tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. J

    Je, unaijua mikataba ya Haki za Binadamu ya Kimataifa ambayo Tanzania imesaini?

    MKATABA WA HAKI ZA BINADAMU NA HAKI ZA WATU WA UMOJA WA AFRIKA (MKATABA WA AFRIKA) Kifungu cha 9 cha Mkataba wa Afrika kinalinda haki ya uhuru wa kujieleza na kutoa maoni: 1. Kila mtu atakuwa na haki ya kupokea taarifa. 2. Kila mtu atakuwa na haki ya kujieleza na kusambaza mawazo yake kwa...
  2. Mombasa port records increased cargo destined to Tanzania, South Sudan and the DRC Congo in the first four months of the year

    The Mombasa port has recorded increased cargo destined to Tanzania, South Sudan and the DRC Congo while Uganda’s consignments declined in the first four months of this year. This is according to latest Kenya Ports Authority (KPA) performance report of 2020. The introduction and gazettement of...
  3. Mataifa 11 barani Ulaya yafanya makubaliano ya kufungua mipaka yao kwa ajili ya kuanza kupokea watalii

    Taarifa ya pamoja iliyotolewa na tovuti ya kidiplomaisa ya Ureno imesema, mawaziri wa mambo ya nje kutoka nchi 11 za Ulaya wamekubali masharti ya kufungua tena mipaka na kurejesha uhuru wa mawasiliano kati ya wakazi wa Ulaya. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, wawakilishi kutoka Ujerumani, Austria...
  4. Togo, Burundi na Malawi wameonesha njia; Tanzania tufuate!

    Yaliyotokea katika chaguzi kuu za nchi za Togo, Burundi na Malawi yameonyesha kuwa nchi za Afrika zinaweza kufanya Uchaguzi Mkuu ulio huru kwa amani na utulivu lakini kikubwa zaidi, zikapata viongozi wake bila kutegemea jicho la waangalizi wa kimataifa walioko nje ya Afrika. Janga la COVID-19...
  5. Kwanini Tanzania inashindwa kuzalisha tena wachezaji ambao ni "University Graduates" kama akina Engineer Leodgar Tenga? Tunakwama wapi kama taifa?

    Footballers with degrees: Kompany, Mata & 10 players who went to university | Goal.com Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania; Kwanini Tanzania inashindwa...
  6. Girls Learning Key Advisor – Shule Bora programme

    Girls Learning Key Advisor – Shule Bora programme Tanzania The Organisation Plan International is an independent development and humanitarian organisation that advances children’s rights and equality for girls. We believe in the power and potential of every child. But this is often suppressed...
  7. World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

    The World Bank is to officially declare Tanzania a middle income country as of 1st July 2020. Jumuiya ya Afrika Mashariki sasa inakuwa na mataifa mawili kwenye kundi la MICs. Swali: Itakuwaje kuhusu East African Community - European Union Economic Partnership Agreement? Maana Tanzania iligoma...
  8. Tanzania yazindua meli kubwa ya abiria katika ukanda huu wa Afrika

    Hatimaye Tanzania imefanya uzinduzi wa meli kubwa ya abiria Mv Mwanza hapa kazi tu, uzinduzi huu unarejesha safari za meli kati ya Mwanza na Bukoba baada ya miaka kadhaa kupita kufuatia ajali ya MV Bukoba kutokea, meli hii inasemekana ndio meli kubwa ya abiria Kusini mwa Jangwa la Sahara
  9. L

    Pamoja na lockdown ya Corona, walikuwa wanaota nyumbu na Ngorongoro Crater Tanzania

    Wazungu aka Mabeberu wana wivu sana, halafu wanataka kutuaminisha eti harakaharaka haina baraka na kutangulia sio kufika, kama sio wivu nini? Eti nimesikia miongoni mwa nchi 54 zilizoruhusiwa kuingia Ulaya Tanzania haimo. Huu ni wivu tu! Hawa sio wale waliokuwa wanaota nyumbu na Ngorongoro...
  10. Ufaransa yaikopesha Tanzania zaidi ya Tsh. bilioni 500 kwa miradi ya REA na maji Mwanza

    Leo Bwana Dotto James kapokea mkopo mpya wa zaidi ya shilingi bilioni 500 toka ufaransa kwa ajili ya miradi ya umeme wa REA na miradi ya maji jijini Mwanza. Chanzo: RFA habari === Ufaransa yaipa Tanzania bil. 600/- za miradi mitatu SERIKALI ya Tanzania na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD)...
  11. Southern Serengeti to host Africas largest Pioneer Disneyland theme Park

    Tunazidi kuwachapa za uso majirani. Hii ni baada ya Lion King kuleta mafanikio katika masoko. === Simiyu Region to host Africa’s pioneer Disneyland theme park Simiyu Regional Commissioner Anthony Mtaka told The Guardian yesterday that the mammoth facility is projected to cost 6trn/- and once...
  12. J

