taratibu

  1. R

    Taratibu za kubadilisha matumizi ya ardhi

    Mwenye kufahamu process za kubadiri matumizi ya ardhi anielimidhe please. Unapitia hatua zipi/
  2. L

    Taratibu za kufuata ili kupata kibali cha kuendesha lodge

    Members habari za wakati huu nauliza ni taratibu zipi za kufuata ili kupata leseni ya biashara ya lodge
  3. Timu kama Brighton inafundisha kuiishi na kuitekeleza mifumo, sera na taratibu za timu

    Hii ni moja ya timu zinazonivutia sana kwenye ligi kuu uingereza nje ya kushabikia Chelsea. Sera yao ni kukuza na kulea vipaji pamoja na kuuza kama anapatikana mteja. Kinachonivutia zaidi ni namna wanaweza kusumbua vigogo na kutawala kwa kiasi fulani ligi ya EPL japo wanakua wamepitia vipindi...
  4. AzamTV Max wanakiuka taratibu za Play Store katika malipo

    App za Play store zinabidi zitumie Google Play Subscriptions kwa ajili ya malipo na subscriptions kasoro zile app zinazouza physical goods na services zengine sio za kidigital, lakina naona Azam ukitaka kulipia wanakupeleka site isiyoeleweka ukajaze details zako zote huko hii sio sawa. Hata...
  5. Lissu anajitangaza kugombea uraisi kupitia Chadema kama nani , taratibu zikoje?

    Tundu Lisu amejitangazia kama ndio mgombea wa chadema katika uchaguzi mkuu ujao wakati bado hajakubaliwa na wenzake chamani. Huko Chadem hakuna mtu aliwahi kugombea kwa vipindi viwili mfululizo,yeye amejitangaza kama nani ? Je yupo juu ya chama ,juu ya wote ,yeye amekikamata chama Vipi...
  6. S

    Hivi ndivyo taifa langu litaweza kutokomeza ushoga taratibu

    Habari wapendwa! Leo naomba kuwapeni tafakari kuhusu ushoga halafu nyinyi kama wataalam mtaona namna ya kuliweka kisomi. Utaratibu wa kuwatahiri watoto wakiwa wachanga ni moja ya pigo kubwa sana linalochangia kuondoa uvumilivu katika nafsi ya mtu. Iko hivi ujasiri ni mbegu inayopandwa na...
  7. Naomba kujulishwa taratibu za kubadili uraia kutoka kuwa mtanzania bara na kuwa mzanzibari

    Wakuu naomba kwa yeyote anayejua anisaidie namna ya kuhama kutoka kuwa mtanzania wa Tanzania bara na kuwa mtanzania wa Zanzibar yaani kuwa mzanzibari Nataka kuwa mzanzibari wa kuhamia ili niwe na haki ya kumiliki ardhi kule na Tanzania bara pia, kugombea uongozi kule na nafasi za Muungano kama...
  8. Mwanzo umri ulikuwa unaenda Taratibu (10 hadi 20) ila sasa Umri unakimbia (20 hadi 30)...

    Yani kuna hali yanifkirisha,au sijui ndiyo akili za weekend...!? Mtu kukua kutoka umri wa miaka 10 hadi 20 ilichukua mda mrefu sana. Ila Kukua kutoka umri wa miaka 20 hadi 30 mbona imefanyika fasta sana.
  9. Taratibu zipi nifuate kama nimeuziwa bidhaa iliyoisha muda wake (expire)?

    Habari za mda huu! Samahani naomba kujua taratibu zipi natakiwa kufuata kama nineuziwa bidhaa iliyokwisha muda wake. Nilimtuma mdada wa kazi blue band asubuhi nikaondoka kabla hajarudi. Nimerudi nimekuta kawapa watoto blue band iliyoexpiry toka dukani. Naomba kujua taratibu gani natakiwa...
  10. Wana Simba SC Wenzangu naomba taratibu tulipitie lile Goli la Fred jana hivi Kweli hata Wewe ungekuwa Kipa usingeudaka au hata tu Kuupangua ule Mpira?

    Anyways nimeelewa kwani ili TFF na Serikali iongeze Mapato ni lazima Klabu Bingwa ziende Timu MbilI Kubwa ili Mapato yapatikane Makubwa lakini pia Kuchangamsha nchi kwani kama mwakani Timu ikiwa moja halafu tena ina DNA na CCM (Serikali) Mashabiki wa Timu nyingine watapata Hasira na Kuathiri...
  11. U

    Taratibu za kisheria za kufuata unapotaka kununua chombo cha moto ni zipi?

