Serikali ya China imeipatia Tanzania msaada wa Sh35.37 bilioni zitakazotumika katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo iliyokubaliwa na kuridhiwa na mataifa hayo mawili.
Hayo yameelezwa leo Jumatano Mei 12, 2021 na Katibu mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Emmanuel Tutuba wakati...