    Nyalandu: Saa ya mabadiliko ni sasa, si kwa Tanzania tu bali hata CHADEMA lazima ibadilike

    Mtia nia wa nafasi ya urais kupitia CHADEMA, Lazaro Nyalandu amesema saa ya mabadiliko imefika kwa taifa na chama chake cha CHADEMA. Nyalandu amesema endapo atapata ridhaa ya chama chake kugombea urais ataleta mabadiliko makubwa ndani ya CHADEMA na mabaraza yake. Chanzo: Clouds 360
  13. Tathmini ya uwepo wa Corona Tanzania

    Ninaishi Sinza, ninatembelea sana sehemu za Kariakoo, Ilala, Mbezi, G/mboto, Mwenge, Morogoro nk. Ndani ya hii miezi mitano, nimeshuhudia kifo kimoja na familia nzima kupelekwa quarantine ila walipona na sasa nipo nao mtaani. Personally hivi nimevishuhudia. Tetesi zinasema kuwa Corona ipo...
  14. GE2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020: Nimeanza ziara binafsi mikoa mbalimbali Tanzania Bara. Nitawaambieni hali halisi

    Wapendwa wangu wa JF nawasalimu nyote. Kuanzia makada wenzangu wa CCM na watadi wetu wa jadi CHADEMA na wapinzani wote kwa ujumla, nawapa taarifa. Mimi Mzee Tupatupa wa Lumumba, kwa gharama zangu mwenyewe na safari zangu binafsi, leo nimeanza safari za mikoa mbalimbali hapa nchini kuangalia...
  15. Tanzania licha ya kujiaminisha hawana corona, hawataruhusiwa kuingia bara Uropa

    Kwa Kenya kutokuwemo kwenye hii orodha inaeleweka maana hali sio nzuri, hatufichi maradhi na tumekubali tunacho kirusi na tunapambana, hivyo kwa sasa inaleta mantiki kwa sisi kuzuiwa kuingia popote, ila kwa wenzetu Tanzania wao wameng'ang'ania kwamba ndio taifa pekee dunia lisilo na tatizo la...
  16. Malawi: Kiongozi wa upinzani, Lazarus Chakwera ashinda Uchaguzi

    Maelezo ya picha Mwanga wa siasa ya Lazarus Chakwera ulifufuliwa baada ya mahakama kufuta matokeo ya uchaguzi wa urais wa mwaka jana Kiongozi wa upinzani nchini Malawi Lazarus Chakwera ameshinda duru ya pili ya uchguzi wa urais, maafisa wanasema. Alimshinda rain aliyekuwa rais wa nchi hiyo...
  17. Rais Magufuli awashangaa Wazaramo Jokate kutokuolewa

    Je, huu ni Utani wa kweli wa Kimakabila yetu nchini Tanzania au ni Utani wa Kutamani kweli huku Ukitega kuangalia anayetaka Kukuzidi Kete kwa Mrembo? " Hata Mkuu wa Wilaya wa hapa amefanya kazi nzuri katika kuondoa Zero, ninachowashangaa watani zangu Wazaramo hajaolewa, lakini mnashindwa...
  18. Gwambina Football Club yapanda Daraja kucheza Ligi Kuu Tanzania Bara 2020/21

    Gwambina Football Club yenye Maskani yake Misungwi, Mwanza hapo awali ilifahamika kama JKT Oljoro kabla haijabailishwa jina kuitwa Arusha United hatimae kuuzwa mwaka 2018 Tajiri wa Misungwi Ndg. Alexander Mnyeti hatimae imepanda Daraja kucheza Ligi Kuu Tanzania Bara musimu wa mwaka 2020/21 baada...
  19. GE2020 Bernard Membe: Tunafanyaje Uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi na Waangalizi wa Uchaguzi wa Kimataifa?

    Membe anahoji: "Je Tupo tayari kwenda kwenye Uchaguzi bila kuwa na tume huru? Tume huru ya Uchaguzi ndugu zangu, maana yake ni kwamba uwe na Tume katika ngazi ya Wilaya, Mkoa na Taifa ambayo ina watu wa aina zote. Wa dini zote, vyama vyote, aina zote za Elimu, Wanasiasa Maarufu bila kujali...
  20. E

    TCRA Tanzania kwa haya yanayofanywa na kampuni ya Vodacom Tanzania kwa wateja wanaotumia simu janja yako sawa?

    TCRA tanzania, naomba mnisaidie kujua kama mambo yanayofanywa na kampuni ya simu ya vodacom tanzania nisahii! Nakama nisahii mtupe ufafanuzi, kama siyo sahihi mkomeshe jambo hili na muwaagize warudishe gharama tulizotumia katika huduma ambayo kimsingi ni haki kwa mteja kuipata bila gharama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…