taratibu

  1. W

    Sheria na taratibu za umiliki wa ardhi Tanzania Bara

    SURA YA KWANZA HISTORIA YA MFUMO WA MILKI YA ARDHI Chimbuko na misingi ya mfumo wa umiliki na matumizi ya ardhi yaliyopo sasa umepitia katika vipindi vifuatavyo:- A. MFUMO WA MILKI YA ARDHI KABLA YA UKOLONI Katika kipindi hiki mfumo wa milki ulikuwa na sifa nne zifuatazo:- · Ardhi yote...
  2. Taratibu za Mikopo ya Benki

    Ukitaka kukopa 30mil, riba ni kiasi gani wakuu? Mkopo miaka 3 au miaka 6. Naomba ufafanuzi kwa anaejua vizuri taratibu za mikopo ya benki.
  3. Serikali yaandaa Mswada wa taratibu za uvunaji na upandikizaji viungo vya binadamu

    Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel amesema kutokana na kuongezea kwa mahitaji ya upandikizaji wa viungo Nchini, Serikali imeandaa Muswada wa kutunga Sheria itakayoongoza taratibu za uvunaji, utunzaji na upandikizaji wa viungo. Ameeleza hayo akimjibu Mbunge wa Viti Maalum, Rose Tweve, aliyehoji...
  4. S

    Taratibu za kuingiza Mchele nchini Kenya

    Habarini Wadau Naomba msaada kufahamu taratibu kwa yoyote aliyewahi kufanya biashara ya kusafirisha Mchele kwenda Kenya. Wasalaam
  5. M

    Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

    Nayaheshimu sana na mno Madhehebu mengine yote ukiachilia langu la Katoliki, ila kwa Tanzania hii na Nguvu ya Kanisa Katoliki tokea Uhuru na lilivyojikita indirectly katika Siasa za Tanzania huwezi kuwa Rais wa Tanzania au Makamu kama siyo Mkatoliki. Ukilibishia hili unataka tu Ligi isiyokuwa na...
  6. G

    Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

    Ningependa kujua ikiwa ikatokea bahati mbaya amefariki katika ajali au namna yoyote iwayo, nani ateyeshika nafasi ya uongozi wa taifa letu? ====== 37(5) Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na...
  7. Naomba kujuzwa taratibu za kusafiri na silaha nje ya nchi

    Habari za leo wakuu, Naomba kujua je! unaruhusiwa kusafiri nje ya nchi ukiwa na bastola yako na ambayo unaimiliki kihalali? Kama jibu ni ndiyo ni taratibu zipi napaswa kuzifuata ili kukamilisha hilo mbali na taratibu zingine za migration? Nawasilisha
  8. Naomba ufafanuzi wa taratibu za kufuata endapo mwanafunzi ambaye ni mnufaika wa mkopo na ambae ameshasajiliwa chuo kingine kama anaweza kuomba upya

    Habari za wakati huu, ni matumaini yangu kuwa mnaendekea vizuri na shughili za kujenga taifa..hongereni sana Kuna mdogo wangu yupo chuo kikuu mwaka wa kwanza chuo kikuu cha dodoma (udom) anasomea environmental science kufikia hapo alipo anasema anachokisomea hakipendi na kwamba alikubali tuu...
  9. Serikali tafakarini kuongeza mishahara ya Watumishi wa Umma, ukali wa maisha ni bomu linaloua taratibu!

    Kwenye uchumi ambao bei za bidhaa zinapanda kila uchwao, ili mtu uendelee ku survive na maisha, ni budi kipato kipande ili kupunguza ukali wa maisha. Hii kwa wachumi tunaiita 'Cost of living adjustment - COLA'. Ndo maana utaona salary review zinapaswa kufanyika kila mwaka, na endapo kama...
  10. J

    Zifahamu taratibu za uuzaji wa hisa

    Mwekezaji anayetaka kuuza hisa atafuata taratibu zifuatazo: Wasiliana na dalali wa soko la hisa na kumweleza kusudio lako la kuuza hisa Kabidhi hati yako ya umiliki wa hisa kwa dalali. Dalali atahakiki umiliki wa hisa hizo kabla ya kuuza Kama hisa haziko kwenye hifadhi ya hisa, dalali...
  11. Taratibu za kuanzisha tawi la Timu ya Mpira

