Wale vijana waliyofanya vuruga tarehe 29 octoba walifanya makosa makubwa sana.huwezi kuzia uchaguzi siku ya uchaguzi.
Tunaona kwamba walichoma ofisi za serikali,vituo vya kupigia kura,vituo vya kuuzia mafuta ,kuchoma barabara.
Chadema hamuoni kuwa ni hatari kijifungamanisha na wale vijana?mimi...
Wakuu, naandika huu uzi huku nikitetemeka kidogo! Nimekuwa nikifuatilia namna Orlando Pirates wanavyocheza na kusema kweli hawa vijana ni machachari. Wana kasi, stamina, pressing kali na hawakati tamaa. Wachezaji kama Tshepang Moremi, Oswin Appollis, Evidence Makgopa na Thalente Mbatha...
Wakili Peter Madereka, kuna swali ambalo kifungo cha Tundu Lissu hakiwezi kulijibu. Jamhuri iliiambia Mahakama Kuu kwamba kauli za Lissu ziliwashawishi baadhi ya watu kuvuruga uchaguzi. Sasa wananchi wana haki ya kuuliza jambo la msingi.
Ni vituo gani viliathirika, wapiga kura gani walipoteza...
Wakatoliki hatuna, bunduki, hatuna, mizinga, hatuna mabomu ya machozi, silaha yetu pekee ni sala, hata kama mtakutana na mabomu kama ya tarehe 29/10 njooni kanisani tusali, kwa Mungu hakuna linaloshindikana.
Nilitembea usiku kucha kwenda Mbeya kumwambia mwanangu acha kushiriki vurugu siku ya uchaguzi. Na hii ni baada ya kutonywa na mkewe kuwa mumewe (mwanangu) anasema anataka kushiriki vurugu zinazoandaliwa siku ya uchaguzi. Saa 8 usiku nilifika Mbeya nikalala kwenye gari asubuhi sana wakashangaa...
baada ya kada wa CCM kusema vyombo vyote vya dola ni mali ya chama ni uthibitisho kuwa walimwaga damu za watanganyika tarehe29.
hapo ndipo umuhimu wa katiba mpya unapokuja ili kuimarisha utawala wa kisheria.damu za watu itawaangusha CCM.
Maandamo yaliyofanyika tarehe 29 October 2025 yalifanikiwa kufanyika kwa sababu maandamano yalikuwa yameunganishwa na tukio kubwa la kitaifa ambalo ni uchaguzi.
Kwa kuwa 29 Oktoba ndiyo ilikuwa siku ya uchaguzi, watu wengi walikuwa tayari wako nje ya nyumba zao, vituo vya kupigia kura na...
Mgombea Urais wa Zambia, Brian Mundubile, ameibua madai mazito akisema: “Zambia siyo Tanzania” na kuonya dhidi ya kujaribiwa kuingizwa kwa mbinu alizozitaja kama “Tanzanian tactics” katika uchaguzi wa Zambia.
Kauli hiyo inakuja wakati Tume ya Uchaguzi ya Zambia iliposimamisha kwa muda zoezi la...
Kuna wakati ukikaa na kukumbuka kwamba serikali ilitoa amri ya kuwaua raia wake tarehe 29 Oktoba, unaishiwa nguvu.
Je, nyinyi mawazo haya hayawajii tena? Au ni mimi tu ambaye kuna wakati ninakuwa nimetulia, halafu nakumbuka kwamba serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilitoa amri ya...
Na katika hali ya sasa katiba imeshindikana kabisa kupatikana kwa njia ya kidiplomasia
Kwa muda mrefu zimekuwa ni sinema zetu za kujirudia
Vijana wengi sana tumewapoteza waliouwa wakitaka katiba mpya na kilele kilikuwa ni October 29
Je muda huo Nchimbi alikuwa wapi akikemea ? ndie anataka...
