tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hasemi ukweli kuhusu wazee Tanzania

    Jana tarehe 01 Oktoba ilikuwa ni Siku ya Wazee duniani. Tumemsikia Magufuli kwenye Kampeni akiwalaghai Wazee na watanzania kwa ujumla wao ati Serikali yake ya CCM inawajali Wazee na inawalinda kwa nguvu zote! Huo ni urongo na Unafiki mkubwa na pengine ni lugha tu ya kuombea kura! Kuna matatizo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Indiana yafungua kesi ya madai ya takribani Sh. Bilioni 220 dhidi ya Tanzania

    Kampuni ya utafiti wa dhahabu ya Indiana Resources iliyopo Australia imeanzisha madai ya kutaka fidia ya dola za kimarekani million 95 (takribani TZS Bilioni 220) dhidi ya Serikali ya Tanzania juu ya unyakuaji haramu wa mradi wa madini ya Nikeli (Ntaka Hill Nickel project) uliopo Kusini...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Fomunyo aitaja Tanzania kama miongoni mwa nchi ambayo demokrasia yake imeteteleka

    Dkt. Christopher Fomunyoh, ambaye ni Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika wa shirika la National Democratic Institute (NDI) ambalo linafanya kazi kusaidia na kuimarisha taasisi za kidemokrasia ulimwenguni kupitia ushiriki wa raia, uwazi na uwajibikaji serikalini, ameelezea hali ya kudhorota na kurudi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni mfano unaokatisha tamaa ya Afrika kunyanyuka

    Sera ya Magufuli kuwasakama wapinzani na kubinya haki za kiraia na kidemokrasia pia mipango mibaya ya kiuchumi kuiangamiza nchi hiyo iliyokuwa mfano wa kuigwa Afrika Kulikuwa na dalili Africa imeanza kuvunja mwiko au tuseme baadhi ya nchi za bara hili zinataka kujikwamua na Tanzania ilikuwa...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu kuteta na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania

    Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania. Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF. =======
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania mabingwa wa kutetea Haki nchi za nie na kulinda Amani. Na Uchaguzi uwe huru, uwazi na haki

    Tangu tupate Uhuru na tangu zama za Mwalimu Nyerere Tanzania ilijitoa kupigania Haki kwa nchi zote zilizokua zikionewa hapa duniani. Sio tu nchi kuonewa bali hata jamii yoyote kuonewa Tanzania iliitetea jamii hiyo. Sio tu nchi na au jamii, bali pia hata mtu binafsi alipokua akionewa huko kwao...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa jibu la mmoja wa wagombea Urais nchini kwetu Tanzania, hivi Katiba ya nchi inasemaje haswa juu ya uhuru wa faragha (privacy)?

    Kuna mgombea mmoja wa kiti cha Urais amekuwa akinukuu katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (toleo la 20 Juni, 2005) ibara ya 16 mara anapojibu swali la waandishi wa habari akiwemo yule wa BBC wakati wa hardtalk kuhusu masuala ya ushoga. Ibara hiyo inahusu haki ya faragha na...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Yeremia Maganja: Tanzania ni nchi yenye maziwa na asali

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha NCCR-Mageuzi ndugu Yeremia Kulwa Maganja, jana Jumatano Septemba 30, 2020, alifanya mkutano kwenye Jimbo la Kigoma Kaskazini viwanja vya Bitale Sokoni kwa lengo la kuomba kura pamoja na kumnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma...
  9. JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania nipeni 'Rukhsa' ya 'Kuwashikisha' Adabu Wanaume 'Dhaifu' na 'Wazembe' kama hawa kwani Wanatutia mno Aibu

    Mfanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) jijini Dar es Salaam, Ombeni Alfayo, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumkata mke wake kiganja cha mkono wa kulia kwa sime kwa madai ya wivu wa kimapenzi. Nipashe Ukiona Mwanaume yoyote anafanya 'Upumbavu' na 'Ushamba' huu jua...
  10. JamiiForums Tanzania Félicien Kabuga: Mahakama ya Ufaransa yaamuru mshukiwa wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda ashtakiwe Tanzania

    Mahakama moja ya kukata rufaa nchini Ufaransa imekubali kumpeleka msukiwa a mauaji ya kimbari nchini Rwanda Felicein kabuga kushitakiwa nchini Tanzania. Bwana kabuga alikamatawa nyumbani kwake nje ya mji wa Paris baada ya miaka 26 kama mtoro. Takriban watu 800,000 waliauwa nchini Rwanda katika...
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchache wa abiria na mizigo wafanya SGR nchini Kenya kuendeshwa kwa hasara. Je, Tanzania tutakwepa hali hii?

