tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. N

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU Tunaomba msiwaonee haya viongozi wote waliopokea hongo ili chanjo ije Tanzania kama ilivyodaiwa na Askofu Gwajima

    Kwa madai ya askofu Gwajima ni kwamba kuna viongozi walipokea hongo ili chanjo ije, na akauliza walihongwa kiasi gani hicho mpaka kuwauza watanzania? Askofu alidai pia viongozi hao wamechanjwa chanjo feki ili kuwahadaa wananchi. Sasa basi kwakuwa Tayari Waziri kaelekeza TAKUKURU mumkamate na...
  2. JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani Nchini Tanzania aingia Kanda ya Nyasa

    Je ataonana na Mwenyekiti wa Kanda hiyo Mchungaji Msigwa ? Ngoja tusubiri tuone Pichani : Akila Mahindi matamu ya Iringa
  3. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Vyama vya Upinzania Tanzania msikate tamaa, soma historia ya Rais mpya wa Zambia utajifunza kitu

    KUPATA UONGOZI KATIKA NGAZI YA NAFASI YA URAIS SIO JAMBO LA DAKIKA MBILI , UVUMILIVU , KUMUOMBA MUNGU , KUANDAA SERA SHIRIKISHI , KUPIGANIA DEMOKRASIA ,KUWA MAONO YA MBELE NI BAADHI VITU VINAVYOTAKIWA KUANGALIWA SANA WAKATI WA KUANDAA NJIA. Rais Mpya wa Zambia na vikwazo alivyopitia kutoka...
  4. JamiiForums Tanzania Wale wenye sera ya Majimbo waangalie Ethiopia

    Kuna chama nchini kimekua kikitumiwa kugawa Watanzania kijiografia na kitabaka. Nasema kinatumiwa kwa sababu umoja wa watanzania umekua kikwazo kikubwa kwa wale wenye nia ya kuligawa taifa kwa mizozo ili wamiliki kirasi uchumi wake. Nchi kama Ethiopia imehangaika miaka mingi kujenga uzalendo wa...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Yanayowakuta Simba kwa media iwe onyo kwa teams nyingine za Tanzania huko kimataifa

    Ukaichilia team moja tu ambayo kupitia kwa watu wake inaratibu syndicate hii kubwa inayohusisha waandishi takataka lifuatalo ni onyo kwa teams nyingine za bongo zinazoenda kimataifa: Msithubutu kufanya vizuri hata kidoogo simba ndani ya miaka 3 kaingia robo fainali mara mbili na sasa ni ya 12...
  6. JamiiForums Tanzania Hatari kubwa: Elimu ya Tanzania inafundisha watoto kuwa vigeugeu

    Mfano mmoja ni huu: Mtoto akiwa darasa la kwanza anaambiwa 1-2= Haiwezekani halafu akifika darasa la sita anaambiwa 1-2= -1 hiki kitu kinaonekana cha kawaida ila ni kosa kubwa sana. Marekani kuanzia kindergarten watoto wanafundishwa 1-2= -1 na inaenda mpaka chuo kikuu. Kwa elimu niliyopata...
  7. JamiiForums Tanzania Nafikiria kuwekeza Zanzibar

    Habari mdau! Nina Tamani sana kuwekeza Zanzibar. Nahitaji mawazo na ushauri kwa waoifaham vizuri. Pros and Cons Upatikanaji ardhi(beach Au inland) Service Demands Challenges. Nitashukuru sana.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Upinzani wa chanjo ya ‘mwendokasi’ ya COVID-19 haupo Tanzania pekee

    Duniani kote kuna vurugu patashika nguo chanika!! Kisa!! Watu wameishtukia chanjo ya corona!! Hali ni mbaya !! Watu wako tayari kufa kuliko kuchanjwa!! Vyombo vya habari vimezuiwa kutangaza hali halisi ilivyo lakini watu wamejitolea kupita mitaani na magari ya matangazo kuhusu athari za...
  9. JamiiForums Tanzania SADC ina faida gani kwa nchi yetu?

    Habari wakuu. Naomba kujuzwa faida za SADC kwa nchi yetu.
  10. JamiiForums Tanzania Taratibu za kurasimisha dawa asili kwa Tanzania ni zipi?

    Habari za wakati huu wadau wa jamvi hili, mimi ni mtaalamu wa tiba asili. Naomba kujuzwa juu taratibu zakufuata ili niweze kurasimisha dawa zangu za mitishamba. Msaada wadau.
  11. JamiiForums Tanzania Ushindi wa upinzani Zambia uwe somo kwa polisi ya Tanzania na CCM

    Zambia imewezekana Mara nyingi na hata Malawi hapa kwetu Kuna wahuni wanajiita polisi (sio JWTZ hawa wanaheshimika) na wahuni wengine ni CCM kama mnaamini mnapendwa sana na watanzania na kwamba upinzani ni dhaifu wekeni uwanja huru Kama Zambia ili mjithibitishie mnapendwa Ila kwasababu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wanayanga SC mmemsikia na kumuelewa Mchambuzi Oscar Oscar wa EFM na TvE?

