tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Ni marufuku kuingia UK kwa wasafiri kutokea DRC na Tanzania kisa corona

    Hali imeanza kurudi kule kule kwa kufungiana, wasafiri wanaotokea Tz na DR moja kwa moja hawaruhusiwi kuingia UK kisa ugonjwa wa corona. === UK bans passengers from Tanzania, Democratic Republic of Congo to control spread of COVID variant (Reuters) - Britain is banning all arrivals from...
  2. Pre and Primary School Syllabus in Tanzania

    Habari ya asubuhi wandugu Naomba mwenye hiyo syllabus ya pre & primary syllabus in Tanzania pamoja na teaching and learning materials kwenye soft copy anisaidie Asanteni
  3. Kuliombea mabaya Taifa letu haisaidii Upinzani kukubalika hapa Tanzania

    Kuna kasumba mbaya sana imejengeka ndani ya wafuasi na Wanachama wa Vyama vya Upinzani kuwa na akili mbovu ya kuwa wanalitakia mabaya taifa letu, kisa tu wao wamepoteza mvuto wa kisiasa hapa Tanzania. Ikumbukwe kuwa kama Upinzani ungekuwa unakubalika hapa Tanzania na upo ndani ya mioyo ya...
  4. Walimu wa Tanzania na kutokuwa na ufahamu wa ugonjwa wa Hysteria

    Mdau wa jf umeshawahi kuona wanafunzi wa shule ya msingi hasa wa kike wakidondoka hovyo na kupiga mayowe huku wakikimbia hovyo? Huwakuta hata wa secondary mostly wa kike. Basi ugonjwa huu huitwa Hysteria. Basi kwa taarifa yako Watanzania wengi mpaka walimu huamini hayo ni mapepo au majini...
  5. Nashauri kuwe na Watahiniwa wa kujitegemea kwa shule za msingi (Private Candidate Primary School Tanzania)

    EDIT: THE ORIGINAL TITLE WAS, Private Candidate Primary School Tanzania. The thread title was stealthily edited. Shame on the mod who cannot formulate his/her own ideas and stand by them. If you edit, show that this article was edited, by who. Putting your own words under somebody's else name is...
  6. Q

    Makubaliano ya Zanzibar ni mkakati wa kuidumaza ACT Wazalendo isitanuke Tanzania Bara

    Zitto kanyang’anywa chama angali anakiona sasa maamuzi yote lazima yatoke Vuga sio Kijitonyama, badala ya Seif kuwa ceremonial chairman Zitto ndio amekuwa celemonial Party Leader. Wazanzibari hawana interest nyingine zaidi ya nchi yao, yote wanayofanya leo yakiwemo maridhiano ni kwa maslahi...
  7. J

    Kiapo cha Rais wa Marekani kina maneno machache (35) tofauti na cha Rais wa Tanzania, siyo lazima kusema "Mungu nisaidie"

    Wiki mbili zilizopita nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mahubiri ya mchungaji Matsai wa KKKT kimara kuhusu viapo. Uelewa wa mahubiri yale ukanivuta kujifunza namna viongozi mbalimbali wanavyokula viapo vyao vya utumishi nikianzia wa hapa nyumbani na jana nilifuatilia kiapo cha Rais Joe Biden wa...
  8. Nafasi za kazi Tanzania Red Cross Society

    Dear All, This is for your information and action. Regards.
  9. Makabila haya yanaongoza kwa ulevi Tanzania, yanaongoza kwa akili pia

    1. Wachagga: hivi kuna mchaga asiye kunywa pombe? Nahisi atakuwa anatumia dawa, ila hakuna asiejua wachaga kwenye utafutaji,akili na maendeleo pia. 2. Wanyakyusa: kwanza kabisa Mbeya hakujawahi kutokea njaa na mkoa wa Mbeya ukiacha kulima Tanzania kutakuwa na baa la njaa. Hawa watu wanapiga...
  10. Moshi: International School of UWCEA yasitisha masomo Baada ya Wanafunzi 2 kupatwa na Corona

