tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania kufanya vizuri kwenye Para-olympics Tokyo

    Ninaamini nchi yetu itafanya vizuri sana kwenye paraolympics. Tuna wabunge, wanasiasa wakiongozwa na honorable Ndungai, Polepole, Gwajima, Tarimba, Mwigulu, Zungu etc hakuna hata haja ya kuwapima maana wana akili ya kuku wote hao. Mheshimiwa Tarmba atasindikizwa na na vigogo wa Yanga, huyu jamaa...
  2. JamiiForums Tanzania Magenge ya utapeli Tanzania: Tupe stori kama umekumbana na kadhia zao

    Kwa muda mrefu kumekuwa na Magenge mbalimbali ya Utapeli kupitia Mitandao, Waganga na hata Wafanyabiashara. Hadithi n nyingi kuhusu magenge ya watu hawa. Yawezekana una ndugu, rafiki au hata jamaa aliyekumbwa na kadhia ya hii ya kutapeliwa. Zipo taarifa kuwa ndani ya Magenge haya kuna watu wa...
  3. JamiiForums Tanzania Picha ya siku: Mbowe kama gaidi

    Hawa maigaidi wengine wameishia kumshangaa
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya has 4 times more dollar millionaires than Tanzania

    Kenya also leads East and Central Africa in the number of dollar millionaires
  5. JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: Tanzania haiko kwenye mapambano ya demokrasia

    SHAKA HAMDU SHAKA: TANZANIA HAIKO KWENYE MAPAMBANO YA DEMOKRASIA. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi. Na Mwandishi Wetu, Dar Es Salaam. Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimesema Tanzania hakuna mapambano ya demokrasia kwani mageuzi na mabadiliko toka mfumo wa chama kimoja na...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Shaka: Tanzania ni nchi iliyojengwa katika misingi ya demokrasia

    Na Mwandishi Wetu, Dar Es Salaam. Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimesema Tanzania hakuna mapambano ya demomrasia kwani mageuzi na mabadiliko toka chama kimoja na kuingia vyama vingi yamefanyika kwa ridhaa na kwa mujibu wa sheria kinyume na madai yaliyotolewa na katibu mkuu wa chadema John Mnyika...
  7. J

    JamiiForums Tanzania BBC na Corona: Kenya tayari ina deni la $ 1.5 bilion za Marekani, Tanzania haina deni lolote hadi sasa

    BBC Dira ya Dunia imefanya tathmini ya mikopo waliyopewa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki ili kukabiliana na janga la Corona ikiwemo uhifadhi na usafirishaji salama wa chanjo. BBC imegundua kuwa Kenya na Rwanda ndio zimepewa mikopo mikubwa na nchi wahisani na hivyo kuwaongezea kwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tafakuri kwa wapinzani Tanzania

    Hali zenu wanajamvi, Mimi nashukuru nipo hai natarajia kuchanja wiki hii. Naomba wapinzanzi watafakari jambo moja tu: Anapopatikana kibaka mwanaume huuawa au hupewa kipondo cha hali ya juu. BUT anaposhikwa kibaka mwanamke hata sehemu kama kariakoo hali huwa tofauti sana. Hushikwashikwa na...
  9. JamiiForums Tanzania Utata wa chanjo ya UVIKO-19: Askofu Gwajima kutoa msimamo mwingine juu msimamo tarehe 1/8/2021

    Mtazame na msikilize mwenyewe ktk video hii. Yeye kauita huu wa kesho kuwa ni "msimamo juu ya msimamo"... Hii ndiyo sauti ya "Jitu la Mbinguni" iliayo nyikani kusema itengenezeni njia ya Bwana maana ufalme wa Mwanakondoo upo duniani...! Video na sauti yake itafuata.
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania ya kesho

    Ni kweli Tanzania ya kesho haitakua tena yakushangaza kwani uwepo wa mambo ambayo hatukuzoea kuyaona au kuyasikia itakuwa kawaida kwetu kwa mambo yafuatayo; Ushoga, kwa sasa hili jambo tunaona ni kama kwenenda nje ya maadili na miiko ya jamii nyingiza kitanzania na Afrika pia lakini ni jambo...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzuru Rwanda kwa Ziara ya Siku Mbili (Agosti 2-3, 2021)

