tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania SoC01 Somo la Stadi za Kazi kwa Shule za Msingi unavyoweza kuzalisha ajira kwa watakaoshindwa kuendelea na Sekondari

    Kwa mujibu wa muhtasari wa somo la stadi za kazi kwa wanafunzi ambao umeadaliwa kutokana na mtaala wa elimu ya msingi kuanzia darasa la 3 hadi la 6 wa mwaka 2016 muhtasari ambao kwa sasa umefutwa,kupitia muhtasari huu mwanafunzi aligemewa kujenga stadi za usafi,mapishi tofauti,ujasiriamali,na...
  2. JamiiForums Tanzania Ugaidi, Uhaini na Uhujumu uchumi ni kesi zitakazoshamiri sana kwa Wapinzani Tanzania

    Hizi ni kesi zisizokwepeka kwa Wapinzani Tanzania 1. Ugaidi 2. Uhujumu Uchumi 3. Uhaini Ukikoswakoswa na hizo basi utakutana na namba nne 4. Sio Raia wa Nchi. Safari bado ndefu.
  3. JamiiForums Tanzania Historia ya Vita ya Kagera 1978-1979

    Luteni wa jeshi la Uganda (UPDF) alivyo ziingiza vitani Tanzania na Uganda. #Sehemu #ya - 1 Kuanzia leo nitawaletea makala mfululizo zinazohusu Vita ya Kagera kati ya Tanzania na Uganda iliyodumu kwa miezi sita kati ya mwaka 1978 hadi 1979. Vita hiyo ilianzia mkoa wa Kagera unaopatikana...
  4. JamiiForums Tanzania Ziara ya Tony Blair Tanzania: Tunaweza kufaidikaje na Taasisi yake The Tony Blair Institute for Global Change?

    Rais Samia wa Tanzania akiagana na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, Tony Blair, Ikulu ya Tanzania leo Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, Tony Blair, amemtembelea Rais Samia wa Tanzania leo. Wameongea mengi na tamko la ikulu tayari limetoka. Blair kwa sasa ni kiongozi wa The Tony Blair...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania ni moja ya nchi zaidi ya 50 zilizo kwenye orodha iitwayo "RED LIST". Serikali inafanya jitihada zipi kujitoa humo?

    Nchi zaidi ya 50 nyingi za kutoka mabara ya Afrika na Asia zimo katika orodha iiwtayo "RED LIST", Orodha hiyo iliwekwa kwa zile nchi ambazo hazitoi takwimu za kuridhisha juu ya idadi ya watu waloambikizwa ugonjwa wa Covid-19 na pia idadi ya vifo vilivyotokana na maambukizi ya ugonjwa huo...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia, maisha ya vijana kwa sasa hayaridhishi. Nguvu kubwa itumike kubadili mfumo wao wa maisha

    Mama Samia Suluhu Hassan Rais wetu mpendwa nasikitika leo kusema kuwa mpaka kufikia mwaka 2030 kama nguvu kubwa zaidi hazitatumika za kubadili mfumo mzima wa maisha yetu, nahofia vurugu tunazoziona hivi sasa huko Afrika ya Kusini zikitokea tutazishuhudia zikitokea hapa kwetu pia, tena kwa ukubwa...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya kidikteta

    Mimi kama Mkenya nahuzunika sana kuona kwamba tumezungukwa na nchi za kidikteta. Kenya is the only democracy in East Africa. Mkubwa wa Upinzani Freeman Mbowe na wafuaswi wake wamekamatwa usiku wa kuamkia jana na wanashikiliwa na polisi. Inakisiwa kwamba watashtakiwa kwa madai ya ugaidi. Yaani...
  8. JamiiForums Tanzania Ningeweza kupandisha uchumi wa Tanzania kwa kuwekeza katika bidhaa mpya zenye thamani kwa sasa duniani

    Kama kichwa cha bandiko hili kinavyojieleza kwamba. "Ningeweza kupandisha uchumi wa Tanzania kwa kuwekeza katika bidhaa mpya zenye thamani kwa sasa duniani". Ndugu zangu, Naomba nianze kwa kueleza sababu moja inayofanya Gross Domestic Product per capital yetu kuwa ndogo. Gross Domestic...
  9. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Change in the field of health in Tanzania

    Inadequate and unequally distributed health services are a key impediment to Tanzania's development and have a detrimental influence on the population's health. These shortfalls have the greatest impact on rural areas and impoverished populations. In addition to inadequacies in local...
  10. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vikwazo kwa Wanasoka Vijana wa Tanzania katika kucheza soka la kulipwa nchi za nje

    Soka ( ama mpila wa miguu ) ni moja kati ya michezo inayopendwa na kufuatiliwa sana ulimwenguni kote, Mchezo huu una wafuasi wengi zaidi ya michezo mingine duniani, Vijana mbali mbali duniani wamekuwa wakifaidika, kuwa maarufu na kujipatia maendeleo kupitia soka, vivo hivyo , Ndizo ndoto za...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Zungu: Tumeanzisha kodi ya miamala ya simu kwa watu milioni 30 wenye uwezo, waliobaki zaidi ya milioni 20 hawatalipa

