tanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TANZIA MOZART MBENA AMEFARIKI DUNIA. ALIKUWA DJ MAARUFU MBEYA.

    Aliyekuwa mjumbe wa magroup ya whasap ya globify na dj maarufu mbeya amefariki jana jijini mbeya ndugu Mozart Mbena Mwenyezi Mungu ampe pumziko la milele poleni sana wana Mbeya. Kwaheri rafiki ! Tutaonana baadae.
  2. U

    TANZIA Mwimbaji maarufu kundi la Zabron Singers, Marco Joseph afariki dunia

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa za msiba mwimbaji wa kundi la Zabron Singers, Marco Joseph afariki dunia Mwimbaji wa kundi la Zabron Singer, Marco Joseph amefariki dunia kwa ugonjwa wa Moyo jana usiku akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Shemeji wa marehemu, Tecla...
  3. U

    TANZIA Sheikh Doga amefariki Dunia

    SHEIKH DOGA AMEFARIKI DUNIA Kutoka ukurasa wa Sheikh Ibrahim Ghulaam إنا لله وإنا إليه راجعون INNAA LILLAHI WAINNAA ILAYHI RAAJIUUN Mmoja wa Masheikh Maarufu na bobezi mno katika fani ya Shariah Sheikh Muharram Juma Doga amefariki usiku wa kuamkia leo Jumanne na kuzikwa wakati wa Adhuhuri...
  4. Binadamu Mzee Zaidi Duniani Afariki Dunia

    Mtu mzee zaidi duniani, Maria Branyas Morera wa Uhispania, ambaye alizaliwa nchini Marekani na kuishi katika Vita ya Pili Dunia, amefariki akiwa na umri wa miaka 117, familia yake ilisema Jumanne. "Maria Branyas ametuacha. Alikufa kama alivyotaka: usingizini, kwa amani na bila maumivu," familia...
  5. Pwani: Mtuhumiwa afariki kwa kujinyonga katika Mahabusu ya Mahakama

    Tarehe 13.08.2024 majira ya 12:20hrs huko katika Mahakama ya Wilaya ya Kisarawe, Mkoa wa Pwani, Seleman Mzirai Kibiki, Miaka 49, Fundi magari na Mkazi wa Kiluvya, Kisarawe alijinyonga akiwa mahabusu ya Mahakama akisubiri kupelekwa gerezani mara baada ya kutiwa hatiani. Marehemu alihukumiwa...
  6. J

    Mwanafunzi Umbwe boys afariki dunia akifanya mazoezi

    Mwanafunzi wa kidato cha tano, katika Shule ya Wavulana ya Umbwe, iliyopo Kata ya Umbwe Onana, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Thomas Edward Kogal (19) amefariki dunia wakati akifanya mazoezi shuleni hapo. Mwanafunzi huyo ambaye ni mwenyeji wa Mkoa wa Kigoma, anadaiwa kufariki dunia juzi...
  7. TANZIA Mwanamuziki wa Bongo fleva Mandojo afariki Dunia

    Mungu ailaze mahali pema peponi nafsi yake Bwana alitoa Bwana ametwaa. === Msanii wa Bongo fleva Mandojo amefariki dunia asubuhi ya leo August 11 2024, akiwa Jijini Dodoma. Kwa mujibu wa habari za awali Mandojo amefariki kwa kupigwa na wananchi waliodhani kuwa ni mwizi baada ya kutokea...
  8. TANZIA Mzee Kavana (alishiriki Maasi ya 1964) afariki dunia!

    Mzee Kavana, aliyekuwa Captain Kavana mwaka 1964 na aliyechagulia na askari wa Tanganyika Rifles walioasi ili awe kiongozi wao badala ya wazungu, amefariki jana 9/8/2024. Captain Kavana wakati huo alikuwa hana hili wala lile huku askari waasi wakishinikiza kuwa kwa vile tumepata uhuru, lazima...
  9. TANZIA Issa Hayatou, Rais wa zamani wa CAF afariki dunia

    Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Issa Hayatou wa Cameroon, amefariki dunia mjini Paris siku ya Alhamisi akiwa na umri wa miaka 77. Kulingana na Afrik-foot, kifo cha Hayatou kimethibitishwa na vyanzo kadhaa vya kuaminika, akiwemo mwenzake wa zamani Gerard Dreyfus na mwandishi...
  10. TANZIA Connie Chiume: South African TV star dies aged 72

    Connie Chiume, a veteran South African actor who appeared in Marvel film Black Panther, has died at the age of 72, her family has announced. The multi-award-winning actress starred in several South African TV shows including Rhythm City, Zone 14 and most recently, Gomora. Chiume was a trained...
  11. TANZIA Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomoni Mwalabhila afariki dunia

