taratibu

  1. Red black

    Kwanini tusingezaliwa na miaka 100 halafu taratibu turudi hadi kufika miaka 10...nk ?

    Naamini maisha yangekuwa mazuri sana.
  2. Crocodiletooth

    Kile ambacho wengi kinawachanganya kuhusu taratibu za Kimahakama

    BAADA ya watu wengi kulaani kufungwa miaka Minne Jela Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndugu Tundu Lissu Kwa kosa la uchochezi wakati alipewa kesi ya Uhaini ambayo Kwa mujibu wa MahakamanMashahidi walishindwa kuthibitisha. Wakili wa Serikali Addo MWASONGWE amechapisha...
  3. Waufukweni

    Spika Zungu: Mawaziri na viongozi waliokiuka taratibu za ununuzi wa magari waitwe na kuhojiwa, hatua zichukuliwe

    Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu, ameiagiza Kamati husika ya Bunge kuwahoji watumishi wa umma wanaodaiwa kukiuka Waraka wa Serikali wa mwaka 2021 unaoelekeza taratibu za ununuzi wa magari ya serikali, na kuchukua hatua stahiki dhidi yao. Zungu amesema kutokana na hali ngumu ya kiuchumi duniani...
  4. robinson crusoe

    TCU Simamieni Taratibu za Ubora Vyuo Vikuu. Uamuzi wa UDSM Kufuta Mitihani ni ishara Mbaya!!

    Kwa siku mbili sasa anga za elimu zinajadili uamuzi wa UDSM kufuta mitihani ya marudio kipindi cha Septemba/Oktoba. Ninachokiona ni uzembe wa TCU kushindwa kuangali taratibu za vyuo ambazo zinaathili ubora. Nilipouliza huku na huko, nilichokiona ni kwamba kumbe vyuo vya TZ pole pole vinaingiza...
  5. Q

    Hakuna maridhiano ya kweli pasipo CHADEMA kushiriki

    The obvious truth, CCM wanajua kuwa turufu ya maridhiano iko mikononi mwa Chadema na sio chama kingine chochote kati ya vyama 18. Mbwembwe zote za kina Wasira, Kihongosi, Msajili wa vyama, na vyama shikizi kusema eti, wanaweza kuridhiana bila Chadema kuwepo, zimekuwa kazi bure. Bila Chadema...
  6. L

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammedi Kawaida amtaka Mchengerwa afuate taratibu za CCM badala ya kuwakatisha tamaa vijana

    Ndugu zangu Watanzania, Soma hapa 👉Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida, amemtaka Mbunge wa Rufiji na Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, kufuata taratibu na misingi ya chama hicho katika kushughulikia tuhuma zinazohusu rushwa ndani ya jumuiya...
  7. H

    Mwigulu asisitiza umuhimu wa kurasimisha taratibu za ushirikiano katika shughuli za uchimbaji wa madini

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesisitiza umuhimu wa kurasimisha taratibu za ushirikiano katika shughuli za uchimbaji wa madini kwa kutumia mikataba rasmi, akisema hatua hiyo itasaidia kuweka wazi makubaliano ya pande zinazohusika na kuzuia migogoro. Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza...
  8. A

    KERO Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kitatoa lini fedha za ‘refund’ tumesubiri tangu Mwaka 2024

    Ninayo heshima kuwasilisha kero yangu kuhusiana na ucheleweshaji wa kurejeshewa fedha za ada nilizolipa kabla ya kupata mkopo wa elimu ya juu. Mimi ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (Mbeya University of Science and Technology - MUST) wa Mwaka 2024. Kutokana na kuchelewa...
  9. Echolima1

    Syria yaanza mikakati ya kujiondoa Strait of Hormuz taratibu

    Syria inapendekeza kujiwekea njia ya kimkakati ya nishati ya ardhini inayounganisha Iraq na Ghuba na Mediterania, ikitoa njia mbadala ya usafirishaji ambayo ingepunguza utegemezi wa Mlango-Bahari wa Hormuz. Kitovu cha mpango huo ni ufufuaji wa njia ya mafuta kati ya Iraq na Syria kuelekea...
  10. Diwani

    Taratibu Uwabishwaji unaanza kuwa hiari

    Utamaduni wa kuwajibisha viongozi wanaofanya ubadhirifu, ufisadi na rushwa umeanza kubaki kama hadithi za kusadikika tu kwenye nchi yetu; hakuna tena mihimili yenye nguvu, mathalani mahakama zenye uwezo wa kuamua, kuheshimiwa na kutekekelezewa matakwa yake. Miaka michache mbeleni, tutakuwa na...
  11. B

    Taratibu gani zinatakiwa kufuatwa ukitaka kununua ngozi ya chui au simba kutoka Maliasili?

