tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Makonda anzisha sera ya mitandao mbadala wa instagram na tiktok Tanzania

    Najua hili unaliweza bila shaka ili tuondokane na utegemezi wa kibeberu.Tujifunze kwa wachina
  2. JamiiForums Tanzania Wallace Karia na Changamoto ya Kusimamia Msingi wa Soka la Tanzania

    Tangu Wallace Karia achaguliwe kuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), mashabiki na wadau wa soka wamekuwa na matarajio makubwa ya kuona mabadiliko ya kweli, hasa katika kuimarisha miundombinu ya soka nchini. Hata hivyo, kwa uhalisia wa mambo, bado kuna maswali mazito kuhusu msimamo na...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa wa Tanzania kupoteza uenyeji wa AFCON 2027

    Bila juhudi za kweli, za dhati na makusudi kuleta suluhisho la kudumu ndani ya Tanzania, kuna uwezekano mkubwa wa Tanzania kupoteza uenyeji wa AFCON 2027. Wanaharakati wanaendelea na juhudi za kupush uwajibikaji katika matukio yaliyotokea kwenye MO29 na naona kama mwakani ndiyo hizi juhudi...
  4. JamiiForums Tanzania AFCON 2027: Tanzania, Kenya na Uganda wakabidhiwa bendera na CAF

    Afrika Mashariki PAMOJA AFCON 2027 tayari imekabidhiwa kwa viongozi wa Tanzania, Kenya na Uganda tayari kwa Kombe la Mataifa 2027. Upande wa Tanzania umewakilishwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda akiambatana na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF), Wallace Karia.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Tangazo la home tuition (mikoa yote Tanzania)

    Je, unatafuta mwalimu bora wa home tuition kwa mtoto wako au kwa ajili yako binafsi? Sisi tunakuletea huduma bora, salama na za uhakika katika mikoa yote ya Tanzania HUDUMA ZETU Tunatoa Home Tuition kwa: Awali (Nursery) – Msingi – Sekondari – Chuo Mitaala yote NECTA Cambridge IB Montessori...
  6. JamiiForums Tanzania Doctor Vs Nurses Tanzania

    Hii inashangaza sana mambo ya masilahi kama Miundo ya mishahara utasikia anaetajwa ni Doctor,, ikitokea jambo la kuvulunda utasikia Nurse kafanya lawama zote zinatolewa hapo, utasikia na vikao vya baraza 🤔🤔 Viongozi badilikeni hakuna alieenda shule kucheza tu.
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania tajiri, Wananchi maskini– What is going on?

    Ukiangalia Tanzania kwa macho ya wazi bila ujinga, bila woga, bila kuogopa nani atasema nini, utajua huu ni mojawapo ya nchi tajiri sana duniani, sio Afrika tu, hata baadhi ya nchi za Ulaya tumewazidi big time. Tuna nini? Madini: Dhahabu, almasi, nickel, lithium, uranium, tanzanite (ambayo ni...
  8. H

    JamiiForums Tanzania TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA UTALII NCHINI FINLAND

    TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA UTALII NCHINI FINLAND Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden umeratibu na kushiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Matka yanayofanyika jijini Helsinki, Finland, kuanzia tarehe 14-18 Januari, 2026, huku ukitangaza vivutio vya utalii vya Tanzania pamoja na...
  9. H

    JamiiForums Tanzania TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA UTALII NCHINI FINLAND

    TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA UTALII NCHINI FINLAND Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden umeratibu na kushiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Matka yanayofanyika jijini Helsinki, Finland, kuanzia tarehe 14-18 Januari, 2026, huku ukitangaza vivutio vya utalii vya Tanzania pamoja na...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashiriki maonesho ya utalii nchini Finland

    Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden umeratibu na kushiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Matka yanayofanyika jijini Helsinki, Finland, kuanzia tarehe 14-18 Januari, 2026, huku ukitangaza vivutio vya utalii vya Tanzania pamoja na filamu ya Tanzania: The Royal Tour. Maonesho hayo ni...
  11. JamiiForums Tanzania Awamu ya Sita Imeua au Inaminya Soko la Utalii Tanzania?

