taratibu

  1. Kanuni na taratibu za kuanzisha huduma ya Upelelezi binafsi (PI) Tanzania ni zipi?

    ...
  2. Ni jinsi gani gharama za maisha kupanda na mfumuko wa bei ulivyo guess taratibu zako za maisha?

    Ndani ya miezi 12 tumeona mifumuko ya bei kuanzia bei ya mkate, unga, nyama hata nauli ya basi. Wengine wameamua kurudi kijijini kwa ugumu wa maisha na wengine wamehamia kwa ndugu kupunguza makali ya kodi ya nyumba. Ukweli halisi matabaka yote ya watu yanahitajika mjini ili maisha yaende leo...
  3. Hatua na Taratibu za Kufungua Maombi ya kusimamia Mirathi Mahakamani

    HATUA NA TARATIBU ZA KUFUNGUA MAOMBI YA KUSIMAMIA MIRATHI Je, mtu akifa na ameacha mali, haijalishi kuna wosia au hakuna wosia, zipi ni hatua za kufata ukitaka kufungua shauri la mirathi au ukitaka kuteuliwa kuwa msimamizi wa mirathi? Imeandaliwa na kuletwa kwako nami Zakaria Maseke - Advocate...
  4. Hali ya Ajira imeanza kutengamaa taratibu

    Vijana wapo wanachapa kazi angalau huwez fananisha na miaka ya nyuma Namuomba Ndugu Samiah Suluhu hakikishe anafufua sekta binafsi ili vijana waweze Kupata Ajira kwa wingi Kama enzi za Mzee Mrisho Jakaya kikwete. Au Mzee Mwinyi.
  5. Naomba kufahamishwa taratibu za kuanzisha chama cha siasa?

    1. Je, kuna hatua ngapi katika kusajili chama? Ndio, kuna hatua mbili. Usajili wa muda na usajili wa kudumu. 2. Je, ni nini kinahitajika ili kupata usajili wa muda? • Wanzilishi wawili watawasilisha maombi ya usajili wa muda kwa kujaza fomu maalumu wakiambatanisha na katiba na kanuni za...
  6. Taratibu woga umeanza kuwaondoka wananchi

    Wakati nikiwa katika harakati mjini hapa kwenye bandari ya salama. Nikakutana na kundi kubwa la abiria , konda na dereva wa gari la abiria wakiwa wamemzunguka ofisa mmoja wa polisi. Kutaka kujua kinachoendelea nikajifunza kwamba ile gari ya abiria ilikamatwa kwa kosa la kupakia abiria kwenye...
  7. Makonda, Mpina ni chambo tu, sukuma gang inakuja taratibu

    Tarehe 7 mwezi Aprili 2022, kwa mara nyingine tena Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina LM kupitia Chaneli ya Mtandao wa YouTube ya Dar24 alijitokeza hadharani kuishambulia Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe Rais, Samia Suluhu Hassan (SSH) kwa kivuli cha kumshambulia Waziri wa Nishati...
  8. Je, kauli ya Rais Samia inathibitisha kuwa ni wakati wa Mwenge wa Uhuru kuwekwa kando?

    Mwenge umelaaniwa na vitabu mbali mbali vya maandiko tofauti, mathalani kwenye Biblia kitabu cha Isaya 50:11 kinaeleza kwamba kwa kukimbiza mwenge tutalala kwa huzuni, kulala kwa huzuni ni kutofanikiwa kwenye mambo yako. Magufuli alitambua kuwa ili rasilimali zetu ziweze kutufaidisha ni...
  9. Tukumbushane taratibu

    Kwa wana JF wenzangu Najua tuna pata wanachama wapya hapa JF kila siku hivyo nimeona nikumbushe mambo machache hapa 1. Hoja inayolenga kuchafua Biashara/ Brand Naomba tena niwaombe sana: isiwe kila mtu akiona kasoro flani hata hana hakika kuwa imetoka moja kwa moja kwa mzalishaji anakuja hapa...
  10. NIDA VS UHAMIAJI: Ukikamilisha taratibu zote, unapata passport baada ya wiki 2. NIDA wao unapata kitambulisho baada ya Mwaka au zaidi

    Habari zenu wakuu. Kwa kadri miaka inavyosogea, ndivyo mahitaji ya huduma za haraka na zenye ufanisi yanaongezeka. "Being Quick, Efficient and Consistent is being Good" Kasi ya maisha ya mwaka 1980 haiwezi kuwa sawa na ile ya 2020. Katika taratibu za kawaida za kazi, kuanzia siku ambayo...
  11. H