    Muasisi wa Tozo za kizalendo mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu amesema kodi hii itawagusa watanzania milioni 30 tu ambao wana uwezo na wale wanaobakia zaidi ya milioni 20 hawataguswa. Tanzania ina watu zaidi ya milioni 50 Zungu amesema wazo la consolidation tax amelitoa Ujerumani ambako wenye...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi aendesha mkutano ulioshirikisha zaidi ya watu elfu sita mtandaoni

    Juzi kwenye mjadala wa Kodi tulikutanika watu zaidi ya elfu 2 bila kuomba kibali cha polisi na tukajadiliana kwa amani nakuwafungua masikio na macho Wana CCM na wasio Wana CCM Leo idadi imeongezeka na kufikia zaidi ya watu elfu 6 kitu ambacho ni nadra sana kufanya na hata Marais wa Nchi...
  13. JamiiForums Tanzania Ili mtu au taasisi iweze kuomba donation kwa Tanzania inatakiwa kuwa na sifa zipi?

    Habri wakuu. Kwa wenzetu mtu amaweza kuanzisha kitu na akahitaji donation kwa wale walioguswa kuchangia. Kama vile wana CHADEMA walivyochangia kupata pesa ya faini. Au kama tulivyomchangia Tundu Lissu alipopatwa na yale majanga. Au watu wanapoamua kuichangia yanga. Lakini nafikiri michango yote...
  14. JamiiForums Tanzania SoC01 Ongezeko kubwa la Wasiopiga Kura katika Uchaguzi Mkuu. Nini kifanyike?

    Haki ya mtu kupiga kura imetajwa kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwkaa 1997 ambapo sheria ya mwaka 1984 namba 15 ibara ya 6 na sheria ya mwaka 2000 namba 3 ibara ya 4 inatamka wazi kwamba,Kila raia wa Tanzania aliyetimiza miaka 18 anayo haki ya kupiga kura katika uchauzi...
  15. JamiiForums Tanzania Ombwe la elimu ya ujinsia na mimba za wanafunzi 980 katika siku 180 wilayani Kidondo: Sera ya Elimu Tanzania inakidhi mahitaji?

    Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mwanaidi Ali Khamis akiongea na wananchi na viongozi Wilayani Kibondo Taarifa kwamba huko mkoani Kigoma, kila siku ya miezi sita iliyopita, angalau wanafunzi 5 walio chini ya miaka 18 walikuwa wanafanya ngono ya jenitalia kwa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uboreshaji wa Shule za Upili za Ufundi Tanzania kuleta tija zaidi

    Shule za Upili za Ufundi Tanzania (Technical Secondary Schools in Tanzania) ni shule maalumu zilizoanzishwa kwa dhumuni la kuandaa wataalamu. Zilijidhatiti zaidi kuandaa vijana wenye umri mdogo, mafundi makenika, umeme, useremala, ujenzi, usanifu, ushonaji na ususi. Lengo kuu lilikuwa ni kuandaa...
  17. JamiiForums Tanzania Kampeni yetu kwa Ajili ya Rais Samia isimdhalilishe na kutudhalilisha sisi pia. Tanzania Kwanza

    Tukiwa maeneo yetu tunaambiana kuwa tusikosoe awamu hii kwa sababu ni awamu ya... 1. Dini yetu 2. Jinsia yetu 3. Kabila letu 4. Asili yetu. Hapana. Mimi sikuwa nampinga Hayati Magufuli kwa sababu ya Dini yake. Mimi Dini yake inanihusu nini? Mimi nlishambulia matendo hatarishi. Lakini nlisifia...
  18. JamiiForums Tanzania Lini tutafika kama Taifa?

    Mwaka 1961, taifa letu pendwa la Tanganyika lilipata uhuru kutoka kwa wakoloni wa Kiingereza na kuamua kuanza safari yake ya kujitegemea katika maendeleo ya kiuchumi, kijamii na hata kisiasa. Ilipofika mwaka 1964 Taifa liliamua kuungana na taifa lingine lililokuwa huru la Zanzibar na kufanya...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania Yangu Inavyo umizwa

    NCHI YANGU TANZANIA UNAUMIZWA Tanzania ni nchi pekee duniani katika Karne ya 21 ambapo kiongozi anaweza kuwahutubia wasomi chuoni akisema "someni kwa bidii Ila mkimaliza mjue mtajiajiri wapi, serikali Haina mpango wa ajira kwa ajili yenu" na akapigiwa makofi hadi maprofesa walioajiriwa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya Tanzania na namna ya kuyatatua

    Mapungufu yanayopatikana Tanzania na jinsi ya kuyasuluhisha ni kama ifuatavyo:- Sekta ya Afya Kwenye sekta ya afya kina baadhi ya sehemu serikali imefanikiwa ila kwa asilimia kubwa kina mapungufu mfano hospitali nyingi na zahanati zina upungugu wa madaktari, manesi, sawa na upungufu wa vitanda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…