taratibu

  1. Hatua na taratibu za kupata leseni ya udereva tanzania

    Title ya Uzi (Mada): Hatua na Taratibu za Kupata Leseni ya Udereva Tanzania Napenda kujua kwa undani juu ya jinsi ya kupata leseni ya udereva hapa Tanzania. Maswali yangu makuu ni: Ni vigezo gani muhimu vinavyohitajika kabla ya kuanza mchakato? Ni mitihani gani hupaswa kufanya (nadharia na...
  2. Huduma za Magereza: Haki, taratibu na miongozo ya Wafungwa na Mahabusu Nchini Tanzania

    UTANGULIZI Majukumu ya msingi ya Jeshi la Magereza ni kuwapokea na kuwahifadhi gerezani watu wote wanaoletwa gerezani kwa mujibu wa sheria za nchi na kuendesha program mbalimbali zenye kulenga kuwarekebisha wafungwa waliohukumiwa ili hatimaye watoke gerezani wakiwa raia wema. Katika kutekeleza...
  3. Nilihoji hapa hapa hivi karibuni kwanini Mavambo aliyechangamka haanzi na anaanza Ngoma aliyezeeka nikapuuzwa ila taratibu tu mtanielewa

    Kuna muda huwa nahisi kuwa Kocha wa Simba SC Fadlu Davis anapangiwa Kikosi au nae huwa Anabeti kwani simwelewi.
  4. K

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa 6.5m lipa taratibu

    Kiwanja kipo kibaha, hati ipo, kimelipiwa serikalini kwa control number hakuna dalali wasiliana 0764 714 801.
  5. R

    Utaratibu wa kutoa na kutumia degree za heshima ni huu kwa dunia nzima. Watu wanapenda kuitwa Doctors (Drs) na Professors ( Prof) kinyume na taratibu

    by Prof Shivji Do we have any guideline of this kind in Tanzania? With or without guidelines, what is stated in this press release is well known and respected in most international institutions of higher education. HUU HAPA NDIO UTARATIBU WA DUNIA NZIMA . 1. Awadees msitumie hizo titles before...
  6. Tuwashangae hawa walio nyuma ya huyu mwanachama anayehamahama vyama na aliyefukuzwa CCM:Ya awamu mbili ni ada na taratibu zisizo ndani ya katiba !!

    Ninamshangaa yeye na walio nyuma yake kwa kupinga mchakato wa uteuzi wa mwenyekiti kuwa mgombea wa urais uchaguzi 2025.... Niwafikirishe hivi ; Ikiwa utaratibu wa "awamu mbili" ni ada na kawaida isiyo ndani ya katiba iweje leo tuikimbilie KATIBA ya chama kwa kuwahoji wale walioisigina ...
  7. Je, ni taratibu gani zinatakiwa kufatwa kabla ya DAWASA kumkatia maji mteja?

    Kumekuwa na utaratibu wa Dawasa kufika eneo la nyumba na kukata maji bila hata kutoa taarifa kama wanakata maji ilhali wenye nyumba wapo na namba za simu wanazo kwenye karatasi zao. Je, hii ni sawa?
  8. Taratibu wanaume kapuku mtaa za kujitambua

    ,👇👇👇 kama tajiri tu anafanya hivi wewe kapuku maskini ni nani hapa duniani?!?
  9. Pitia video hii, ili ujifunze taratibu na Sheria za kuingia na ukuli wa Moshi Mjini.

    Karibu!
  10. Watumishi mnanaotaka kugombea nafasi za kisiasa zingatieni taratibu za kiutumishi”

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka watumishi wa umma wanaohudumu chini ya ofisi yake kutojiusisha na shughuli za siasa kama ambavyo Sheria, Kanuni na Taratibu za utumishi wa umma zinavyoelekeza. Waziri Mchengerwa ametoa...
  11. PreGE2025 Watumishi mnanaotaka kugombea nafasi za kisiasa zingatieni taratibu za kiutumishi - Mhe. Mchengerwa

    WAZIRI MCHENGERWA: Watumishi mnanaotaka kugombea nafasi za kisiasa zingatieni taratibu za kiutumishi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka watumishi wa umma wanaohudumu chini ya ofisi yake kutojiusisha na shughuli za siasa kama...
  12. C

    Nimeanza safari ya ufugaji Sungura mwaka jana (2024) mwezi wa kumi, namshukuru Mungu, nimeanza kuona maendeleo taratibu, hatua kwa hatua

