Ulishawai kuiona familia ambayo haina mzazi?
kila mtu ni kambale anafanya anachotaka!
nashangaa hizi siku kila mtu alipo anajiropokea tu, kila mtu anaongea anachojiskia,
Kuna chizi mmoja anajiita shekhe amehaidi kuwakata vichwa wote wataoandamana desemba9, tena akiwa mbele ya vyombo vya...