tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa ipo Buswelu Mwanza Tanzania

    Inauzwa: Nyumba kubwa ya kuishi, iko kwenye kiwanja kikubwa cha square meters 2,539 (surveyed area) Mahali ilipo: Wilaya ya Ilemela, Busweru, Mwanza (Kilomita 2 kutoka ofisi za halmashauri ya Ilemela) Vilivyomo: vyumba vinne vya kulala, (master bedroom 1 na vyumba vitatu) Sitting & Dining...
  2. JamiiForums Tanzania JamiiForums imeleta mapinduzi makubwa Tanzania

    -Jukwaa hili hutoa nafasi kwa mtumiaji wake yeyote kuchapisha, mambo mbalimbali, kama vile habari, mijadala, na mafunzo mbalimbali, na hivi ndivyo ninavyolijua jukwaa hili. Aidha, jukwaa hili pamoja na kuwa ni chombo cha habari pia huweza kutumika kama sehemu ya mijadala au mafunzo mbalimbali...
  3. JamiiForums Tanzania Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

    This is too much.. SIKU chache baada ya Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Uzima na Ufufuo la jijini Dar, Josephat Gwajima kumtusi Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki nchini, Polycarp Kardinali Pengo, taarifa nyuma ya pazia zimeeleza kuwa mchungaji huyo ametumwa na kikundi cha watu fulani, Uwazi...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aagiza Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kutopewa mradi huku akimtaka Mtendaji Mkuu kujitathmini

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Arch. Daud Kondoro ajitathmini kuhusu utendaji kazi wake huku akiwasimamisha kazi wakurugenzi watatu wa wakala huo. “TBA tunaihitaji lakini watu wake wana shida. Hatuwezi kuwaacha, TBA wasipewe miradi kwa...
  5. JamiiForums Tanzania KPMG Consulting Limited inafunga biashara yake Tanzania?

    Nimeona tangazo kua kampuni ya ukaguzi na ushauri ya KPMG consulting company limited kua inafunga biashara(wind up) Je hii taarifa ni ya kweli?
  6. JamiiForums Tanzania Postdoctoral Position for the PartoMa Project in Tanzania at Aga Khan

    The PartoMa study is an interdisciplinary research project that suggests a large scale-up implementation study building on an innovative pilot study from Zanzibar, where context-tailored clinical guidelines and reoccurring training of birth attendants (the PartoMa intervention) appeared...
  7. JamiiForums Tanzania Mnaodhani kuwa ‘ Upuuzi ‘ mwingi wa ‘ Kimamlaka ‘ huwa upo Tanzania tu pekee mnakosea sana!

    Bodi ya Mikopo nchini Kenya imesema itachapisha majina na picha za watu 85,000 wanaodaiwa Sh50 bilioni za nchi hiyo tangu mwaka 1975. Chanzo: MWANANCHI
  8. JamiiForums Tanzania Jaribio la kugawanya vyama vya siasa Tanzania kutokana na misimamo ya siasa

    Mwanadamu kama mwanadamu waweza mtafsiri kama mnyama anayefanya siasa. Binadamu na maisha yake hapa duniani lazima afanye siasa, kwasababu siasa haikwepeki. Hii siasa yatokana na asili ya mwanadamu kushirikiana katika mambo tofauti. Hivyo, ili mwanadamu kuepusha kuishi kama wanyama pori...
  9. JamiiForums Tanzania Kodi ya biashara iko vipi Tanzania

    Nimefanya biashara ya vitenge kutoka Holland. Nilishirikiana na wenzangu mzigo ulishukia Ghana. Kwakuwa nilikuwa ninaanza, wateja walikuwa wananifuata nyumbani. Nimewasiliana na kiwandani watakuwa wananitumia mzigo bandari ya Dar. Mzigo ni mkubwa, ni mpango wa kufungua duka la wholesale...
  10. JamiiForums Tanzania Ombi Maalumu kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Ndugu Dkt. Magufuli na Watanzania

    Ni matumaini yangu makubwa kuwa Wanachama wote wa huu Mtandao wa JamiiForums mpo salama kabisa na Mwenyezi Mungu anabariki japo najua Changamoto za hapa na pale kwa Mwanadamu haziepukiki ila Kikubwa ni kutokata tamaa na Kumtumainia Yeye tu Maulana / Mola kwani Yeye ndiye mpangaji na mtoaji wa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania CECAFA Women Challange Cup 2019: Tanzania 9 - 0 South Sudan

    November 16, 2019 Dar-es-Salaam, Tanzania Tanzania 9-0 South Sudan CECAFA Women Challange Cup 2019 Source: Azam TV
  12. JamiiForums Tanzania Je, Rais wa Tanzania ipo siku atakuwa na la Kujibu kwenye mamlaka zijazo juu ya Kupotea kwa Ben Saanane?

