tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa kweli na habari njema kwa taifa la Tanzania

    Habari ndugu na jamaa! Pole na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku. Sio mwandishi mzuri, lakini leo nataka nikupe kisa cha kweli kuhusu taifa lako. Mwaka 2016, nikiwa mwanafunzi wa mwaka wa tatu UDOM (sitaeleza mengi kuokoa muda na usomaji pia). Nilipata habari ambayo binafsi, mwanzo...
  2. JamiiForums Tanzania Sala Maalumu ya kuombea Haki na Amani ya nchini Tanzania kama ilivyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC)

    SALA YA KUOMBEA HAKI NA AMANI Ee Mungu tunakusifu, tunakuheshimu, tunakutukuza, tunakuabudu na kukushukuru sisi Watanzania kwa kutujalia Nchi nzuri. Tunakushukuru pia kwa zawadi ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei 2025. Tukiwa Mahujaji katika Matumaini, tunakuomba utuepushe na changamoto zinazoweza...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania sheria ya viumbe hai ikoje?

    Tunaona mara kwa mara operations za kuwaua baadhi ya viumbe hasa wanyama kwa sababu fulani fulani. Sikatai uhai wa binadamu ni muhimu na unatangulizwa mbele (unapewa kipaumbele) dhidi ya uhai wa viumbe wengine Lakini nashangaa na ninaona kama muda mwingine hatua inayochukuliwa ni ya juu mno...
  4. JamiiForums Tanzania Taswira ya Vyombo vya Habari Tanzania katika tangazo la TEC

    Chawa wakiitisha press kufanya mambo yao yanayoambatana na comedy mbovu au "wahuni" wakijibu Polepole unakuta mic 🎤 zimejaa mpaka zinaanguka kutoka mezani, katibu wa TEC anaongea kuna mic moja tu ya Jambo TV! Hata wakatoliki wenye viTV vyao vya mfukoni wako mashimoni kama panya wanaosubiria giza...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Tuwaepuke Agents of Proxy Wars in Tanzania!

    Kitendo cha kupiga kura oktoba 29 ni jambo muhimu na hatua muhimu ya kuelekea uhuru kamili wa Tanzania. Kwa miaka mingi Africa imekumbwa na migogoro inayosabsbishwa na vita baridi na vita kivuli(proxy war) baina ya mataifa makuu mawili yaani Mmarekani na mrusi. Leo hii ukichunguza kwa kina na...
  6. JamiiForums Tanzania Huu ujumbe kutoka mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA mmeupata?

    Leo mapema nimepokea hii message kutoka mamlaka ya Mawasiliano TCRA wakinihimiza nitumie mitandao ya kijamii vizuri je ni mimi peke yangu ana wengine pia mmeupata na kwanini wanafanya kwa nini mitandao ya simu inaruhusu huu ujinga?
  7. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Tanzania aliyokuwa anaitaka Mwalimu Nyerere

    Hii haipingiki japo Mwalimu Nyerere alifanya mengi mazuri hiyo haimaniishi ya kwamba hakufanya hakuteleza pia Mwalimu Nyerere hii ndiyo Tanzania aliyokuwa anaitaka Mwalimu kwa kujua au kutojua Mwalimu alitengeza uoga kwenye nchi hii watu wawe waoga kuhoji kila kitu wawe bwana ndiyo tu kuna namna...
  8. JamiiForums Tanzania Samia ameutia aibu sana umma wa Kiislam Tanzania.

    Uongozi chini ya waislam ulisifika kwa utulivu na upole, watu waliamin nchi rais akiwa muislam inakuwa tulivu, ukijumlisha na yeye kwenda kumuangalia Tundu Lissu Nairobi, basi watu walifurahi sana na alipokea sifa kedekede. Kumbe ni vile hakuwa na power, sasa amepata power, ameharibu sifa zote...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini Uganda inarushwa mubashara ktk TV. Kwanini kesi ya TAL hairushwi mubashara na TV za Tanzania?

    ..kichwa cha habari chahusika. ..kesi ya uhaini inayoendelea Uganda inarushwa na TV zao mubashara. ..kesi ya uhaini inayomhusu TAL hapa Tanzania ilianza kurushwa mubashara. ..lakini katika mazingira na sababu zisizoeleweka Mahakama ya Tanzania imekatisha kesi ya uhaini ya TAL kurushwa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania "Utekwaji nyara wakosoaji, si sera. Ni doa la aibu!" Mwonekano huu wa Tanzania ya leo ni kwa manufaa ya nani?

