Wakuu, naandika huu uzi huku nikitetemeka kidogo! Nimekuwa nikifuatilia namna Orlando Pirates wanavyocheza na kusema kweli hawa vijana ni machachari. Wana kasi, stamina, pressing kali na hawakati tamaa. Wachezaji kama Tshepang Moremi, Oswin Appollis, Evidence Makgopa na Thalente Mbatha...