Wakuu,
Baada ya oparesheni dhidi ya ufisadi katika BoT, Serikali sasa inaelekeza juhudi kwenye kashfa ya Import Support Scheme, ambako yen Bilioni 16.6 (takriban shilingi bilioni 180) zilitoweka.
Wizara ya Fedha imeamua kuajiri kampuni binafsi za ukusanyaji madeni ili kuwadai wadaiwa 916...