tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Ikulu Dar: Rais Yoweri Museveni na Rais Samia Suluhu washuhudia utiaji saini wa mikataba ya utekelezaji wa mradi wa bomba la mafuta

    Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni leo tarehe 20 Mei, 2021 atafanya ziara ya kikazi ya siku 1 hapa nchini kwa Mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Akiwa hapa nchini Mhe. Rais Museveni na Mhe. Rais Samia watashuhudia utiaji saini wa...
  2. 21 New Government Jobs UTUMISHI At Tanzania Railways Corporation (TRC), May 2021

    1. JOB TITLE: CIVIL ARTISAN II - 5 POSTS (RE-ADVERTISED) 4.0.2 DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. Packing of the railway track as directed by the supervisor; ii. To clear grass and bushes along the line; iii. To clean side drains and water outlets; iv. To repair the track after accidents; v. Load...
  3. Je, magoli Mawili ya 'Mipango' aliyofungwa leo Kipa wa JKT Tanzania na Yanga SC yamezingatia Goal keeping Principles Wadau?

    Hata Mimi GENTAMYCINE na Uzee wangu huu wote wa sasa sifungwi Magoli ya Kizembe kama yale aliyofungwa leo Kipa wa JKT Tanzania. Na kilichonishangaza zaidi ni kwamba pamoja na Kipa huyo wa JKT Tanzania Kufungwa leo Magoli yale Mawili na Yanga SC ukimuangalia Usoni wala haonyeshi ama Kusikitika...
  4. Dullah Mbabe: Mabondia wa Tanzania msiende Urusi na Kazakhstan

    Bondia wa Tanzania Abdallah Pazi maarufu kama Dullah Mbabe amesema hawezi kwenda tena kupigana nchini Urusi na Kazakhstan kwa sababu mabondia wa kule ni wakali sana. Pia amewatahadharisha mabondia wa Tanzania wanaokwenda kule kuwa mabondia wa nchi hizo huwa hawapoi na huwa wanapiga ngumi kama...
  5. UNHCR: Tanzania imewanyima hifadhi wakimbizi wa Msumbiji

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limesema limesikitishwa na taarifa za wakimbizi wanaokimbia mapigano Kaskazini mwa Msumbiji kulazimishwa kurudi nchini kwao baada ya kuvuka mpaka kuingia Tanzania. UNHCR imesema imepokea shuhuda za maelfu ya wakimbizi waliorudishwa...
  6. TANZIA Mwanzilishi wa Radio ya kwanza binafsi nchini, Padre Francois Gautier afariki dunia

    Mwanzilishi wa Radio ya kwanza binafsi nchini Tanzania (Radio Tumaini), Padre Francois Gautier amefariki dunia. Aliwahi kuwa paroko wa parokia ya Manzese. Will miss you father R.I.P
  7. B

    Tanzania lini tuliwahi kuwa matajiri hadi tuanze kulalamika tunarudi kwenye umaskini?

    Kuna watu wanaleta propaganda za ajabu sana nchini, kwamba eti tumerudi kwenye umaskini kwa sababu ya Rais mpya. Naomba kuwauliza lini tumewahi kuwa matajiri? Hizi mentality za kitumwa tumezitoa wapi? Unafunguliwa kifikra na kupewa Uhuru wa kuwaza na kusema unasema umekuwa maskini? Kwamba...
  8. Rais Samia: TAKUKURU wamefuta kesi za kubambikizia 147, Polisi na nyie jitazameni

    Hii ni baada ya kutakiwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa kesi za kubambika. ==== Rais Samia Suluhu: Kwenye suala la wingi wa mahabusu, labda niseme kwamba jana nikiapisha majaji nililigusia hili, uharakishwaji wa kesi na nimezitaka taasisi zote ikiwemo jeshi la polisi ambalo...
  9. S

    Hivi Rais wa Tanzania akienda nchi kama Marekani, magari husimamishwa kupisha msafara wake?

    Viongozi wa nataifa mbalimbali wakitembelea nchi yetu, magari husimamishwa kupisha msafara na Rais wa Taifa kama Marekani ndio kabisa mji mzima unaweza kusimama (nakumbuka kufuru ya msafara wa George W. Bush kutoka KIA kwenda Arusha miaka ya 2000 mwanzoni). Miaka ya nyuma bila shaka walikuwa...
  10. Consultancy: Engineer to Supervise Project construction work - Northern Tanzania

    WWF Tanzania Arusha office through its TNRF/ WWF implement and supported by BMZ Programme is seeking to recruit an engineer consultant to supervise its construction works in the Northern part of TanzaniaDetails are in the attached ToR WWF Tanzania Arusha office through its TNRF/ WWF implement...
  11. C

    CNN: After death of Covid-denying president, Tanzania sets roadmap to combat the virus

    Tanzania's coronavirus response is getting serious, two months after the death of the country's Covid-denying president. Before he died in mid-March, former leader John Magafuli repeatedly dismissed the seriousness of Covid-19 in his country and urged his citizens to "pray coronavirus away."...
  12. Internet Censorship in Tanzania: A Gentle Lift?