    Nauliza swali hili very technically Niko Tiyari niendelee kukaa uhamishoni huku lakin na on a waandishi wa habari na watu wanaopaswa kuuliza ni waoga kupitiliza Saa Nane kwa Maneno yake Mwenyewe alisema "Nimetumiwa ujumbe baada ya kukosoa elimu ya mtu mkubwa na nikaambiwa andika Ben Saanane...
  13. JamiiForums Tanzania Usijaribu kufanya hivi hapa Tanzania

  14. JamiiForums Tanzania Wabunge wa Tanzania Vs Spika Ndugai Vs Wananchi

    Hivi wabunge wa Tanzania mkataba wao ukoje. Hawa ni wawakilishi wa wananchi na wananchi ndio huwatuma bungeni sasa kuna dhambi gani wananchi kuwatumia au kuwaandikia maswali wawakilishi wao ili wakaulize bungeni kwa niaba yao? Kwanini Spika alimkataza mbunge Devotha kuuliza swali kwa sababu...
  15. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi, Claims Analyst, Britam Insurance Tanzania

    Company: Britam Insurance Tanzania Location: Tanzania State: Dar Es Salaam Jobs Job type: Full-Time Job category: Administrative/Secretarial Jobs in Tanzania Job Purpose and Key responsibilities The role holder will be responsible for processing and payment of general insurance claims. The...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi Rais Magufuli anataka kuigeuza Tanzania kuwa mali yake binafsi?

    Nimekuwa nafuatilia mwenendo wa utawala huu wa awamu ya tano na nimekuja na "conclusion" kuwa Rais Magufuli anataka kuigeuza nchi hii ya Tanzania kuwa Mali yake binafsi na yeye anaamini kuwa atakalosema yeye ndiyo sheria na litatekelezwa! Tunajua wazi kuwa Rais Magufuli kabla hajaingia...
  17. JamiiForums Tanzania Anaitwa Roma: Wimbo mpya wa Roma Mkatoliki

    Roma Mkatoliki amerudi upya jamani. Ametoa wimbo mpya unaitwa "Anaitwa Roma". Ni Roma yule tuliyemzoea enzi za Mrisho akitamba na vibao vyake matata. Je Basata watauacha huu wimbo? Utafute mapema kabla hawajauchukulia hatua. Katika wimbo huo mimi nimependa mstari fulani hivi unasema; "Kwetu...
  18. JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Niwasisitize tu, wakati wa uchaguzi mtu asithubutu kuandamana, nitakushughulikia pale pale, kama ni suruali yako itachanikia pale pale

    IGP SIRRO ATOA ONYO KUELEKEA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA "Niwasisitize tu, wakati wa uchaguzi mtu asithubutu kuandamana, nitakushughulikia pale pale, kama ni suruali yako itachanikia pale pale kabla hujafika mbali na kwenda kuleta madhara kwa watu wasio na hatia,- Mkuu wa Jeshi la Polisi...
  19. JamiiForums Tanzania Nini faida ya Marais wastaafu wa Tanzania kwa nchi yetu?

    Tanzania mpaka sasa tuna marais wastaafu watatu ukiacha Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyetangulia mbele za haki. Hawa marais wastaafu ni wazoefu na wajuzi sana wa mambo kupitia uzoefu wa kuongoza nchi kwa miaka kumi kila mmoja. Swali huo uzoefu, maarifa na ujuzi wao umesaidia...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa mbinu kama hii Malaria na magonjwa yanayosababishwa na Mbu yanaweza kuondoshwa nchini Tanzania ndani ya miaka miwili

    Habari za leo kwanza kabisa nipongeze jitihada za dhati zinazofanyika kuondosha na malaria pamoja na magonjwa yanayotokana na Mbu katika safari zangu hivi karibuni nimesikia habari ambayo imenivutia na inaonyesha pengine tukiwapa nafasi wataalamu wetu binafsi pamoja na taasisi wanaweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…