    Wakuu kwema.. Nani anazijua taratibu za kununua vitu vya asili pale maliasili kama vile ngozi ya Simba, Chui, na kadhalika. Gharama zake je, zipoje?
  12. H

    Taratibu za kufungua duka la dawa

    Naomba kwa anaefahamu taratibu za kufungua duka la dawa kwa hivi sasa ziko vipi Mimi nina cheti cha umiliki wa duka la dawa ila sio mfamasia Natanguliza shukran 🙏
  13. K

    Taratibu udini unashika Kasi Tanzania ,Nyerere angekuwa hai asingekubali hili litokee

    Habari za jioni wadau, Dini inatumiwa kama kinga ya kuzuia watu wasiseme maovu ya viongozi na wanasisasa. Ukisema wenye dini yao wanakuja juu unamsema huyu mbona yule hukumsema. Nenda kwenye komenti uone yaani zimekaa TU kidini ili mradi Kila mtu anamsapoti WA dini yake. Watanzania hilo ni...
  14. Mwafrika Halisia

    Msaada: Kozi ya Ordinary Diploma in Civil Engineering (DIT) ina mkopo wa HESLB? Taratibu zake zikoje?

    Wakuu salama, Natumai mko wote heri. Nina ndugu yangu wa karibu amefanya maombi ya chuo mwaka huu na katika matokeo ya kwanza (Batch One) amefanikiwa kuchaguliwa kujiunga na Chuo cha Teknolojia cha Dar es Salaam (DIT) kusomea kozi ya Stashahada ya Uhandisi wa Ujenzi (Ordinary Diploma in Civil...
  15. Mwafrika Halisia

    Msaada: Kozi ya Ordinary Diploma in Civil Engineering (DIT) ina mkopo wa HESLB? Taratibu zake zikoje?

    Wakuu salama, Natumai mko wote heri. Nina ndugu yangu wa karibu amefanya maombi ya chuo mwaka huu na katika matokeo ya kwanza (Batch One) amefanikiwa kuchaguliwa kujiunga na Chuo cha Teknolojia cha Dar es Salaam (DIT) kusomea kozi ya Stashahada ya Uhandisi wa Ujenzi (Ordinary Diploma in Civil...
  16. A

    KERO Baba alifariki 2015, Fedha zake zikahifadhiwa Mahakamani Dodoma, tumekamilisha taratibu lakini tunasotea hadi leo

    Baba yetu alikuwa mfanyabiashara hapa Dodoma mjini. Mwaka 2015, mauti yalimfika na kutuacha tukiwa na huzuni kubwa. Kama ilivyo kwa familia nyingi za Kiafrika, baada ya msiba kupita, kulikuwa na mivutano na mirorongo mingi ya kifamilia kuhusu usimamizi wa mali zake. Hata hivyo, kuna kitu kimoja...
  17. Zack Abdul

    Jifunze Taratibu za Kuasili Mtoto (Podcast)

    Pata elimu juu taratibu za kuasili mtoto nchini Tanzania (Child Adoption), 👶🏽sikiliza MAELEZO PODCASTS 🎙️Tunapatikana katika audio channel zote 📌 https://open.spotify.com/episode/6KZNCZnEwTcFxgCQNR0hM0?si=2BlFR_VgT2inuUbeL6U4zw&utm_source=copy-link
  18. Roving Journalist

    JKCI yajibu hoja kuhusu utendaji wa uongozi wa taasisi hiyo, yasema Sheria, Kanuni na Taratibu vinazingatiwa

    Kusoma hoja ya Mdau, bofya hapa ~ Mamlaka zichunguze utendaji wa uongozi wa JKCI, kuna matumizi mabaya ya madaraka TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA ILIYOTOLEWA NA MTANDAO WA JAMII FORUMS INAYOHUSU UONGOZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)...
  19. Kevzy

    Mwanamke mwenye UTI sugu anakuua taratibu taratibu kuwa makini

    uchafu sana huu hakikisha hauingii mkenge wa UTI sugu, hivi unajua UTI sugu inaweza kuathiri mpaka Figo au maini.. wale wadudu wasipopata tiba nzuri wanapanda Kwa kibofu Cha mkojo wanaenda tumboni kuathiri organs zingine wanaathiri mpaka mimba, mimba inaweza kuaribiwa na UTI sugu so kuwa...
  20. Roving Journalist

    VETA: Tunawasihi wateja wetu kuwa na uvumilifu na kuzingatia taratibu kuhusu vyeti na leseni za Udereva

    VETA inatunuku vyeti vya udereva kwa mhitimu aliyefaulu mitihani na majaribio yanatotolewa katika ngazi ya chuo. Aidha, mbali na kuwa na cheti cha VETA, mhitimu anapaswa kukidhi tathmini ya umahiri inayoendeshwa na VETA kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi (Kitengo cha usalama Barabarani)...
Back
Top Bottom