tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Je! Nini hatma ya mkulima na mazao yake Tanzania?

    Niki fikiria kuhusu gharama za kilimo na Bei zilizopo" nabaki najiuliza Nini maana ya kilimo ni uti wa mgongo wa taifa letu? Hebu fikilia.. Kukodi shamba ni pesa Kulima ni pesa Mbolea ni pesa Kupalilia ni pesa Kuvuna ni pesa Kutoa mazao shambani kwenda mjini ni pesa Tena ni tsh 1000...
  2. JamiiForums Tanzania Uthibiti wa Matumizi ya Mapanga/Machetes Nchini Tanzania

    ulinzi ni jukumu la kila raia , sasa tukiweka ulinzi tu kwa viongozi pekee tukawaachia raia mzigo mkubwa wa ulinzi wao. itakuja kuwa backfire vibaya sana. sio salama sana viongozi kuzungwa na watu wengi wa hovyo(wasio fuata taratibu na sheria/( kujichukulia sheria mkononi)). ili jamii nzima...
  3. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwani anahitaji kura ngapi ili awe mshindi wa urais Tanzania?!

    Nchi hii haina kiwango cha kura ili mtu awe mshindi. Hata akipata kura milioni 1 anatangazwa mshindi. Hivyo ili kumzuia lazima kuwa na mbadala, ama tuzuie hili zoezi lisifanyike au wagombea wapotezwe. Bila hivyo tunatwanga maji.
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Lyata: Uchaguzi ukifanyika kwa mazingira ya sasa tutarajie Tanzania iliyogawika

    Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Sikonge, Felix Lyata amesema kama uchaguzi ukifanyika kwa mazingira ya sasa tutegemee kuiona Tanzania iliyo gawika kwasababu itatokea kundi la watu litasema huyu ni Rais wetu, mbunge wetu kwa sababu tulimchagua sisi na wengine watasema huyu hatukumchagua sisi kila mtu...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kenya, Tanzania kufuzu kwa raundi inayofuata ya mchujo wa kufuzu kwa Kombe la Dunia la FIFA la Wanawake U-20

    Luanda, Angola Septemba 28, 2025 Tanzania imesonga mbele kwa jumla ya mabao 7-0 dhidi ya Angola. Baada ya kushinda 4-0 katika mechi ya kwanza, Tanzania ilipata ushindi wa 3-0 katika mechi iliyochezwa Jumamosi mjini Luanda. Winfrida Hurbert Gerald, Asha Omary Ramadhani na Neema Paul Kinega...
  6. S

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Balile: Dunia nzima Mwendokasi ipo Tanzania na Brazil tu

    Wakuu nimekutana na hii video ya Mwenyekiti wa jukwaa la wahariri Tanzania (TEF) akisema kuwa dunia nzima mwendokasi ipo Brazil na Tanzania tu. Hii imekaaje?
  7. JamiiForums Tanzania Zaidi ya Asilimia 86 ya Pombe Zinazouzwa Tanzania Zimechakachuliwa. Mnaua Figo na Maini Yenu!

    TBS wameshindwa kazi. Ni kila mtu na lwake. Pombe feki zinachanganywa na mbolea. Madawa ya hospitalini. Makemikali ya viwandani. Halafu wewe unafakamia. Miaka mitano tu mbele ya safari figo na ini hoi. Maisha yanakoma. Ewe mlevi na mnywaji: chukua hatua...
  8. JamiiForums Tanzania Watu wa Arusha acheni wivu na ubaguzi.. kila mtanzania ana haki ya kuishi popote ndani ya Tanzania.

    Ninashangaa jeshi la polisi kutowachukulia hatua hawa wananchi wa Arusha wenye roho mbaya na wivu kwa mpambanaji Chinaa. Kumtaka ahame mtaa ni kumnyima haki yake ya kikatiba ya kuishi popote ndani ya nchi hii. Hii mbegu ya ubaguzi inayozidi kuchipua huko Arusha inabidi ikomeshwe. Halafu...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Matukio 3 yaliyofanywa na Samia, yanayoidhalilisha taasisi ya urais ya Tanzania

    1. Kukumbatiwa kama Mwajuma wa Tandale na mhuni Wicknell Chivayo ndani ya ikulu ya Tanzania. This is abomination. 2. Kunyweshwa kinywaji kilichonywewa (na kuachwa) na Philipe Nyusi kama ishara ya kufurahia hafla. That was extremely damning. 3. Tulianza kuziona dalili za mama kupenda...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mungu anaonyesha Hapendi Wahuni waongoze Tanzania

    Registered Trustees of Alliance for Change and Transparency [ACT Wazalendo] and Luhaga Joelson Mpina vs Registrar of Political Parties and Attorney General (Miscellaneous Civil Cause No. 23617 of 2025) [2025] TZHC 5816 (26 September 2025 Citation Registered Trustees of Alliance for Change and...
  11. JamiiForums Tanzania TANZANIA inakutegemea wewe mzalendo wa kweli

