tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania: Serikali yaagiza uvaaji barakoa kwenye mikusanyiko

    Serikali ya Tanzania imeagiza wananchi kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa corona kwa kuvaa barakoa sehemu zenye mikusanyiko, ili kujikinga na wimbi la tatu lililoibuka katika mataifa mbalimbali. Wakuu wa mikoa na wilaya wameagizwa kuhakikisha wanatimiza agizo hilo kwa kuzishirikisha kamati za...
  2. JamiiForums Tanzania Nani anatoka Marekani kuja kutibiwa Tanzania?

    Juzi wakati Rais Samia alipotembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete [siyo ule moyo wa Kikwete 🤣 uliopo ndani ya kidari chake], alisema kuwa alifarijika kusikia kwamba miongoni mwa wagonjwa wanaoenda hapo kutibiwa, wanatoka nchi za jirani na hata Marekani. Hapo kwenye Marekani alisema kwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wakenya na Ardhi ya Tanzania. Tuweni Makini!

    Leo nikiwa mmoja ya Watanzania walioalikwa kwenye mnuso na Wakenya iliyofanyika nyumbani kwa Mkenya mmoja maeneo ya Mbezi Beach, baada ya kupiga gambe la uhakika, Wakenya walianza kuropoka. Ila nilishtushwa na kushanganzwa jinsi walivyokuwa wakisema waziwazi, kwamba maendeleo ya Kenya hasa...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanza: Yaliyojiri kwenye Ziara ya Rais Samia Suluhu. Azindua Kiwanda cha Kusafisha dhahabu na Jengo la (BoT)

    Saa Nne Kamili Rais wa JMT Mhe. Samia Suluhu Hassan atawasili mkoani Mwanza kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu. Rais wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan katika Ziara hii anatarajiwa kutembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali mkoani Mwanza ukiwemo wa ujenzi wa daraja la...
  5. JamiiForums Tanzania Gavana Luoga akitoa takwimu za mchango wa kanda ya ziwa kwenye uchumi wa Tanzania

    Gavana Luoga ametoa takwimu za mchango wa kanda ya Ziwa kwenye uchaguzi wa Tanzania. Mwaka 2019, kanda ya ziwa ilichangia Trilioni 34 kwenye uchumi wa Tanzania sawa na 25.9% ya pato la Taifa. Kanda ya ziwa inazalisha zaidi ya 90% ya dhahabu Tanzania. Kanda ya ziwa inazalisha zaidi ya 50% ya...
  6. JamiiForums Tanzania Ugali Nyama Choma(T-Bone Steak)

    Leo nachukuwa fursa hii kuwa karibisha wadau na wapenzi wa UGALI na NYAM CHOMA (T-BONE STEAK) katika mgaha wetu pale NAMANGA,MSASANI, dakika 1 kutoka kituo cha Namanga. Ugali : 500 Nyama : 3000 Tsh3,500 Delivery: ugali:500 Nyama :3,500 Tsh4,000 Delivery Fee: Kuanzia...
  7. JamiiForums Tanzania Majiji 5 kwa Uzuri Tanzania

    Hii hapa ni orodha ya Miji mizuri Tanzania. 1-Dar es Salaam (Mzizima) Eneo la mkoa ni jiji la Dar es Salaam ambalo ndilo kitovu cha shughuli za biashara (na za utawala, kwa kiasi fulani) nchini Tanzania, na ni kati ya majiji yanayokua haraka zaidi duniani. Ni km² 1,800 pamoja na visiwa vidogo 8...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Four Ambassadors to Tanzania talk about the economy, politics and COVID-19

    9 June 2021 The ambassadors answer topics touching Business matters and how Nordic companies operates in Tanzania. REPOA commissioned a survey on Nordic companies that are in Tanzania and issued a detailed report on business environment, potential areas for investment, skills development...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania itabidi tufikirie ku adopt mfumo wa Technocracy ili mambo yaende.

    Huwa napenda kukaa chini na kuangalia namna wenzetu duniani wanafanya nini, ambacho na sisi tunaweza kuiga kwa manufaa ya taifa letu. Kuanzia February mwaka huu, nchi ya Italia imekuwa ikiongozwa na waziri mkuu mpya, anayeitwa Mario Draghi. Kwa kifupi, huyu ni nguli wa uchumi wa bara la ulaya...
  10. JamiiForums Tanzania Mzizi mkuu wa changamoto za mfumo wa Elimu Tanzania

    Mzizi mkuu wa changamoto za mfumo wa Elimu Tanzania ni kwamba RoteLearning ndio injini, moyo na roho ya elimu rasmi. Rote Learning ni mfumo wa kujifunza ambao mwanafunzi hutakiwa kukariri na kukumbuka. Mbadala wake ni pamoja na mbinu za kujifunza zinazozingatia fikra tunduizi, majaribio ya...
  11. JamiiForums Tanzania Ufaransa yaipa Tanzania mkopo wa Tsh. Bilioni 361.7 kuzalisha umeme wa jua