    Hi ni habari katika mtandao wa The Africareport.com ambapo imeripoti kuwa, uchache wa abiria na volume mdogo ya mizigo plus madhara ya COVID19, kumesababisha reli hiyo kuendesheshwa kwa hasara na sasa wanashindwa kulipa mkopo uliotumika kujenga reli hiyo. Habari hii inaeleza kuwa, tatizo...
  12. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Jumuiya Afrika Mashariki imetupilia mbali madai ya kupinga uhalali wa Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR UPO KIHALALI Mahakama ya Jumuiya Afrika Mashariki imetupilia mbali madai ya kupinga uhalali wa Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yaliyofunguliwa na baadhi ya wanaharakati. Mapema leo Wakili Mkuu wa Serikali Gabriel Malata ameeleza kuwa mahakama hiyo...
  13. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vurugu zilizoanza kuibuka Uchaguzi Mkuu: Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania atema cheche

    Haya bwana msome mwenyewe alichonena hapa.
  14. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Msafara wa Mgombea Mwenza CHADEMA, Salum Mwalimu wapigwa mabomu Ifakara

    Nimeona video ya mgombea mwenza wa CHADEMA akipigwa mabomu kisa kusimama na kuwasalimia wananchi. Roho imeniuma sana. Nilikuwa nikiona watu wanajivisha mabomu na kwenda kulipua sehemu nilikuwa nashindwa kuelewa kwa nini mtu anafikia hatua hiyo, ila sasa nimeelewa kwa nini watu hujitoa muhanga...
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Air Tanzania sinking in massive losses

    Air Tanzania was launched not out of necessity but to just to flex its muscle and try show Kenya that they too can own and operate an airline. Now reality is setting in that operating an airline isn't like running a BRT. The same fate will just hit Tanzanian SGR. Welcome to the world of losses...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi na Serikali ya Tanzania hii siyo sawa

    Mgombea Mwenza wa CHADEMA anapita njiani, anakutana na wananchi, wanataka kumsalimia. Polisi walio kwenye msafara wanatoa mabomu na kuanza kuwapiga wananchi. Lakini wakati hayo yanafanyika mgombea wa CCM yeye akipita sehemu akakuta wananchi njiani, anaongea nao tena masuala ya kuomba kura...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania yashika nafasi ya 109 kwa nguvu ya kijeshi duniani

    TANZANIA NI NCHI YA 109 KWA UBORA WA KIJESHI DUNIANI Jarida la kimataifa la 'Firepower' ambalo linalinganisha uwezo wa vikosi vya majeshi duniani kila mwaka, limetoa orodha ya mataifa 138 pamoja nguvu walizo nazo Ripoti hiyo imeangalia idadi ya silaha, jeshi na rasilimali fedha ambazo nchi...
  18. JamiiForums Tanzania Je, 'Uhalifu' nchini Tanzania 'umepungua' kama si 'kumalizika' kabisa hadi hawa 'Jamaa' wageukie huku ghafla?

    Jeshi la Polisi nchini limesema kuwa litaanza kuchukua hatua kwa wagombea wote ambao hawafuati ratiba ya kampeni iliyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi jambo ambalo ni kosa kulingana na kanuni za maadili ya vyama vya siasa na uchaguzi. Nipashe Laiti Jeshi la Polisi nchini Tanzania lingekuwa...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uganda accuses Tanzania of unfair charges on transporters

    Uganda and Tanzania are locked in a dispute over road user fees for trucks headed to the Dar es Salaam port, with Kampala threatening to retaliate against “unfair” charges imposed on its transporters that are higher than those applicable to Rwandan shippers. Kampala has filed a complaint with...
  20. JamiiForums Tanzania 1 trending Tanzania (hii ni nafasi ya WCB kwa nini mjisumbue kushindana nao?)

    Masaa machache tangu video ya mwanadada queen wa WCB kuwekwa youtube huko tayari imekuja kumtoa mtu pale juu. ZUCHU FT DIAMOND PLATNUMZ - Litawachoma Alafu unajua nini?? Eti kuna watu TWAWAKERA😀 na LITAWACHOMA sana wavimbe wapasuke. MAMEDIOCRE nyie! msio mpenda kaja tena. WCB 4 LIFE.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…