    Watumishi wote mnao husika na Serikali moja kwa moja TAKUKURU Tujitafakali Polisi Tujitafakal JWTZ Tujitafakali Magereza Tujitafakali Usalama wa Taifa Tujitafakali Watanzania TUJITAfakari! wote kwa ujumla wetu watanzania Leo mali za nchi zinaporwa kwa dharau na ujasiri wa hali ya juu. Ufisadi...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Cecilia Paresso: Wagombea wa CCM ndiyo wanatambua thamani ya utu na maendeleo ya Tanzania

    Kampeni kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 zimezidi kupamba moto huku makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiendelea kufanya mikutano maeneo mbalimbali kusaka kura kwa wagombea. Cecilia Paresso, ambaye alikuwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Peter Msigwa: Tanzania ipo salama kwenye mikono ya CCM

    Mchungaji Peter Msigwa akiongea na wananchi wa jimbo la Ismani katika uzinduzi wa kampeni za chama cha Mapinduzi zilizo fanyika katika viwanja vya Nanenane, Kata ya Itunundu, mkoani Iringa 25 Septemba 2025 amesema Tanzania ipo salama chini ya Chama Cha Mapinduzi. Pia Soma: GE2025 - Peter...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Maswali 14 ya Kompyuta Ambayo Watu Wengi Tanzania Huogopa Kuuliza (Lakini Wanauliza Sana Kimoyomoyo)

    Majibu ya Maswali 14 ya Kompyuta Ambayo Watu Wengi Tanzania Huogopa Kuuliza (Lakini Wanauliza Sana Kimoyomoyo) Kama wewe ni mfanyabiashara mdogo au mwanafunzi, unatumia kompyuta kila siku lakini unakutana na changamoto ndogo ndogo ambazo hujui pa kuanzia. Na mbaya zaidi, huwezi kuuliza kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Afrika hasa Tanzania tuna uongozi au uongo?

    Ukiwasikia na kuwasiliza kwa makini, watawala wanavyowahadaa na kuwadanganya watawaliwa unashangaa na kujiuliza. Je tuna uongozi au uongo? Nafikiri na kuwaza kimya kimya baba yenu nyote.
  16. JamiiForums Tanzania Tusidanganyane, Tanzania hakuna usafiri wa mwendokasi ila daladala za kawaida zinaweza kugeuzwa mwendokasi

    Kinachotakiwa ni kuweka dalala katika madaraja mawili ya nauli kama ilivyo katika vivuko ferry(Azam na cha serikali). Mfano Makumbusho mpaka posta zinawekwa daladala ambazo nauli ni shillingi 2,000 na inakuwa hakuna kupakiza abiria njiani itakapotoka stendi mpaka itakaposhusha abiria wote posta...
  17. JamiiForums Tanzania Kipimo halali kinachokubalika Tanzania kujipima mwenyewe HIV ni kipi?

    Habari Ni kipimo gani ambacho kinakubalika na serikali ya Tanzania kujipima mwenyewe(self test) virusi vya Ukimwi(HIV) Ukienda kuuliza kwenye maduka ya dawa (pharmacy) hivi vipimo vya kupima kwa kutoa damu wengi wanauza kwa kificho kwa maana hairuhusiwi kumuuzia mtu binafsi. Kuna kipimo cha...
  18. JamiiForums Tanzania Siku yaja Ibrahim Traore wa Tanzania atakua madarakani

    Mambo ni moto . ..nilisema Kuna siku isiyo na Jina TRAORE wa Tanzania ataingia madarakani . .. Na siku hio itakapokuja, hakika kuna watu watafungwa... Wengine watakimbia nchi, wengine watanyongwa, wengine watafilisiwa, Tanzania mpya itazaliwa yenye kusimikwa ufalme na Mungu na sio shetani...
  19. JamiiForums Tanzania Berlin Marathon Leo Tarehe 21/10 Live Updates Tanzania Ina wakikishwa Na Gabriel Geay

    Wakuu muda huu Berlin marathon inafanyika huko Germany na Tanzania ikiwakilishwa na Gabriel Geay Mwenye rekodi Bora ya masaa 2:03:00 katika 42km full marathon.. Tutegemee medali!! Naona Kwa Tanzania hakuna tv station inayoonyesha ila wenye dstv wanaonesha.. Kenya wenzetu kupitia Ntv
  20. JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania, siyo watu wa kujenga ukaribu nao

    Ni mhimu kujifunza hili ; POLISI SIO JAMAA YAKO kama umewahi kuambiwa polisi ni mtanzania mwenzako nadhani afya yako ya akili haipo sawa nenda kapimwe mkojo. Ipo hivi, Polisi kabla ya kuwa POLISI lazima abadilishwe akili yake na kuwa kama Mbwa yani kule wanapopata mafunzo hubadilishiwa ubongo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…