tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Benki ya FNB - Tanzania imesitisha kufungua akaunti za Forex

    Habari wana jukwaa; I must declare; Mimi bado ni mwanafunzi katika tasnia ya FOREX. Sasa jana nilienda pale FNB Ohio st. ili nifungue akaunti ambayo ingekuwa mahsusi kwaajili ya FX tu. Lakini zoezi halikufanikiwa kwasababu niliambiwa kuwa hivi sasa wameamua kutofungua tena akaunti za FOREX...
  2. P

    2026 Lazima ICC ikamate viongozi Kadhaa Tanzania

    2007/8 nilipokuwa internship katika firm ya wakili Ogeto (Kenya) niliona na kushuhudia namna ushahidi/evidence zinavyokusanywa na jopo la mawakili wa ICC imenipelekea pasipo shaka kuamini kuwa 2026 lazima kuna viongozi kwa mara ya kwanza kutoka Tanzania watakamatwa na ICC.. Wanaanzaga pole...
  3. What is the average salary of software engineer in Tanzania? Wastani wa Mshahara wa sofware enjinia ni kiasi gani?

    Hello, I am wondering what is the average monthly salary for developer/software engineer in Tanzania? Junior/Senior levels? Je mshahara wa programa wa kompyuta ni kiasi gani kwa mwezi? wastani. asanteni
  4. Kuna viongozi wetu hawajui kuwa Tanzania ni nchi kubwa sana Kimataifa! Tanzania ina rekodi ya kipekee Duniani bado haijavunjwa!

    With due respect, naomba niseme kuwa Tanzania viongozi wengi hawajui ukubwa na umuhimu wa nchi ya Tanzania kwenye jicho kuuu la Ki mataifa. Naomba niwakumbushe yafuatayo: Rais Bill Clinton akiwa madarakani aliwahi kutembelea Tanzania Rais Bill Clinton akapokelewa kijiti na Rais George Bush...
  5. Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

    Wanabodi, Kabla Magufuli hajawa rais wetu, sisi wengine wenu tulijua tangu mwaka 2014 na tukasema humu!.Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli Miongoni mwa sifa zilizomuibua Magufuli ni sifa inayoitwa "uthubutu" boldness and sometimes unreasonably boldness...
  6. Wazee wa Arduino tupeane changamoto hapa

    Mie changamoto yangu ni namna ya kupata ARDUINO original nyingi nakutana nazo ni clone tu wazee.
  7. Tundu Lissu alijua analolifanya ndiyo maana alisema 2020 atagombea Urais Tanzania

    Sheria mpya iliwekwa kuwa kila mgombea ni lazima awe ameishi Tanzania kwa miaka miwili mfululizo. Akatolewa u bunge kibabe na kuwekwa mbunge wa “viti maalum wasiojulikana” na wakati huo huo mbunge huyo akapewa mamilioni ya pesa ili atatue kero ya maji. Ushurikiano huo Lissu hajawahi kupewa...
  8. Jukata kufufua madai katiba mpya Tanzania

    Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata) limesema mwaka 2020 litafufua mchakato wa kudai Katiba Mpya. Kauli hiyo imetolewa leo Jumamosi Februari Mosi 2020 na mkurugenzi mtendaji wa jukwaa hilo, Bob Wangwe katika mafunzo maalum ya asasi za kiraia kuhusu namna zinavyoweza kulinda haki zao za kikatiba...
  9. Eliot Engel anatumiwa na nani kutaka kuchochea vurugu Tanzania?

    Huyu ni Mzee aliyeingia bungeni huko Marekani toka miaka ya 89 yaani huwezi kumtofautisha na mzee Wassira kwa kung'ang'ania cheo. Huyu ndiye mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje kwenye bunge la Marekani. ni mwanaharakati wa kutetea haki za mashoga na pia alikuwa ni mmoja wanaompinga Rais Trump...
  10. Ubalozi wa USA Tanzania unahusika katika vikwazo hivi

    Naamini Ubalozi wa Marekani nchini unahusika kwa asilimia 100% kutokea yaliyotokea jana ambayo kila mmoja anajua kilichotokea. Kama kuna makosa yaliyofanyika chini ya Makonda kwa kudhurumu haki za kuishi za wengine ushahidi uwekwe wazi Watanzania tujue.
  11. Bunge la Senate lapongeza zuio la Paul Makonda kuingia Marekani. Lasema huo ni mwanzo wa kuwawajibisha walioua demokrasia ya Tanzania

    Siongei sana
  12. Is Tanzania on the edge of a Precipice?