    Awali ilianza kama tetesi hapa JF, soma Rais Samia kufanya safari nchini Rwanda mapema Agosti UPDATE: July 31, 2021 Tanzanian President Samia Suhulu will on Monday arrive in Kigali for her first visit state to Rwanda. During the two-day visit, she is expected to hold private talks with...
  12. JamiiForums Tanzania Mamlaka naomba iunde kikosi maalumu kichunguze tukio la kupotea kwa Askari Emmanuelle Govella

    Mh rais nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kukupa Afya njema na kuweza kutekeleza vyema majukumu yako ya kitaifa,mh rais Nina ombi maalum kwako kama mwananchi wako ambaye nimeguswa Sana na tukio la kupotea kwa askari polisi Emmanuelle Govella wa kituo kidogo cha mtumba mji wa kiserikali...
  13. JamiiForums Tanzania Air Tanzania (ATCL) kichocheo cha ukuaji wa uchumi Tanzania

    The Diplomat Air Tanzania (ATCL) ni shirika la umma na limekodishiwa ndege na serikali kutoa huduma kwa wananchi ,na kwa mara kadhaa hasa kipindi hiki cha corona halijatengeneza faida shirika kama shirika lakini faida ya ndege hizi ni kubwa hasa kwenye sekta nyingine za uchumi ikiwemo biashara...
  14. JamiiForums Tanzania Si lazima uwe na Pesa ili uwe na Maendeleo: Elimu ya Matumizi ya Choo

    Doro aliimba stimu ya Kuber ndo imeshaleta matata Yeye ndo anajua jinsi ipi alikua na demu mkali ila umaarufu akauweka pembeni Akatia usanii mbele kama ule wa Prof Jize, na skills za Weusi jinsi ambavyo walimshirikishaga Chin Bees mnyama ilihali wao pia wanaimba. Na unaeza cheki skills za Joh...
  15. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania ilifaulu au ilifeli kupambana na COVID-19

    Nilizingatia msimamo tuliokuwa nao COVID-19 ilipoingia nchini kwa mara ya kwanza, nilikuwepo wakati wa wimbi la pili la maambukizi, na nashukuru pia nipo kipindi hiki cha wimbi la tatu la maambukizi na hatua zinazochukuliwa. Najiuliza je, tulifaulu au kushindwa awamu ya kwanza ya COVID-19, na...
  16. JamiiForums Tanzania Naachana na harakati za kisiasa Tanzania, hazina faida yoyote

    Ndugu zangu nimekuwa na nyie hapa kwa zaidi ya miaka 7 sasa. Kulingana na mwenendo wa siasa za nchi hii naomba niachane kabisa na siasa, ni kujipa presha na usumbufu usio na faida. Mwanzo nilifikiri tatizo ni Marais wanaotawala hii nchi kumbe tatizo sio Marais wanaotawala hii nchi bali ni...
  17. JamiiForums Tanzania SoC01 Njia bora za kutokomeza uvutaji wa bangi nchini Tanzania

    Ukipita katika mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam na katika miji mingine mikubwa, aghalabu utawakuta vijana na baadhi ya watu wazima wamekaa katika makundi wakivuta bangi na kutumia dawa nyingine za kulevya bila wasiwasi wowote. Hili hutokea zaidi nyakati za jioni na usiku lakini pia sio...
  18. JamiiForums Tanzania Lema, upo Canada unaomba michango Tanzania

    Wanaukumbi. Viongozi wa CHADEMA sasa hivi kama wameishiwa mbinu za kukijenga na kukiimarisha chama kama ilivyokuwa enzi za kina Prof. Safari, Dr Slaa, Zito Kabwe. Mbinu na sera zilizobaki sasa ni kuwaomba wananchi michango ili watumie kwenda kuwaomba wazungu waiwekee vikwazo Tanzania...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania LHRC - Uzinduzi wa report ya haki za binadamu na biashara 2020/2021

    UZINDUZI WA REPORT YA HAKI ZA BINADAMU NA BIASHARA 2020/2021 Legal and Human Rights Centre (LHRC) on 29th July, 2021, launched the Tanzania Human Rights and Business Report that provides the status of human rights in the business field in Tanzania Mainland in 2020. This is progressive report...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini vyombo vya habari kama Televisheni na Redio za Tanzania havina habari za biashara

    Habari za Biashara zinawafungua wananchi wakiwemo wakulima, wafanyabiashara na wafanyakazi juu ya mwenendo wa masoko. Sasa hapa Tanzania je ni kwanini hakuna kituo cha Televisheni au Redio chenye Habari za mashiko za Biashara kama vile Mwenendo wa Masoko ya Hisa ya Tanzania na Afrika Mashariki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…