    Serikali ya Ufaransa kupitia Shirika lake la Maendeleo la Ufaransa (AFD), imeipatia Serikali ya Tanzania mkopo wa masharti nafuu wenye thamani ya Euro milioni 130, sawa na shilingi za Tanzania bilioni 361.7 kwa ajili ya kugharamia mradi wa ujenzi wa mitambo ya kuzalisha umeme wa jua. Mkataba wa...
  12. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Tanzania nchini Qatar, fursa ya Kombe la Dunia 2022 hiyo inakuja

    Good afternoon jamiiforums Ndugu zangu mnaofanya kazi ubalozi wa Tanzania huko mjini Doha nchini Qatar, kombe la dunia la mwaka 2022 lipo njiani linakuja, tunaomba mjipange hata kama budget ni finyi fanyeni kile kidogo kilicho ndani ya uwezo wetu. SEPTEMBER, 2018 - JPM: "Mabalozi sasa...
  13. JamiiForums Tanzania Rushwa ni halali Tanzania? Askari wa barabarani wanachukua rushwa bila kificho wala hofu

    Habari wanakamati? Naomba kuuliza kaswali kadogo tu. Hivi nchi hii ya Tanzania rushwa si kosa tena? Polisi kwenye vituo vyao wako busy kuchukua rushwa bila haya. Barabarani pia wanachukua rushwa kwa bodaboda, watu wa bajaji na daladala kweupe. Ukitaka kuhakikisha haya panda daladala ujionee...
  14. JamiiForums Tanzania Wana JamiiForums wakipiga 'Presha' kamwe huwezi kubaki salama. Hongereni nyote!

    Leo GENTAMYCINE nawapigia ' Salute ' JF Members wote kwani mnafanya Kazi kubwa sana ya ' Kuibua ' mambo mazito na makubwa ya Kuisaidia nchi ya Tanzania huenda kuliko mnavyojua. Nakumbuka huko nyuma miaka Miwili imepita niliwahi kusema hapa hapa kuwa kama kuna Mshauri Mkuu namba Moja wa Rais au...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bajeti ya Kenya ni zaidi ya mara mbili ya Tanzania, Wabongo wanazidi kukwama sana

    Kenya kainchi kadogo kenye raslimali chache, ila tunajtuma mithili ya sisimizi, sijui lini Watanzania wataamka na kufanya chochote cha maana, GDP yetu inaelekea kuwa mara mbili ya Tanzania, ukizingatia Tanzania ni muungano wa mataifa mawili yenye raslimali kedekede, sijui wana gubu au nini hawa...
  16. JamiiForums Tanzania Bajeti ya Kenya ni Tsh. Trilioni 78, Tanzania ni Tsh. Trilioni 34 na Uganda Tsh. Trilioni 30

    Kwa Bajeti hizi za Africa Mashariki Kenya itazidi kupaa sana. Bajeti ya Kenya ni takriban mara mbili ya Bajeti ya Tanzania. Ukijumlisha Bajeti ya Tanzania na Uganda bado haifikii Bajeti ya Kenya. Hii inaonyesha Kenya inaweza Kuendelea mara Mbili zaidi ya Tanzania na Uganda. Nadhani kuna kitu...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Over 1000 secondary schools in Tanzania have never had a Physics teacher

    No wonder some people on this forum reason like they reason. ======= READ: - TAMISEMI: Zipo Shule ambazo Wanafunzi hawajawahi kuwaona Walimu wa Physics na Hesabu
  18. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Tunaomba Rais aitishe kikao cha Wanaume tu

    Spika wa Bunge, Job Ndugai ametaka kuanzishwa kwa dawati la wanaume ambalo litakuwa linashughulikia changamoto wanazokumbana nazo wanaume. Amesema kwa sasa mkazo umekuwa zaidi kwa wanawake, watu wakidhani wanaume wapo salama, jambo ambalo si sahihi. "Tutamuomba Mhe.Rais siku nyingine aite...
  19. JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Masisi: Wakubaliana na Rais Samia kuendeleza Sekta ya Madini na kufufua Tume ya Pamoja ya Ushirikiano

    Rais wa Jamhuri ya Botswana, Mokgweetsi Masisi amewasili kwa na ziara ya kikazi ya siku mbili nchini Tanzania, kuanzia leo Juni 10, 2021 kwa mwaliko wa Rais Samia Suluhu Hassan. Viongozi hao wawili wanatarajia kuzungumzia masuala ya ushirikiano kati ya nchi mbili, uhusiano wa kidiplomasia...
  20. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Uchumi wa Tanzania umekua licha ya mlipuko wa COVID-19. Deni la Serikali ni himilivu

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema licha ya mlipuko wa COVID19, Tanzania ni miongoni mwa Nchi chache zilizokuwa na ukuaji wa Uchumi chanya kwa mwaka 2020. Amesema Pato la Taifa la Tanzania lilikua kwa 4.8% na sekta zilizochangia kwa kiasi kikubwa katika ukuaji ni Ujenzi, Habari na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…