CCM na huyo Samia wao, wametenga hela nyingi kwa Content Creators ili wawe wanahoji mambo ya kijinga ili kuwasahaulisha watu Ugumu wa maisha, Ripoti ya CAG na Mauaji waliyofanya tarehe 29 Oktoba 2025 walipokuwa wanalazimisha kuongoza Nchi.
Hii Video ni Ushahidi kwamba tarehe 29 Oktoba 2025...
Mie nashindwa kuwaelewa watu. Wanasema eti Lissu alisema "tutakinukisha"
Sasa tatizo liko wapi? Je wanajua Lissu alisema watakinukisha kitu gani?
Kukinukisha kitu ni kukifanya kitoe harufu nzuri au mbaya.
Sasa hawa watu wanashindwaje kuelewa kwamba Lissu alimaanisha watakinukisha Chadema ili...
Hawa Viongozi wa CCM siyo wa kuwasikiliza wala kuwaamini wote lao ni moja na ndiyo walioiba kura katika uchaguzi wa Oktoba 29 na wakawaua watanganyika ambao hawakuwa na silaha.
Hivi unamwambia mtu asahau aliyeuliwa ndugu yake mkashindwa kumpa maiti yake inaingia akilini kweli?Tena waliouliwa na...
https://www.youtube.com/live/EJPutwDEwWI
MAAZIMIO YA MAZUNGUMZO YAWAZEE KUHUSU UJENZI WA AMANI, UMOJA NA HAKI NCHINI
TAREHE: 22 JANUARI 2026
MAHALI: DARES ES SALAAM, UKUMBI WA
MWALIMU NYERERE FOUNDATION
Imewasilishwa na:
Mzee Joseph W. Butiku, M/Kiti Bodi ya Wadhamini,Mwalimu Nyerere...
Hakuna sababu yoyote inayoweza kuhalalisha mauaji ya tarehe 29.Habari njema ni kwamba Mungu amesikia sauti ya vilio vya watanzania waliouawa pamoja na vilio vya ndugu zao.Hukumu ipo tayari kwa wauaji wote kuanzia juu.
Nipo hapa napata Moja baridi na Moja baridi nchi jirani huku nikofuatilia ITV HABARI kupitia YOUTUBE, huyu mtangazaji wa ITV anayeitwa Asiraji Mvungi, ameripoti Kwamba Tume ya Jaji Chande imekutana na wahanga na waathirika wa vurugu baada ya uchaguzi, na waathirika hao wamemwambia Jaji Chande...
Kama ambavyo Abel alivyomlilia Mungu damu yake ilivyomwagwa na Cain, ndivyo hivyo damu za watanzania zaidi ya elfu 10 waliokuwa wanadai Tanzania bora vilimlilia Mungu.
Kama ambavyo Mungu alivyosikia kilio cha Abel vivyo hivyo kwa watanzania. God'sJustice is inevitable and it is comming.
Zamani magroup ya uko tulikuwa tunazungumzia mambo ya kifamilia,kama misiba,harusi na mengineyo, lakini sasa hivi mjadala mkubwa ni Siasa na wengi hawampendi Mama
Nitaeleza kwa kwa ufupi kabisa na kwa lugha nyepesi ambayo hata kilaza kama popoma anaweza kuelewa.
Kilicho tokea Tanzania hiyo tarehe 29 Oktoba 2025 ni UPEPO MBAYA period.
Kwa vilaza 👇👇👇
Tanzania ilikumbwa na UPEPO MBAYA hiyo tarehe 29 OKTOBA 2025. Upepo huo mbaya ukawa reflected kwenye...
Mzuka wana Jamvi ?
Nakumbuka siku karibia na October 29 Mange alituhakikishia kuwa tusiliangushe Jeshi na kwamba vyombo vya usalama Jeshi na polisi hawapo pamoja na Rais Samia na wanatumia message maofisa wengi na Askari wakimtaka awaaambie Watanzania watoke kwa wingi wasipoteze hii nafasi wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.