    Last month, a survey by the Delegation of German Industry and Commerce for Eastern Africa showed that business confidence from German companies had declined across the entire region, but nowhere was this decline more evident than in Tanzania. With a score of only 25%, Tanzania is falling...
  13. Ubalozi wa Marekani: Tumetiwa moyo na hakikisho la Rais Magufuli kwamba uchaguzi mkuu 2020 utakuwa huru, wa haki na wenye uwazi

    Tamko hili ni kama agizo juu ya kauli aliyotoa Rais Magufuli juu ya uchaguzi mkuu wa 2020. Hilo suala la Tume huru ya uchaguzi halijaingizwa hapo kwa bahati mbaya bali linaonyesha lina kusudio maalumu. Haya US wamepiga kulia huku kushoto WB wametwanga kivingine. Hakika mwaka huu kuna makubwa...
  14. Pharmacist Director Of Operations at opulation Services International Tanzania

    Job title: Pharmacist Director Of Operations Job details: Who we are: With over 45 years of experience, working in over 60 countries, Population Services International (PSI) is the world's leading non-profit social marketing organization. PSI is reimagining health care, by putting the...
  15. GE2020 Namshauri Zitto asirejee Tanzania aombe political asylum hali si shwari sana

    Namtahadharisha ZITTO awe makini huku nyumbani si shwari walimkosakosa sana sasa sio ajabu wanamtengenezea sherehe kamili. Hatungependa ya Lissu yajirudie tena maana makovu yale hayaponi. KWANINI ZITTO ASIREJEE KWANZA 1. Inaweza kuwa system imemchoka hivyo substitution by elimination ikawa...
  16. Wash Officer at UNHCR Tanzania

    Position: Wash Officer Organization: UNHCR – United Nations High Commissioner for Refugees Location: Kibondo (Tanzania) Grade: P-3, International Professional – Internationally recruited position – Mid level Occupational Groups: Water, sanitation and hygiene (WASH) Before submitting an...
  17. Msemaji wa serikali: Uchumi wa Tanzania umekua kwa 6.9%

    Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi amesema kwa takwimu za mpaka September 2019, uchumi wa Tanzania umekua kwa 6.9% huku matarajio yakiwa ni kufikia hadi 7.1% “kwa Afrika Mashariki tunahangaika na Rwanda, kwa Nchi za SADC Tanzania ni miongoni mwa Nchi ambazo zinaongoza kwa uchumi wake...
  18. Filamu za kutangaza utalii wa Tanzania kuonyeshwa kwenye ndege 300 duniani

    Dar es Salaam.Balozi wa Indonesia nchini Malaysia, Rusdi Kirana amekubali kuonyesha filamu za kutangaza za utalii wa Tanzania kwenye ndege 300 zinazofanya safari kwenye zaidi ya nchi 50 duniani. Balozi Kirana ambaye pia ni mfanyabiashara mkubwa anayemiliki mashirika ya ndege ya Lions Group...
  19. Nini mchango wa Freemasons katika ukuaji wa uchumi wa Tanzania?

    Wakuu nimekaa kijiweni najiuliza hawa mabwana wana mchango gani katika maendeleo ya nchi yetu? Wanakakanisa pale karibu na BOT, ila tofauti na makanisa/misikiti mingine sijawahi kusikia wanafanya mikutano ya hadhara (huamasisha amani). Kutoa misaada kwa jamii (Yatima, wagonjwa na walemavu)...
  20. Nitaendelea kushirikiana na Zitto Kabwe pamoja na Lissu kuichoma Serikali ya Tanzania

    Mimi siyo mnafiki ila kiukweli ninayajua na kuyafahamu mengi yanayofanywa na Serikali ya Magufuli. Serikali kusema kweli imekuwa ikifanya mambo ya ukandamizaji na haya yanayohubiriwa hakuna lolote lile. Sasa basi mimi nitaendelea kutoa ushirikiano kwa wadau wanaotaka mambo yaende sawa. Kusema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…