    Unaenda Morocco Kwa siku 10. Siku 4 ni safari ya kwenda na kurudi. Siku moja ni mapumziko. Siku 5 ni Pre-Season! Sio Bangi kweli hii? Chanzo: Twita Akaunti yake.
  13. JamiiForums Tanzania Tunahitaji Magufuli mwingine aje kushughulika na kilimo Tanzania

    TUNAHITAJI MAGUFULI MWINGINE AJE KUSHUGHULIKA NA KILIMO, TANZANIA. Israel 🇮🇱 pamoja na udogo wake wa km 22,145 km wanaisaidia dunia nzima kwenye kilimo. Wanailisha dunia. Wanashangaa nchi ya Tanzania 🇹🇿 yenye 945,087 km² na yenye ardhi ambayo 49.7% inafaa kwa kilimo na nearly 61,500 km² about...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hivi waliotumwa kumuua Lissu waliaminishwa wakaamini tatizo la Tanzania ni Lissu?

    Najiuliza Ni doctrine gani waliyokuwa nayo wale waliokwenda kumfyatulia risasi Lissu. Najiuliza walidhani Lissu ndo tatizo la Tanzania ? Walidhani ugumu wao wa maisha unaletwa na Lissu? Waliaminishwa Nini Hadi wakaamua kuvaa nafsi ya mauaji? Lakini najiuliza waliowatuma waliaminishwa na Nini...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Tathmini yangu juu ya muenendo wa chanjo ya COVID-19 Tanzania

    Leo wizara ya Afya imetangaza kuwa hadi jana, tarehe 14, jumla ya watu 207,391 wamechanjwa kati ya chanjo 1,008,400 tulizoletewa na watu wa Marekani. Chanjo zilizinduliwa rasmi tarehe 28 July, 2021, karibu wiki 3 zilizopita. Tathmini yangu inajikita kwenye muitikio wa watu kuchanjwa. Leo hij...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa miaka 20 tunashiriki uchaguzi, CHADEMA hatujakubalika, yaliyotokea Zambia hayawezi kutokea hapa Tanzania

    Ili chama kichukue dola lazima kikubalike kwa wananchi kuwa kina uwezo wa kutatua shida,kero na matatizo ya wananchi baada ya chama tawala kufeli. CHADEMA haijajenga imani kwa wananchi kuwa ni chama chenye uwezo wa kutawala na kutatua kero za umma. Wazambia wanajua kuwa ili kero zao zitatuliwe...
  17. JamiiForums Tanzania Tangu Uhuru Tanzania ina Katiba 3 ambazo hazikushirikisha wananchi

    Tanzania ni nchi huru iliyopata uhuru wake mwaka 1961 Katiba ya kwanza iliandaliwa uingereza na kuleta tanganyika na kuanza kutumika baada ya kuonekana ina mapungufu. Mwaka 1962 waliteuliwa wabunge 71 wakaifanyia marekebisho bila kupata maoni na mapendekezo ya wananchi. Mwaka 1977 waliteuliwa...
  18. JamiiForums Tanzania SoC01 Mfungwa sio mnyama, alipwe, alipe kodi

    Mfungwa anapomaliza kifungo na kurudi uraiani anakuwa kama mtoto. Hana kazi, hana mali na wakati mwingine hata utu wake huonekana tofauti. Anaweza kuonekana kama mhalifu kama wengine wengi ambao wakitoka jela huwa na sura za kutisha. Huonekana si kitu. Hana mbele wala nyuma na waswahili husema...
  19. JamiiForums Tanzania Siasa za Mafuta na Gesi: A Performance Audit Report On Produced Graduates in Oil and Natural Gas Industry in Tanzania

    A PERFORMANCE AUDIT REPORT ON PRODUCED GRADUATES IN OIL AND NATURAL GAS INDUSTRY IN TANZANIA EXECUTIVE SUMMARY All personnel either directly or indirectly employed by International Oil and Natural Gas companies have to meet certain professional standards and levels of qualifications. Therefore...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia anafanya kazi nzuri kuiongoza Tanzania

    Mpaka sasa sijaona kosa alilofanya. Mambo yote aliyofanya ni sahihi. Ni muhimu kwamba usimkejeli rais kwa sababu ya maneno aliyosema huyu au yule. WEWE ndio uwe mwamuzi. Usikubali mtu akuambie rais hafai. Wasikilize watu wengine lakini uamuzi lazima uwe wako. Matatizo ya Katiba nadhani rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…