tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Armed Robbery sasa ina dhamana Tanzania

    Kwa wale wanasheria wenzangu, mnakumbuka kesi ya Dickson Paulo Sanga, Rufaa ya madai Na.175 ya 2020 Mahakama ya Rufaa (DSM) ilitoa miezi 18 sheria kubadilishwa kwa ujambazi wa kutumia silaha ili iwe na dhamana, miezi hiyo 18 imeisha November, 2021, endapo kwa kipindi hicho sheria itakuwa...
  2. Ujerumani kuwa na Serikali mseto, vyama vyote yakubaliana Scholz kuwa Kansela, Tanzania bado hizi ni hadithi miaka 60 yaenda ya uhuru

    Chemba ndogo ya bunge au "Lower House" ya Ujerumani imepitisha kwa pamoja uamuzi wa kumfanya bwana Olaf Scholz kuwa Kansela mpya wa Ujerumani. Vyama vya SPD cha Scholz, Green na FDP kwa pamoja leo asubuhi hii vimemuidhinisha bwana Olaf Scholz kuwa kansela mpya na kuondpoa uhafidhina wa chama...
  3. Tanzania yaishawishi UNESCO kukienzi na kukieneza Kiswahili Duniani

    Mkutano Mkuu wa 41 wa UNESCO umeipitisha tarehe 7 Julai ya kila mwaka kuwa Siku ya Kiswahili Duniani, azimio hilo limepitishwa na Nchi zote Wanachama wa UNESCO bila kupingwa leo November 23, 2021, Paris nchini Ufaransa. MY TAKE; Kenya msije mkasema hatukuwaambia kwamba Tanzania tukiamua Jambo...
  4. Biden invited 110 Countries - Summit for Democracy, Tanzania mpya haimo!

    Summit for Democracy: Invited Participants Albania Angola Antigua and Barbuda Argentina Armenia Australia Austria Bahamas Barbados Belgium Belize Botswana Brazil Bulgaria Cabo Verde Canada Chile Colombia Costa Rica Croatia Cyprus Czech Republic Democratic Republic of Congo Denmark Dominica...
  5. Tuangalie hizi video mbili fupi tujifunze juu ya busara ya kuiongoza Tanzania yetu

    Ndugu wanabodi hapa chini nimeweka video mbili fupi sana za hotuba za marais wetu wapendwa wawili wa nyakati tofauti ambapo ndani ya hotuba hizo kuna jambo kubwa la kujifunza juu ya busara ya uongozi. Hotuba hizi mbili ni darasa zuri sana la uongozi.Tukizingatia kwa vitendo kinachosemwa humo...
  6. Freeman Mbowe ndiye mpigania haki maarufu zaidi barani Afrika kwa sasa

    Gwiji la siasa za Mageuzi Nchini Tanzania Freeman Mbowe, ama Mtemi Isike, Laingwanan au Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar, sasa anatajwa kama ndiye mpigania haki, demokrasia na uhuru anayeheshimika zaidi barani Africa, wachunguzi wa siasa za dunia wanamuweka Mbowe juu...
  7. Uanaharakati umefeli Tanzania

    Wanabodi, Wengi wana uelewa kwamba katika nchi inayo minya haki, katika serikali inayo didimiza uhuru wa kujieleza, katika serikali inayo ingilia vyombo vya habari, uanaharakati ni njia muhimu katika kuhakikisha kwamba serikali inawajibika kwa maamuzi yote yanayofanywa. Katika kipindi hiki...
  8. J

    Air Tanzania ups stake for East African skies

    Air Tanzania ups stake for East African skies Air Tanzania is set to step up competition in the East African skies with the launch of flights on the Dar es Salaam-Nairobi route from November 26, and plans for Bujumbura later in the month. The airline’s first flight to Nairobi from Julius...
  9. Napinga GSM kuingia mkataba na NBC ili kuendesha ligi kuu ya soka Tanzania

    Hawa ni wadhamini wa Yanga na kiukweli ndio wamiliki wa Yanga, sasa hii habari kwamba wanaingia mkataba na NBC wa Ushirikiano wa kuendesha ligi kuu ni pigo kubwa sana kwa timu zingine. Hii ni kwa sababu hawa GSM ni wafia Yanga ambao wako tayari kufanya lolote ili kuibeba Yanga, hawa kwa namna...
  10. Je, Mbowe kausaliti Upinzani Tanzania ?

