tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. L

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya CCTV camera Tanzania na uvunjifu wa haki ya faragha

    Kumeibuka tabia ya kila mtu anafunga CCTV camera kwenye maeneo ya biashara au nyumba ya kuisha mfano mtu anafunga CCTV camera kwenye eneo la baa au nyumba ya kulala wageni na Hakuna sheria au muongozo ambao umewekwa na serikali kusimamia matumizi ya hizo camera mwisho siku unakuta haki za...
  2. JamiiForums Tanzania Kupotea kwa Dkt. Cyrilo na ukimya wa media za Tanzania

    Nimesikitika sana kuona @dr_chriscyrilo yupo ndani siku 3 lakini hakuna main stream media iliyojishughulisha kuripoti zaidi ya @bbcswahili. Yani media za Ulaya zinaumizwa na matukio ya uonevu na zinaonesha kujali zaidi utu wetu kuliko media zetu? Seriously? Mnataka nani "akamatwe" ndio mripoti...
  3. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Rai yangu kwa Serikali ya Tanzania

    Uchumi na Biashara Serikali imekua haitoi kipaumbele kwa biashara za matandaonu lakini biashara za mtandaoni zinaweaza kuwa chanzo kikubwa cha mapato ya nchi na ajira kwa vijana. Mfano biashara ya kubadilisha fedha mtandaoni (FOREX) biashara hii haifaamiki na haijapewa idhini na serikali...
  4. JamiiForums Tanzania SoC01 Hii ndio mbinu pekee ya kuokoa Mfumo wa Elimu Tanzania

    Shule ya msingi niliyosoma zaidi ya miaka kumi na tano iliyopita inajipambanua kwa kaulimbiu isemayo “ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA”. Nakumbuka vyema jinsi ambavyo kaulimbiu hii ilifanywa kuwa sehemu ya maisha ya kila mwanafunzi pale shuleni. Mwalimu alikuwa akiingia darasani kufundisha wanafunzi...
  5. JamiiForums Tanzania Field Sales Executive at DHL (Tanzania) Limited

    Manage a portfolio of customers and potential customers via personal sales visits, using face-to-face contact to provide a ‘personal service’ Develop an implement an Annual customer call cycle Conversion of qualified leads into customers (First Time Buyers) and develop and penetrate existing...
  6. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi 350 Idara ya Uhamiaji Tanzania 2021

    Idara ya uhamiaji Tanzania wametangaza nafasi za kazi 350 kwa watanzania kama tangazo linavojieleza hapa chini
  7. JamiiForums Tanzania SoC01 Delay of legal proceedings in our Tanzania Court system (Judiciary)

    01.INTRODUCTION. A case or suit is the contra-verse or misunderstandings between the two or more parties.Therefore parties are the one who bring the case to the particular legal institution, therefore parties and the case are two sides of the same coin.This means that one of them determine...
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania IMF- Tanzania faces hard times

    By JAMES ANYANZWA More by this Author Tanzania requires urgent financial support of $1.1 billion (1.5 percent of GDP) in the next 12 months to avert a potential economic fallout arising from the Covid-19 pandemic and the rising import bill linked to rising crude oil prices. The International...
  9. JamiiForums Tanzania Hii kitu inayoitwa CROWD FARMING, Tanzania nani wanafanya??.

    Rejea video.
  10. JamiiForums Tanzania Yataka moyo kuwa mchezaji wa mpira wa miguu Tanzania

    Hebu piga picha, lengo la yanga ni kutafuta watu,lengo la simba ni kuonesha kikosi kipana. Ndugu zangu wanaobeti sasa! Unakuta anaitabiria yanga kufunga magoli saba huku haina kikosi kipana? Duh! Wao wanataka watu na siyo magoli,hhhhhh! Hongereni watani zangu yanga kaa ushindi wa jumapili.
  11. JamiiForums Tanzania CCM Kuweka misingi madhubuti kuendeleza sanaa nchini