    Shule ya kimataifa ya UWCEA Kampasi ya Moshi, Kaskazini mwa #Tanzania imesitisha mafunzo ya ana kwa ana kwa Wanafunzi kwa madai ya mmoja wa Wanafunzi kuthibitishwa kuwa na maambukizi ya Corona. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na tovuti ya Shule hiyo, Januari 18 Mwanafunzi huyo alithibitishwa...
  11. Umebaki muda mfupi tu wa Rais mpya wa Marekani kuapishwa. Balozi wa Marekani Tanzania hatima yake haijulikani

    Rais mpya wa Marekani akiapishwa mabalozi wengi huwa pressure zinawapanda sababu kila Rais akiingia huwafungasha virago mabalozi na kuchangua wapya Balozi aliyepo na akina Pompeo Secretary of state wa Marekani hawakuwa rafiki sana wa CCM na Serikali yake! Mwisho wao ni leo anapoapishwa Rais...
  12. Wale International Students Mliosomea Medicine Tanzania: Process yake ilikuwaje?

    Kwa mtu aliesomea Highschool na degree yake ya kwanza Nje ya nchi process ya kuomba nafasi vyuo vya medicine Tanzania ikoje: please share thanks
  13. Does Kenya have a colourism Problem as Tanzania?

    PS. I am Tanzanian Tanzanians may be the most racially insecure and racially ignorant black people on this planet. a few days ago a prominent Tanzanian celebrity posted a picture a a black Kenyan lady. The amount of disgusting colourist (racially) charged comment simply shameful. Even...
  14. Tanzania tunahitaji shopping malls?

    Kihistoria hizi shopping zilianzishwa baada ya wazungu wengi huko US kuanza kuishi nje ya mji (suburban). Hizi nazo zikawekwa maeneo ya huko. Watu walifuata huduma hapo na magari na ndiyo kisa cha malls kuwa na parking kubwa sana. Kwa hiyi hizi malls huwa zinachukua eneo kubwa sana, eneo la...
  15. M

    Mtalii wa Kiingereza afurahia kutokuwepo "usumbufu sumbufu" wa kujikinga na Corona Tanzania

    Mtalii mmoja raia wa Uingereza, amejirekodi video akifurahia utalii huko Zanzibar. Katika video hiyo ameonyesha kufurahia uhuru mkubwa alioupata huku Tanzania baada ya kuondoka Uingereza mwanzoni mwa mwezi January mwaka huu na Kuja Tanzania. Mtalii huyo anasema huku Tanzania hakuna cha social...
  16. Tanzania to develop world’s largest nickel deposit

    Kabanga, Tanzania to develop world’s largest nickel deposit - MINING.COM Credit: Cecilia Jamasmie | January 19, 2021 | 6:49 am Base Metals Exploration Markets Africa Europe Nickel The Kabanga nickel project was formerly owned by Barrick Gold and Glencore. (Reference stock image.) British...
  17. GE2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

    Kupitia akaunti yake ya Twitter, Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje, Mike Pompeo ameandika "Kuna matokeo ya kuingilia mchakato wa kidemokrasia. Kuanzia leo, tunaweka vizuizi vya visa kwa wale wanaohusika na uvurugaji wa uchaguzi nchini Tanzania. Tunabaki kujitolea kufanya kazi pamoja kuendeleza...
  18. Alikiba is the only best musician found in Tanzania

    Without any vague , Alikiba has achieved to maintain the game of Bongo fleva almost seventeen years without any opponent. This new song Infedile which mixed by French words is very untouchable .... #Domo Nyange is outdated musician.
  19. BBC Swahili: Tanzania yapiga marufuku biashara ya Nguruwe! Huu ndio weledi wa habari wa BBC au Kuna kitu wanalenga?

    Kuna tatizo Sehemu? ama kuna kitu kinatafutwa kwa makusudi? Kwa chombo cha habari chenye nguvu kubwa Kama hiki kutangaza habari namna hii kinaleta madhara makubwa sana kwa jamii na kuharibu kabisa taswira na biashara husika ambayo nina hakika Kuna watu wamewekeza kwayo. Hii itatufanya hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…