    Ukiukwaji wa taratibu na ushamba Bungeni katika Uchaguzi wa Spika wa Bunge

    UKIUKWAJI NA USHAMBA BUNGENI UKIUKAJI: Lukuvi, Mb na Mwenyekiti wa Kikao cha Bunge cha Uchaguzi wa Spika ameruhusu Wabunge kukiuka Taratibu za Uchaguzi na akatetea ukiukaji huo. Mosi, wakati Mwenyekiti anasema kuwa hakuna tatizo Mpiga Kura kutoa fedha kwa Mgombea wakati wa kujieleza; anajuaje...
  12. M

    Polisi force Tz: Fahamu taratibu za mazishi kwa askari . Askari aliyejiua hazikwi kijeshi

    Tuelewane!!! #UmojaWetuNdioNguvuYetu https://t.co/pYpOG00jIv
  13. Taratibu za kampuni kupata namba ya lipa kwa Mpesa/tigo pesa

    Habari wakuu. Nipo mbali na ofisi za hii mitandao. Naomba kujua taratibu za kampuni kupata namba za lipa kwa mpesa/tigopesa. Natanguliza shukrani.
  14. Nimemkuta masai amesimamia ng'ombe wale ndani ya shamba langu la mazao kusudi, ni sumu gani inauwa ng'ombe taratibu niwafunze adabu?

    Kama Bashe mwenye wizara yako upo humu utaniwia radhi kwani hawa wamasai wamezidi dharau. Leo nimemkuta masai anachunga ndani ya shamba huku akipawabembeleza ng'ombe wake kwa miruzi wale shambani kwangu jambo ambalo nimewaza nimeona njia rahisi ni kpuliza sumu ndani ya shamba yeyote...
  15. Bunge: Taratibu za Uchaguzi wa Spika zinaendelea. Wabunge kurejea Dodoma Januari 31, 2022

    Bunge limesema taratibu za Uchaguzi wa kujaza nafasi ya Spika iliyo wazi baada ya Job Ndugai kujiuzulu zinaendelea Kamati zilizokuwa zikutane kuanzia Januari 10 pamoja na zile zilizotakiwa kukutana kuanzia Januari 17, 2022 hazitakutana wakati huo Badala yake zitakutana wakati wa Mkutano wa...
  16. T

    Wanashangilia muanguko wa taratibu wa chama chao?

    Wanashabikia muanguko wa taratiibu wa chama chao, siye watazamaji, ila tupo upande wa ukweli bila kujali nani anasema au kuambiwa na unatolewa kivipi isipokuwa usiwe na matusi.
  17. Naona Rais Samia anarudisha kwenye mfumo taratibu taratibu watu waliotumbuliwa

    Hii inanipa tafasiri ya kwamba ingawa alikuwa Makamu wa Raisi enzi za Hayati Magufuli pia walikuwa hawaelewani yaani walikuwa ni kama maji na mafuta. Hapa chini tunaona Mama kamrudisha Dr. Baghayo Abdallah Saqware kuwa Kamishina wa Mamlaka ya usimamizibwa Bima Tanzania (TIRA) ambaye...
  18. T

    Taratibu za kufungua Microfinance

    Wakuu habari za sasa hivi. Naomba kufahamu wapi pa kuanzia ikiwa nataka kufungua microfinance, na je, kuna kima cha chini cha kuanzia kwa mjibu wa sheria? Majanga yatokanayo na hiyo biashara ni yapi? Nini cha kuzingatia katika kuendesha hiyo biashara? Ahsanteni tf.
  19. Taratibu za misiba, ni nguo zipi anavalishwa marehemu

    Huwa najiuliza sana ni nguo zipi ambazo marehemu anavalishwa hususan kwa wakristo maana waislam inajulikana tayari. Ni nguo aina ipi marehemu huvikwa ?
  20. Taratibu za kipagani katika mfumo wetu wa maisha 1 ( majira ya mwaka)

    MIEZI YETU NDANI YA MWAKA NA MILA ZA WAPAGANI Naam Asilimia kubwa ya wengi wetu tunaamini katika Mungu hilo hata mimi nlifundishwa tangu wakati ule nipo madrasa kule jang'ombe zanzibar. Na kama tujuavyo Historia tangu kipindi cha Eve na Adam mpaka sasa ni vita kati ya shetani na watoto wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…