    Hii ni tahariri yenye kutuakisi tulipo: Mwonekano halisi wa Tanzania ya leo. Ukweli mchungu: "Mtanzania gani anaweza kuwa mnufaika wa Tanzania hii? "
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya CDF kuhongwa Uwaziri Mkuu, Wanajeshi wa Madagascar waungana Rasmi na Wananchi

    https://x.com/marxistJorge/status/1976999644975841453?s=19 "Watoto wetu wanahangaika sana , hayupo hapa Kuwaua wala kuwpaiga .Na sisi pia tunatipitia kile kile wanachopitia watoto wetu.Ni lazima tuwaunge Mkono " . TUSIKUBALI KUHADALIWA KWA PESA AU NAFASI ". Haya ni Maneno ya Hasira na Uchungu...
  12. JamiiForums Tanzania Safari ya Demokrasia Nchini Tanzania toka mfumo wa vyama vingi ulipoanza hadi leo

    Mwaka 1992 uliandikwa kama mwaka wa mabadiliko makubwa katika historia ya kisiasa ya Tanzania. Baada ya miaka mingi ya mfumo wa chama kimoja uliotawaliwa na TANU kisha CCM, shinikizo la kisiasa na kiuchumi lilianza kujenga msukumo mpya. Wanazuoni wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, waandishi wa...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Mimi siungi mkono maandamano. Huwezi kushindana na Dola. Tutavuna vifo na vilema Dola itatamalaki na TANZANIA itabaki

    Huu ni misimamo wangu siungi mkono maandamano Kwa hili nitaungana na serikali kwasababu huwezi shindana na Dola na pia ukishindana nayo wengi mtakuwa vilema na marehemu. Nashauri swala la maandamano lifuteni Hilo halipo na Mimi nitakuwa upande wa Dola.
  14. X

    JamiiForums Tanzania Hatimaye BYD wafungua dealership Tanzania

    Mchina kaamua kuwasogezea huduma hadi nyumbani. BYD wameamua kufungua dealership ya vyuma vya umeme Tanzania. Sasa ni wakati wa kutembelea matako bila kuwazia bei ya mafuta, mchawi Tanesco.
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Doyo: Elimu ya Tanzania haina maslahi kwa wananchi

    Mgombea Urais kupitia Chama cha NLD Doyo Hassan Doyo ameutaja mfumo wa elimu ya Tanzania kuwa ni usio na maslahi kwa wananchi wake. Doyo amezungumza hayo akiwa katika muendelezo wa kampeni zake Mkoa wa Rukwa katika Wilaya ya Sumbawanga Leo Oktoba 11, 2025 akisema mfumo huo unamfanya mwanafunzi...
  16. JamiiForums Tanzania Marekani yaufuta mradi wa tanzania NCO development

    Serikali ya Marekani imeufuta mradi wa Tanzania NCO Development ambao ulikuwa na thamani ya dola million 3.1 Mradi huo ambao ulikuwa ni mradi wa Marekani kutoa mafunzo ya kijeshi kwa wanajeshi wa Tanzania wenye vyeo vya chini ( Non officers) , Marekani imefikia hatua hiyo ya kusitisha mradi huo...
  17. R

    JamiiForums Tanzania As long as hakuna Independence of thé Judiciary, then hakuna Majaji Tanzania au in a broad sense Tanzania hakuna Mahakama

    Sifa kubwa ya uwepo wa Mahakama, NAMBA moja with exclusivity of any other factors, ni INDEPENDENCE OF THE JUDICIARY Hiyo sifa hapa TZ hatuna. Hivyo hakuna mahakama. Kuna kusanyiko la wahuni wanatoa kinachokuja kichwani mwao kama so called Hukumu!
  18. JamiiForums Tanzania PayPal Tanzania

    Wakuu habari za muda huu. Ni mwaka 2025, dunia inakimbia kwa kasi kwenye suala la teknolojia, lakini sisi bado tumekwama kwenye jambo dogo la huduma ya kifedha ya mtandaoni kama PayPal. Watanzania — hasa vijana wa kidigitali, wabunifu, wasanii, freelancers, na wafanyabiashara mtandaoni —...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania Police Force has Deployed Over 4,000 Police Officers to Educate Public on Responsible Social Media Use

    The Tanzania Police Force, through its spokesperson, the Deputy Commissioner of Police (DCP) David Misime, has revealed the deployment of more than 3,900 officers across Mainland Tanzania and 388 in Zanzibar to conduct public education on the responsible use of social media Speaking to the...
  20. JamiiForums Tanzania Remembering Nyerere: Road to hell is paved with good intentions

    Remembering Nyerere: Road to hell is paved with good intentions By Charles Makalala Thursday, October 09, 2025 - 5 min read It’s that time of year again. The day we mark the passing of Tanzania’s founding father, Julius Kambarage Nyerere. Twenty-six years now. I remember the day he died...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…