    In 2020, Tanzania ranked as position 124 out of 180 countries in the World Press Freedom Index. In 2019, it was position 118 out of 180, which is 93 positions down, compared to 2018. Tanzania has witnessed a consecutive fall in the Index each year since 2016. The article “Bulldozing the Media”...
  13. Dunia inatakiwa ije kujifunza Tanzania kuhusu Covid-19

    Tangu kuzuka kwa Corona nchini China mwaka 2019, mataifa mengi duniani yaliamua kuja na mbinu za kupambana na Corona kwa kufungia watu ndani (lockdown) kuvaa barakoa, social distance na mengine mengi ikiwemo Chanjo. Tanzania tuliamua kuishi na Corona kwa kukataa kujifungia (lockdown) na...
  14. Tume huru ya uchaguzi ndiyo dawa Tanzania

    Tumefatilia suala la Ole Sabaya kwa undani. Alichaguliwa na mamlaka za teuzi zilizochaguliwa na wananchi. Tatizo lililopo Tanzania kwa sasa sio wakuu wa Mikoa au wilaya, tatizo ni kupata viongozi wanaostahili kuongoza nchi kwa mujibu wa uelewa wa Watanzania. Manake ni kwamba kabla hatujachagua...
  15. Equity Group invests Sh3.4bn in Tanzania, Uganda subsidiaries

    Equity Group invested an additional Sh3.4 billion in its Ugandan and Tanzanian subsidiaries in the year ended December to boost the units’ capital. The lender’s stakes in the subsidiaries remained unchanged at 100 percent. The capital support from the parent company came amid economic...
  16. Miaka 20 baada ya tukio la kigaidi (home-grown terrorism) la September 11 huko Marekani. Tanzania imejifunza nini?

    Habari zenu waungwana wa JamiiForums. Itakapofika tarehe 11 mwezi wa September mwaka huu wa 2021, itakuwa imetimia miaka 20 kamili tangu siku majengo pacha ya kibiashara katika jiji la New York nchini Marekani yalipuliwe na magaidi (kulingana na taarifa kamili ya serikali yao) kwa kutumia ndege...
  17. Vyama vya Upinzani vinamsakama Zitto kabwe kwa kushiriki uchaguzi mdogo Muhambwe na Buhigwe

    Chadema walisusia uchaguzi jimbo la Lazaro Nyalandu Singida kwa madai ya Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya Wakaja kushiriki Uchaguzi ndogo wa Kinondoni Wakasusia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Sababu haukuwa na manufaa yoyote kwa mbowe na genge lake...wakaja kushiriki uchaguzi Mkuu ili kupata...
  18. Je, Hatuna Wanawake wa kutosha kukidhi 50/50 au kuna kosa?

    Wanabodi, Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kila nipatapo fursa, huwa naendeleza zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zina lengo la kukuza uzalendo na kulisaidia taifa letu, kusaidia nchi yetu, kusaidia serikali yetu na kusaidia viongozi wetu waweze...
  19. M

    Zito Kabwe ni msaliti na adui wa Demokrasia Tanzania

    Ukiangalia muendelezo wa mateso ya Upinzani wa ukweli Tanzania hasa CHADEMA, Zitto na Chama chake hawajawahi kuguswa. Ni maneno tu lakini CCM haimgusi. Zitto Kabwe hana ushirikiano na wapinzani. Siku zote ni SNITCH. Wapinzani wanapoelewana au kuafikiana, yeye Kama Lipumba, anakuja na mchanga na...
  20. Profesa Ndalichako: Wanafunzi waliopata mimba kuendelea na masomo kwa njia mbadala

    Wizara ya Elimu imesema kuwa inaandaa utaratibu wa kuruhusu wanafunzi waliobeba mimba wakiwa masomoni kuendelea na masomo kwani ni haki yao ya msingi.Haki hiyo ya msingi inatajwa kuzuiwa kipindi cha uongozi wa awamu ya tano. Profesa Joyce Ndalichako amesema haya... Kwenye upande wa watoto wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…