    Wanajf Ninaomba mnijuze taratibu za kisheria za kufuata ili kununua na kumiliki chombo cha moto mfano bodaboda. Ninauliza kwa sababu wauzaji wamekuwa wengi,vinavyouzwa navyo ni mchanganyiko halali na visivyo halali! Ubora nao ni nadra kuujua kwani "orijino na feki" navyo vinapatikana kundi...
  12. Kumbe Kuna taratibu za kufuata ili kununua sumu

    Elimu haina mwisho Leo nilikuwa nasikiliza radio Fulani wakawa wanaeleza taratibu za kuuza na kununua sumu. Kumbe haitakiwi kununua sumu nyingi bila kibali cha mamlaka maana yaweza sababisha madhara Kwa jamii Labda mtu anaweza akawa na nia ovu ya kuua halaiki ya watu na mifugo. Labda kuweka sumu...
  13. M

    Kumekucha, ni suala la muda tu. Taratibu sote tutaelewana na kuongea lugha moja!

    Nimemsikiliza kwa makini sana Mbunge Joseph Kasheku (Musukuma) akizungumza bungeni alipopewa nafasi. Japo mimi si mpenzi wa mbunge huyu lakini hata saa mbovu ukutani, kuna wakati unaweza kuitizama na kukiri inasema kweli. Najua hata mimi si mpenzi wa wana JF wengi lakini nawaombeni mumsikilize...
  14. Serikali imesema kuwa imeanza taratibu za tathmini ya eneo la makaburi ya Idefu

    Serikali imesema kuwa imeanza taratibu za tathmini ya eneo la makaburi ya Idefu - Makambako na taratibu za malipo zitaanza baada ya kuidhinishwa na Mthamini Mkuu wa Serikali. Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), alipokuwa akijibu swali...
  15. Makonda adaiwa kukataa nyumba ye Serikali, inasemekana anaishi Hoteli ya Nyota 5

    Kwa hali hii, tutafika? Anaandika Martin Maranja Masese kwenye Mtandao wa X Rais Samia Suluhu Hassan, inawezekanaje BASHITE tangu amefika Arusha anaishi Gran Meliá Hotel, full board ($469) kwa usiku mmoja. Hii ni Sh1.3 milioni. Leo atakuwa ametumia Sh5.2 milioni (malazi). Anatembea na msafara...
  16. Taratibu za kufungua "Branch ya KFC'

    Habari Wana-JF nina mtu wangu wa karibu anahitaji kufungua Branch ya KFC Mkaoni Mbeya ila hajui ataanzia wapi, alisikia tetesi kuna kiasi cha fedha ukiwa nacho unaruhusiwa kufungua. Kile kiasi ameshakipata ila sasa hana taarifa nyingine yoyote inayoweza kumsaidia. Kwa yoyote alie na taarifa...
  17. Mchezo wa sabuni unanitafuna taratibu, naomba msaada niache

    Nikiwa na miaka 16 niliwahi mshuhudia jamaa yangu fulani akifanya punyeto (Masturbation) akanifundisha jinsi ya kufanya, nilipofanya mwishoni nilisikia raha moja ya ajabu sana, siku iliofuata muda ule ule usiku nikiwa peke yangu nikafanya tena na ndo ikawa mchezo wangu. Baadaye nikiwa shule...
  18. A

    KERO RITA (Vizazi na Vifo) na Ofisi za Uhamiaji - Tanga, simamieni taratibu na sheria muache kuomba rushwa. Mnaharibu na kudalilisha Taasisi

    Nawasalimu kwa jina la JMT! Ni imani yangu ujumbe huu utafika kwa wote, na kadhalika utawafikia Walengwa na mara Moja wataacha Tamaa na tabia zisizoridhisha.. Kwanza niwasifu baadhi ya Maafisa wa Serikali wanaofanya kazi kwa weledi sana, na kujituma na kuifanya sehemu ya kazi kuwa kama ni...
  19. P

    PreGE2025 Askofu Mwamakula: CHADEMA na CCM ni kama wapenzi wawili waliongia kwenye mahusiano bila kufuata taratibu

    Akiwa kwenye mahojiano na mwandishi wa waandishi wa habari, Askofu Mwamakula amesema anafananisha mazungumzo ya CCM na CHADEMA kama wapenzi walioingia kwenye mahusiano bila kufata utaratibu, sasa hivi mambo yameharibika kila mmoja analalamika. Akisema Mazungumzo ya CHADEMA na CCM yalikuwa siri...
  20. Tanzania sasa yapata kibali kipya cha kupakua na kupakia mizigo Nairobi. Kenya walitaka tufuate taratibu

    Baada ya maombi ya Tanzania kupata kibali kipya cha kuruhusu kupakia na kupakua mizigo kiitwacho Fifth Freedom Traffic Rights, ndege za ATCL sasa zimeruhusiwa kutua Nairobi. Ndege za ATCL zikiwa njiani katika safari za kimataifa safari hii zitaruhusiwa kupakua na kupakia mizigo katika katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…