    Tumepokea taarifa ya ajali ya gari ndogo ambapo mmiliki wa Mabasi ya kampuni ya Sauli Luxury Solomoni Mwalabhila amefariki dunia kwenye ajali hiyo. Tunatoa pole sana kwa Kampuni ya Sauli Luxury. Ajari ya barabarani imeondoka na roho ya mmiliki wa mabasi ya Sauli Luxury siyo mbali sana na...
  12. U

    TANZIA: Padre Dkt Fidelis Mgimwa kuzikwa leo jumatatu Julai 29,2024

    Wadau hamjamboni nyote? Tumsifu Yesu Kristo Roho ya Marehemu ilale mahala pema peponi
  13. Njombe: Mfanyabiashara aliyevamiwa na kujeruhiwa afariki dunia

    Mfanyabiashara Maarufu mjini Njombe bwana Godfrey Ndambo amevamiwa na kujeruhiwa vibaya na watu Wasiojulikana usiku wakati akirenea nyumbani kwake ambapo baadae alifariki kutokana na majeraha hayo,Polisi wamethibitisha. Baada ya kuvamiwa walimpora pesa kiasai Cha Milioni 47 na kutokea...
  14. TANZIA Naibu Waziri wa Elimu Mstaafu Mzee Nazar Nyoni afariki dunia

    Naibu Waziri wa Elimu wa zamani wa Serikali ya Tanzania wa Awamu ya Kwanza, Mzee Nazar Nyoni, amefariki dunia jana tarehe 19/07/2024 majira ya saa 3 asubuhi nyumbani kwake Morogoro baada ya kuugua kwa muda mrefu. Mzee Nyoni amefariki akiwa na miaka 92. Marehemu aliwahi kuwa Naibu Waziri wa...
  15. Ilikuaje mtu kama majambo alikufa masikini huku akiwa katelekezwa?

    Niaje waungwana, Kwa wale wakongwe wenzang wa enzi zile za miaka ya 80s kurudi nyuma, na hasa wazawa halisi wa mkoa wa Dar es salaam nafikiri mnamjua au kumkumbuka mzee fulani kwa jina mzee Majambo aliekuwa anazunguka mkoa wote wa Dar es salaam na marimba yake akiimba nyimbo zake za kitamaduni...
  16. Arumeru; Afariki Dunia Baada ya kunywa pombe za mashindano

    Kijana Mmoja aitwae christofer katoka kijiji cha ikiloriti wilayani Arumeru amefariki dunia mwisho wa wiki iliyopita baada ya kunywa pombe kali za mashindano. Balozi wa kitongoji hicho amesema kuwa Mume wake nae alinusurika kufa wiki iliyopita kutokana na kijana Mmoja aitwae Dick ambae ni...
  17. TANZIA Sheikh Said Nyange afariki akihiji Mecca na kuzikwa hukohuko

    Sheikh Said Nyange amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 48 usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua ghafla akiwa Makka nchini Saudi Arabia alipokwenda kuhiji na tayari ameshazikwa hukohuko baada ya kupata ridhaa kutoka kwa familia. Kazaliwa Machame,kazikwa Mecca Saudi Arabia
  18. TANZIA Katibu Tawala mkoa wa Kilimanjaro, Dkt. Tixon Nzunda afariki kwa ajali ya gari

    Taarifa za awali kutoka mkoani Kilimanjaro zinaeleza kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Kilimanjaro, Dkt Tixon Nzunda pamoja na dereva wake wamefariki dunia kwa ajali iliyotokea eneo la Mjohoroni mkoani humo. Bado mamlaka husika hazijatoa taarifa juu ya ajali hiyo. Picha kutoka eneo ilipotokea...
  19. TANZIA Dkt. Shogo Mlozi, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki afariki dunia

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ametangaza kifo cha Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dk Shogo Mlozi. Spika Tulia ametangaza kifo hicho leo Alhamisi June 13, 2024 kabla ya kuanza kwa kikao cha 46 cha mkutano wa 15 wa Bunge la 12 Bungeni Jijini Dodoma...
  20. TANZIA Mhasibu jiji la Mwanza afariki ajalini akiwahi kwenye mazishi

    Mhasibu wa Idara ya Mapato ya Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Amon Joseph (41) amefariki dunia katika ajali ya gari akienda kwenye maziko ya baba mzazi wa mhasibu mwenzake, yaliyotarajiwa kufanyika leo wilayani Kwimba mkoani hapa. Akizungumza na Mwananchi kwa simu Jumanne Juni 4, 2024, Kamanda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…