    CCM KUWEKA MISINGI MADHUBUTI KUENDELEZA SANAA NCHINI Dar es Salaam 25 Septemba, 2021 Akizungumza kupitia jukwaa la wasanii liloandaliwa na kampuni ya Marketing Africa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka amesema serikali ya CCM itaendelea kuweka misingi Imara ya...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania nchi ya umeme wa bei chee zaidi EAC

    Tanzania yatajwa kuwa ndio nchi yenye umeme wa bei chee zaidi Africa mashariki || Rwanda yatajwa kuuza umeme bei ya ghali zaidi nchi za maziwa makuu, " Hakuna kama Samaia " Tanzania baada kutajwa kama nchi yenye gharama ndogo ya mafuta ya taa, Petroli na dizeli ukiilinganisha na nchi zingine...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania kuwa kama Zimbabwe kukataa kusign hii UN convention against torture ni jambo la kusikitisha na kushangaza sana

    WHY HASN’T ZIMBABWE ADOPTED THE UN CONVENTION AGAINST TORTURE? – CONSTITUTION WATCH 6 / 2019 By Veritas28 June 2019Analysis and Comment, Democracy, Human Rights, Legislation 2 Introduction 26th June was the International Day in Support of Torture Victims. Yet another 26th June has come and...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ashiriki mkutano mkuu maalum wa uchaguzi wa viongozi wa jumuiya ya tawala za mitaa Tanzania - ALAT

    Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Samia suluhu hassan akishiriki mkutano mkuu maalum wa uchaguzi wa viongozi wa jumuiya ya tawala za mitaa tanzania - ALAT katika ukumbi wa Jakaya Kikwete convention center jijini Dodoma, tarehe 27 Septemba, 2021. Kuwa nami kukujuza yanayojiri...
  15. JamiiForums Tanzania Technological Changes in Tanzania

    TECHNOLOGICAL CHANGES IN TANZANIA 1.0 Introduction Technological changes main aim is to have a positive impact towards the society, this means that it has more advantages rather than drawbacks, but achieving this in the developing countries has been difficult due to one reason or another, even...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya na Tanzania zinazidi kupunguza vikwazo vya biashara baina ya nchi hizi mbili

    Baada ya Rais Uhuru na Samia kutoa agizo kwamba mazungumzo yafanyike ili kuondoa vikwazo vya kibiashara, juzi wakuu wa serikali hizi mbili walifanya kikao cha siku tatu huko Mombasa na kukubaliana kuondoa vikwazo 12 zaidi. Sasa vikwazo 18 pekee ndio vimesalia na vitaondolewa kabla ya mwaka huu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imeanza kulazimisha watu kuchanja chanjo za COVID-19?

    Inavyoonekana serikali ya Tanzania imeanza kulazimisha wananchi kuchanja chanjo za Covid bila ridhaa zao. Tumeona mkuu wa mkoa wa Mbeya akitoa kauli za kulazimisha watu huko Mbeya kuchanja ikiwemo wafungwa Sasa kuna kauli tena ya serikali ikiagiza wakurugenzi watendji wa Taasisi za serikali...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Ajira za utendaji wa mtaa/vijiji, ni kweli Tanzania inathamini elimu?

    Nimefuatilia sana posti za ajira za utendaji wa mtaa au vijiji sijawahi kuona wakiunganisha kigezo cha shahada kwenye sifa za kazi hiyo na nyingine 50 zimetangazwa wilaya ya Ilemela wanahitaji astashahada tu Naona kusoma sana sasa hakuna maana Tanzania enzi za mwl Nyerere alithamini sana wasomi...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hospitali zinazotoa Chanjo ya Pfizer au Mordena

    Habari ya majukumu wapendwa. Ninaomba kujua kama kuna hospital inayotoa chanjo ya Pfizer au Mordena kwa Tanzania hapa.
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania kupokea dozi milioni 2 za chanjo aina ya Sinopharm

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi Milioni 2 za Sinopharm kutoka Nchini China. Kwenye chanjo hiyo, mtu atapokea dozi mbili tofauti na Johnson & Johnson ambayo inachomwa mara moja Akizungumza kutoka Mkoani Singida, Msigwa ameeleza kuwa idadi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…