    Baada ya kukaa muda mrefu bila kujihusisha na ufugaji wa aina yoyote, kuacha mbwa mmoja ambae namfuga kwaajili ya ulinzi, mwaka jana, 2024 mwezi wa kumi mwanzoni, niliamua kuanza ufugaji wa Sungura kwaajili kupata mboga kwa matumizi ya nyumbani na pale patakapokuwa na Sungura wa ziada, basi...
  13. 0

    Kuachishwa kazi bila kufuatwa taratibu zozote za kisheria

    Habari , Mimi nilikua mfanyakazi wa kampuni x kwamuda wa miaka 2 ambayo nimetimiza tarehe 31 /12/2024 Kwani nilianza kazi tarehe 31/12/2022. Tarehe hiyo yakutimiza miaka miwili ilipofika nikiwa najiandaa kuingia kazini lisaa limoja na dk kadhaa kabla ya kuripoti kazini nilipata ujumbe kwanjia ya...
  14. Taratibu za Tender

    Habari, Naomba muongozo katika Hili swala. Baada ya kusajili local company, nikajisajili Nest, na Sasa nimekua napata invitation za tenda mbalimbali kulingana na leseni yangu. Nimeapply tenda kama 3 ivi, na nimeona kwenye ripoti Yao Jina langu limetokea. Hapo Sasa natamani kujua Baada ya...
  15. Kumbukumbu ya Uhuru wa Tanganyika: Tumkumbuke Haruna Iddi Taratibu Muasisi wa TANU Dodoma 1955

    KUMBUKUMBU YA MIAKA 63 YA UHURU WA TANGANYIKA Tunamkumbuka Shujaa wa Uhuru wa Tanganyika Haruna Iddi Taratibu Muasisi wa TANU Jimbo la Kati (Central Province) 1955 Haruna Iddi Taratibu Sifa kuu katika ujumbe wa Julius Nyerere ilikuwa ni kule kueleweka kwa mantiki yake na kuweza kuwavutia...
  16. Zipi ni taratibu na gharama za kurenew leseni ya udereva iliyopotea

    Habari wanajamvi. Nilikuwa nauliza utaratibu ukoje pamoja na gharama za Kulipia, Viambatana vya kuambatanisha, Ikiwa Una leseni ya udereva ambayo ukomo wake ni 2027 na imepotea.
  17. Sifa na vigezo vya Kisheria na Kiimani ili uweze kuoa Mke

    1.Katika Uislamu, Mtu anayetaka kuoa anapaswa kuwa na sifa kadhaa ili kuhakikisha ndoa inakuwa yenye baraka, imara, na yenye msingi mzuri wa kidini na kijamii. Sifa hizo ni pamoja na: 1. Kuwa na Imani ya Kidini (Ucha Mungu): Mwanamume au mwanamke anayetarajia kuoa anapaswa kuwa mcha Mungu...
  18. Taratibu za kuhamisha hati miliki za viwanja ni ndefu, ngumu na ghali mno, inaleta mianya ya rushwa manispaa, TRA na Ardhi

    Nimegundua sasa ni kwanini watu wananunua viwanja kisha wanaendelea kutumia hati zenye majina ya watu wengine bila kubadilisha majina. 1.) Hivi inakuwaje mtu anunue kiwanja milioni 50 kisha report ya valuation iseme kwamba kina thamani ya 200mil.?! Kama kweli kinathamani hiyo kwanini mtu auze...
  19. Nahitaji kuanzisha marathon hivyo yeyote mwenye uelewa juu ya jambo hili naomba anielekeze taratibu zote mpaka kukamilika kwa jambo hilo

    Habari zenu wakurungwa! Husikeni na kichwa cha habari hapo juu, Mimi nipo wilaya X , jiji la Mwanza, nimehamasika sana kuandaa mashindano ya marathon ila tatizo linakuja kwamba. hakuna chochote ninachofaham kuhusiana na jambo hilo Hivyo naomben msaada kwa anayefaham namna ya kuandaa...
  20. Naona mtume kaanza kufanya uganga hadharani? taratibu mtanielewa, anagawa mchanga wa baraka huko Arusha.

    Wakuu kwema? Mimi nipo masomoni Gamboshi nachukua bachelor of science in uchawi wenye faida nadhani wengi wananijua hapa jukwaani. Niliwahi kuleta uzi ukielezea mambo ya mchanga na kuchotwq kiroho wengi hamkunielewa Maana ya kiroho mtu akichota mchanga katika eneo lako la kazi, biashara au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…