    Jukwaa Huru ! Binafsi siamini kabisa kwamba Mbowe ana kesi yoyote ile, hii yote kwa maoni yangu ni geresha tu na siajabu hata Mbowe analala kwake na siyo Mahabusu. Kwa nini nasema hivi ? Iweje Mbowe awe na kesi na yuko Mahabusu kwa miezi sasa halafu kila mtu yuko kimya? I mean Askofu Shoo...
  11. Hawa ndiyo stand up comedians wangu bora kwa sasa Tanzania

    Wasafi TV na programu yao ya cheka tu wamefanya mapinduzi makubwa sana kwenye Stand Up comedy Tanzania. Wamezalisha vizazi vipya. Kwa sasa hawa ndiyo comedians wangu bora kabisa. 1. Mc Madevu 2. Mc Eliud 3. Halleluya 4. Asma 5. Leonardo
  12. C

    Tunakwama wapi? Malawian Airlines (ndege 2) Vs Air Tanzania (ndege 11)

    Wanyasa kwa ufadhili wa Ethiopian airlines Wana ndege 2 wanafanya maajabu international destinations (DAR, NBO, LSK, JNB & HRE) . Sisi ndege 11 international destinations za kuhesabu kwann bado hatukamati destinations za maana? Tumirogwa? Hii COVID ilipaswa kukamata alipofeli South Africa...
  13. System Developers EAC tumelala, huu mchongo wa Tanzania umeenda India, software $30 million USD

    Nawaza hapa kwa nia njema, wadau tunakesha tukiachia software za kishua tu huko nje zinatumika, ina maana hatujafikia kiwango cha kushawishi hizi serikali za ukanda huu, mpka ERP inafuatwa India kwa gharama ya milioni 30 dola za Kimarekani. Hela ndefu sana hiyooo. ========= A statement...
  14. J

    Shaka Hamdu Shaka msumari wa moto kwa Upinzani Tanzania

    Msingi wake ukiwa ni aina ya Siasa anazozifanya kijana huyu Mzalendo wa kweli wa Taifa hili zimekizolea umaarufu na heshima kubwa ndani na nje ya nje Chama cha Mapinduzi kwa kipindi hiki kifupi tangu kuteuliwa kwake, Siasa zake za msimamo wa wastani na kuegemea zaidi kwenye kusikiliza...
  15. Majambazi Wakenya Walivyotikisa na Kuweka Historia Kanda ya Kaskazini Nchini Tanzania

    Kitabu bora cha UJASUSI na USALAMA kiitwacho "IJUE HISTORIA" chenye kurasa 470 kinachoongelea historia za UJASUSI, UPELELEZI, SIRI ZA DUNIA, UGAIDI na UHALIFU kimeshatoka na kinapatikana kwa sh 25,000 tu. Pia kundi la "ijuehistoria" (WhatsApp group) lipo kwa gharama ya sh 3000 kwa mwezi. Namba...
  16. Kassim Majaliwa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2025

    Umuhimu wa kitu kizuri huonekana baada ya kutoweka. Jiwe walilolikataa waashi lilikuwa jiwe kuu la pembeni. Hakuna nabii anaekubalika kwao. Mimi ni mmoja wa mtu aliemkosoa sana Magufuli, baada ya kufa nimegundua ukweli wa misemo hiyo hapo juu. Rais Samia alianza kwa kuwapa tumaini Watanzania...
  17. T

    Naomba kujuzwa kuhusu Amazon web services certification kwa Tanzania

    Habari wadau, naamini mko poa. Ni muda sasa nimekuwa nikifuatilia kuhusu cloud computing na nikafikia hatua ya kutaka kujua kiundani, katika kufuatilia kwangu nikagundua kuwa naweza kujifunza online na kupata cheti. Ningeomba kujua kama kuna mtu ambaye alishafanya mitihani ya amazoni anipe tu...
  18. L

    FOCAC yaimarisha ukuaji wa ushirikiano wa kina kati ya China na Tanzania

    Na Caroline Nassoro Mkutano wa mwaka huu wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) unatarajiwa kufanyika mjini Dakar, Senegal, kuanzia tarehe 29 hadi 30 Novemba, mwaka huu. Kaulimbiu ya mkutano huo kwa mwaka huu, ni “Kuimarisha Uhusiano wa China na Afrika na Kuboresha...
  19. M

    Hivi 'Logically' tunasheherekea miaka 60 ya Tanzania au miaka 60 ya Tanganyika?

    Ni nani Katuroga uwezo wa Kufikiri mpaka tumeshindwa kujua kuwa sasa hatuna Tanganyika bali tuna Tanzania na kwamba hata tu Kutaja neno Tanganyika ni kujitafutia tu laana na kukumbushia Mateso ya Wakoloni na Mababu na Mabibi zetu waliopambana Kutukombolea hili Taifa zuri la Tanzania? Nyie...
  20. Tanzania tunazalisha wanasiasa, wanasheria na viongozi wa Dini kuliko wanasayansi alaf tunataka kuingia 5G

    Wana JF, Ukisikia nchi kulogwa na aliyeiloga kafa ndio huu mchezo wa kudumaza mambo ya kisayansi na kuzalisha wanasiasa wengi, wanasheria wengi, wahubili wengi kiasi cha kukosa dira ya mpango wa elimu bora yenye mtririko wa kisayansi. Ukienda kwenye vyuo vikuu vya umma utakuta vijana wengi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…