba za Wabunge na Mawaziri au Ofisi za Umma. Enough is Enough Lazima turudishe...
  4. Tarehe 29 Oktoba, piga kura yako mapema na nenda nyumbani

    Watanzania ni watu watulivu, watu wa amani, watu wa hekima, ila si wajinga. Uchaguzi ni mara moja kila miaka mitano, na ni haki ya kikatiba kila mtu kuchagua ampendaye kukalia kiti cha urais, ubunge au udiwani. Watanzania tusipoteze nafasi hii, ya kikatiba. Watu wasio waelewa wanasema siku hiyo...
  5. Video: Kwa Hali niliyoiona Leo kwenye page ya sativa tarehe 29 kila mtu atalala ndani

    Nimeona video fupi jamaa anatekwa na anapiga kelele kabisa kuomba msaada mchana kweupe hapo Iringa jirani na nyumba ya Asas. Midume imekaa inashangaa mmoja linasema si awe mpole tu hii inadhohirisha kila mmoja wetu Oktoba 29 atakaa ndani aangalie wenzie wanavyopigwa. Hvyo hizi za Sasa ni...
  6. GE2025 It's Do or Die. Tuchukue hatua kukomesha utawala huu wa kidhalimu tarehe 29 Oktoba au tupotee mazima na vizazi vyetu

    Uwe askari polisi , uwe daktari, uwe mwalimu, uwe mwanajeshi, uwe hakimu au jaji, uwe mkulima, uwe mfanyakazi, uwe bodaboda uwe Mama ntilie, uwe machinga au uwe jobless usipochukua hatua hiya Oktoba 29 ndo umeweka muhuri kwenye kunyanyaswa kwako na kuibiwa rasilimali zako huku wewe, familia...
  7. GE2025 MKOLONI HANA RANGI Episode 2: Miaka 4 Ya Samia vs Miaka 4 Ya Richard Turnbull

    RICHARD TURNBULL UWEKEZAJI KWENYE MATUMIZI YA AKILI UINUAJI WA HAKI NA SIASA ZA KUJITEGEMEA KUHAKIKISHA RASILIMALI ZINANUFAISHA NCHI PIA KUIMALISHA MFUMO BORA WA ELIMU NA AFYA KUIMALISHA NA UTUNZAJI MZURI WA RELI WA BARABARA BANDARI YA TANGA NA DAR ES SALAAM ZILIBORESHWA ZAIDI KWA KUJALI UKUAJI...
  8. Tukatane barabarani tarehe 29 kwa wingi sana ili watuuwe wakatafute raia machawa wengine wa kuwaongoza

    Tukatane barabarani tarehe 29 kwa wingi sana ili watuuwe wakatafute raia wengine wa kuwaongoza. Hatuwezi kufanya amani kwenye utekaji na mauwaji na ufisadi na kutubambikia kesi za uongo. No reforms no ELECTION
  9. Kabla hamjaandamana Tarehe 29 Oktoba waulizeni Zanzibar na Waislam kwanza

    Kabla hamjaandamana hiyo tarehe 29 Oktoba waulizeni kwanza wananchi wa Zanzibar 2001 kilitokea nini kwao ? Pia waulizeni waislam wa mwembechai kilicho watokea. Hivyo kama unatokea kwenye maandamano ya tarehe 29 Oktoba nakuambia mapema kabisa kuwa tayari kwa matokeo yoyote. Usiandamane kwa...
  10. Naona umuhimu wa kumpeleka shule mtoto wa kike, wanawake wamekuwa na muamko mkubwa sana wa haki na misimamo imara. Binti zangu watapata elimu pia

    Nimekuwa nikipitia mitandaoni nimeona umuhimu wa mabinti zetu katika kupambania haki na usawa. Wakati kwa miaka mingi ilikuwa inaonekana hii empowerment imekuja kumuondolea nafasi yamwanaume kwenye jamii lakini imekuwa na matunda mazuri. Nimepita vijiweni, sokoni na mitandaoni kama nilivyosema...
  11. Kumbe TikTok sio ya kinyonge, sikutegemea itakuwa ya kiharakati namna ile

    wamenishangaza, sikutegemea, nilijua content zao ni za SOFT life na udaku pekee, wamenifurahisha. Kumbe vijana mnapenda HAKI, kumbe vijana unapenda DEMOKRASIA, basi mmetisha. Hakuna ubaya kuwa na mizuka na mambo mengine, ila kupotezea kabisa mambo ya nchi na maisha yako ni upumbavu zaidi na...
  12. Kwahiyo CRDB nayo mpaka tarehe ishirini na tisa, acheni uoga nendeni ofisini

    Yeah kama wasiojulikana walivyosema comments, hashtags hazibadilishi chochote (Nimeparaphrase tu, ila ndiyo point yao ya msimu). Ni pesa zenu, ni jasho lenu,mnaogopa nini kwenda ofisi za CRDB na kuona mnarudishiwa vipi pesa zenu au miamala inasolviwa. Nimepitia comments kwenye page za CRDB...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…