    Oya, huku mtaani hali ni tete kinoma! Hivi hawa wakubwa wanachukulia watu ni mazuzu au? Mlipiga kelele watu "wajiajiri," vijana tukajichanganya tukaingia kwenye mchaka wa kufungua makampuni ya utalii (tour companies). Tukaingia kichwa kichwa, tukauza hadi viwanja na kukopa mapesa ili tu tusake...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania ikisimamia Sheria vizuri itafanikiwa zaidi ya Mataifa makubwa

    Changamoto inayoisumbua Tanzania ni kulega kwa misimamo ya kusimamia Sheria zake na si vinginevyo Tanzania ijikite zaidi kwenye kusimamia Sheria zake itafanikiwa kuliko hata Mataifa makubwa Tanzania ina Sheria nzuri sana za kukuza Uchumi wa Taifa lake lakini bado haijaweka mkazo kwenye...
  13. M

    JamiiForums Tanzania EXCLUSIVE: Tanzania spends $1 Million to hire Republican-Linked firm to Repair Image After Electoral Crisis and Push Mining

    Friday 16, Jan. 2026 WASHINGTON, D.C. — Facing international scrutiny following a damaging electoral crisis, the Government of Tanzania has launched a significant influence operation in the U.S. capital. The East African nation has retained a firm led by a former Republican Congressman to...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Sababu mfumo wa Kichina wa Chama kimoja hauwezi kufanikiwa Tanzania?

    Kuna watu wanajidanganya CCM kwamba chao chao na Tanzania ifuate mfumo wa Kichina badala ya mfumo wa kidemokrasia. Ukweli ni kwamba mfumo inabidi uendane na jamii. Sasa tujiulize kama haya yanawezekana. au la. Kwa mawazo yangu haiwezekani kwenye jamii ya Watanzania kwasababu chache tu 1. Jamii...
  15. M

    JamiiForums Tanzania New Investigation Reveals Scale of Deadly Crackdown Following Tanzania's 2025 Election

    Fri 16, Jan 2026 LONDON/DAR ES SALAAM — A comprehensive new investigation released today by the Centre for Information Resilience (CIR) has uncovered damning digital evidence of targeted killings, mass graves, and widespread human rights abuses in Tanzania following the October 2025 general...
  16. JamiiForums Tanzania Saida Karoli na Rose Muhando hawa ndo wasanii bora wa muda wote Tanzania

    Hapa Tanzania itatuchukua miaka mingi kupata vipaji kama Saida Karoli na Rose Muhando. Hawa ndo wasanii bora wa muda wote hapa Tanzania.
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania tunatumia takriban tani 79,000 za kitimoto kwa mwaka, lakini tunazalisha tani 27,000 tu

    Kwa mujibu wa TAPIFA (2024) 🐖 Tanzania hutumia takribani tani 79,000 za nyama ya nguruwe kila mwaka, lakini huzalisha tani 27,000 pekee. 👉 Tani 52,000 huagizwa kutoka nje kila mwaka. Huu si upungufu wa kawaida — 👉 ni fursa kubwa ya biashara kwa wafugaji wa ndani. 🔴 Changamoto si soko...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo: Vurugu za Oktoba 2025 zimebadili taswira ya Tanzania duniani

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema mwaka 2025, Tanzania ilikabiliwa na vurugu wakati wa uchaguzi ambazo hazijawahi kutokea tangu nchi ilipopata uhuru mwaka 1961. Soma pia: Waziri Kombo: Tumestahimili mtihani mzito wa Oktoba 29, Dunia...
  19. JamiiForums Tanzania Ni salamu gani ya kabila unayopenda hapa Tanzania?

    Tanzania ina makabila zaidi ya 120, Ni salamu ya kabila gani unayopenda zaidi? sio lazima kabila lako!!
  20. JamiiForums Tanzania Contents Creators kuombewa 2B ni akili Matope ina maana Tanzania haina vipaumbele?

    GT Hakuna asiyejua contents creator wengi wa Tanzania ni propaganda machines za CCM . Hivi wanaombewa 2B kwa lipi kwanza. Hivi hili taifa halina vipaumbele hadi tunaenda kwenye biashara za watu binafsi watz wanteseka sana kwa kukosa huduma muhimu sana kama maji na huduma za afya. Kwa nini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…