    Wadau bila shaka mko poa kama mimi, poleni kwa wenye changamoto za kidunia kikubwa muumba awape subira. Wakuu hapa kwetu tunawazo la kuanzisha Tawi la Wapenzi na Wanachama wa timu fulani hivi moja kati ya timu zetu kubwa hapa TZ, ila tunahitaji tufuate taratibu bila shaka zipo ili tuweze kuwa...
  12. Jinsi DC Sabaya alivyomnasa Afisa Ugani na mtandao wa kitapeli wa Q NET alivyochota mamilioni ya watu

    HAI, KILIMANJARO Mkuu wa wilaya ya HAI, Mkoani Kilimanjaro Lengai ole Sabaya amemsweka ndani mtumishi wa halmashauri ya wilaya hiyo, Dominica Mwapombe kwa tuhuma za kuendesha mtandao wa kitapeli na kufanikiwa kujipatia mamilioni ya fedha kutoka kwa walimu kwa njia ya udanganyifu. Aidha...
  13. J

    Kwani gari Toyota VX "Geita Model" ni bei gani dukani? Na taratibu za manunuzi serikalini zikoje?

    Nilimsikia waziri wa fedha Dr Mpango akiwaambia watumishi wa Hazina kwamba fedha zinaliwa sana kwenye halmashauri kwa kutumia utaratibu wa sasa wa " Fosi Akaunti" Jana nikamsikia waziri wa Tamisemi Jaffo akisema DED wa Geita alitumia mwanya wa kuvunjwa Baraza la Mawaziri akakimbia haraka haraka...
  14. Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe atazungumza na Umma wa Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari, leo Novemba 27, 2020, kuanzia saa 3.00 (usiku huu), kuhusu maamuzi ya Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Vyombo vya habari vya Kitaifa na Kimataifa vimealikwa. Stay Tuned for Updates...
  15. "Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji

    Wanabodi, JF ni mtandao wa jamii, moja ya faida kubwa ya mitandao ya kijamii zaidi ya kuhabarisha habari mbalimbali, ni kuelimishana, wale members wa mitandao ya kijamii wanaojua jambo fulani, na ambao sio wachoyo wa kuelimisha wengine, hujitolea muda wao mwingi wa thamani, kuwaelimisha wengine...
  16. J

    Fahamu maana, umuhimu wa kodi na taratibu za ulipaji

    Kodi ni malipo yanayotozwa na Serikali kwa wananchi, kampuni, au taasisi zilizopo ndani ya nchi au zilizopo nje ya nchi lakini zimesajiliwa ndani ya nchi. Lengo kubwa la kutoza kodi ni kuitengenezea mapato serikali iliyopo kwa ajili ya kufikia malengo yake katika kutoa huduma za Jamii na maslahi...
  17. D

    Kama masihara masihara hivi kumbe ndo tunazeeka taratibu

    Tukiwa humu humu JF tukichaluana kwa hoja, January hadi December! Uchaguzi hadi uchaguzi! Ulianza ukiwa na umri mdogo, Mara paap 35, 40, 45 ,50..... n.k ndo zinasogea hivi kama masihara! Uzee usikieni tu, maisha ya upweke watoto wakiwa mbali! TUJIPANGE WADAU
  18. U

    Mbunge Mteule Wa Nkasi Kaskazini, Aida Khenani (CHADEMA) awasili Bungeni mapema leo na kujisajili kwa mujibu wa taratibu

    Mheshimiwa Aida Khenani akijisali leo Bungeni kama sehemu ya mchakato wa kisheria kabla ya kuanza kuwatumikia Wapiga kura wake. Hongera Sana
  19. B

    GE2020 Polisi ihakikishie vyama vya siasa kuwa utekwaji wa mawakala hautakuwepo na Tume iwahakikishie haita waengua bila kufuata sheria na taratibu

    Kuanzia mchakato wa kuwateua Wabunge na madiwani na kukiuka maadili ya chama mengi yameshuhudiwa na malalamiko kwa tume ni mengi sana ambayo hayajajibiwa hadi leo. Maswali ni mengi na imekuwa kama siri, sasa kama tume inafanya siri sisi wananchi tutaiamini au ni njama za upendeleo. mfano wa...
  20. Taratibu za kisheria zikoje kubadili gari langu kuwa na picha za Wagombea kama bango la kampeni?

    Nimekuwa ninakutana na magari mbali mbali yakiwa na picha za Wagombea mbali mbali nikajikuta najiuliza maswali iwapo nami nitatamani kubadili Gari langu, maana najua hili ni zoezi la muda mfupi tu na baada ya kampeni Gari litarudi rangi yake ya awali.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…