tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Barrick yaendelea kufanya makubwa. Yaleta mtambo wa 'PhotonAssay' unaotumia Roboti. Ni wa kwanza barani Afrika na upo Tanzania Pekee!

    Wanabodi, Mambo mengine wala hata hatujui Kiswahili chake, hivyo wale wenzangu na mimi ambao lugha za watu hazipandi, mnisamehe. NEWS OCTOBER 10, 2021 Barrick Commissions Africa’s First PhotonAssay Laboratory Press Release All amounts expressed in US dollars unless stated otherwise Bulyanhulu...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wa Zanzibar 2020 - Tuna ya Kujifunza, yatasaidia kwa Ukombozi

    Kumtemesha mtu tonge mdomoni au haki za watu anazo hodhi haijawahi kuwa bila mpambano. Maridhiano hayawezi kutokea mitandaoni. Tunayo ya kujifunza kutokea Zanzibar walikofanikiwa kuionja tamu na chungu ya maridhiano: Shikamoo Zanzibar. Ama kweli tuna mengi ya kujifunza kwako. Pumzika kwa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Tanzania itakombolewa na wenye Moyo

    Siyo siri kuwa hii nchi ni ngumu sana. Uwekezaji uliopo dhidi ya haki na usawa ni mkubwa sana. Kwa makusudi demokrasia na uhuru wa watu vimeminywa vilivyo ili kufanikisha hayo. Hali hii haitaondoka yenyewe bila ya makabiliano. Ni muhimu kufahamu watesi wetu hujipanga upya kwa kila hatua...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tozo zimezidi, nchi yetu tuiite 'Tozonia' badala ya Tanzania

    Nimeona sehemu fulani Waziri wa Tamisemi Mh Ummy Mwalimu akisitisha tozo ya maegesho ya magari kwa njia ya kielektroniki kutokana na malalamiko ya wengi kuzidi. Hiyo ni sehemu tu ya malalamiko ya Watanzania walio wengi ambao kwa sasa wanaelemewa na tozo. Tangu serikali hii ya awamu ya sita...
  5. JamiiForums Tanzania Ni Tanzania tena Kimataifa! Shirika la Ndege la Kimataifa la Uswisi lazindua safari zake kuja Tanzania

    Hii ni moja ya sababu iliyonifanya niipende Serikali ya Awamu ya Sita! Hawana kelele sana wala propaganda ni vitendo tu na matokeo yanaonekana. Baada ya Serikali iliyopita kudharau Sera ya Mambo ya nje jambo lililopelekea Tanzania kutofaidika na Sera Bora ya Mambo ya Nje, Sasa Mabadiliko ya...
  6. JamiiForums Tanzania Benin vs Tanzania, Madagascar vs DR Congo on African Qualifiers - FIFA World Cup Qatar 2022

    Tanzania(Taifa stars) kupambana tena na Benin kwa mara hii wakiwa ugenini Siku ya Jumapili Oktoba 10 kuanzia saa 10 za jioni, katika mechi za kuwania kufuzu kombe la dunia 2022 nchini Qatar. Stars ilipoteza nyumbani dhidi ya Benin kwa kufungwa bao 1 kwa 0 katika mchezo uliopigwa dimba la Mkapa...
  7. JamiiForums Tanzania Matunda ya chanjo yaanza kuonekana, kazi nzuri ya Rais Samia

    Hapo jana, Serikali ya Uingereza kupitia ubalozi wake hapa nchini ulieleza kuwa Tanzania ni miongoni mwa mataifa yaliyoondolewa katika orodha ya Mataifa hatari kwa maambukizi ya Corona ambapo mataifa katika orodha hiyo yamepungua kutoka nchi 54 hadi 7. Kwa mujibu wa taarifa hiyo mabadiliko hayo...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania yapokea dozi 576,558 za chanjo aina ya Sinopharm

    Serikali ya Tanzania leo Oktoba 08, 2021 imepokea dozi 576,558 za chanjo aina ya Sinopharm dhidi ya Virusi vya Corona kutoka Nchini China Dozi hizo zimeletwa chini ya Mpango wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wa COVAX Facility, ikiwa ni sehemu ya dozi 1,065,600
  9. JamiiForums Tanzania Prof. Ndalichako, watazame hawa watoto wakiwa wanakwenda shuleni

    Wanafunzi wa kike wanakwenda shuleni, kila mtu awaonee huruma hawa watoto.
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa suala la ndege ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ya Tanzania Bara kupokelewa Zanzibar

    NAOMBA KUELEWESHWA SUALA LA NDEGE YA WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI YA TANZANIA BARA KUPOKELEWA ZANZIBAR. ZAA = Zanzibar TAA = Tanzania BARA Naomba kueleweshwa kwa Uhuru wa mawazo "the right to express my opinion under Article 18 of the Constitution of Tanzania of 1977" kuanzia zamani hakuna pa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali umedanganya; tuzo ya Nobel haijaenda kwa Raia wa Tanzania

    Prof. Gurnah aliyeshinda tuzo ya Nobel siyo raia wa Tanzania Kama serikali na viongozi wengi pamoja vyombo vya habari vilivyoripoti. Huyo ni raia wa Uingereza Mwenye asili ya Tanzania. Msemaji wa Serikali hapaswi kuandika kwa kuangalia mitandao bali anapaswa kufanya utafiti. Haina haja kuwa na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Benin vs Tanzania (Oktoba 7): Tanzania walishindwa kutumia nafasi walizopata kipindi cha kwanza

    Tanzania walishindwa kutumia nafasi walizopata kipindi cha kwanza ama ni Substitution za mwalimu ndio ziliotuangusha
  13. JamiiForums Tanzania Kuna pengo kubwa sana la Zawadi Mauya Taifa Stars

    Yule dogo Nivatus ni Mzuri ila anahitaji kuoneshwa namna mpira unaotakiwa kuchezwa. Na mtu pekee hapa Tanzania mwenye uwezo wa kumfundisha mpira dogo Novatus ni Zawadi Mauya. Pia pengo la zawadi Mua limeonekana kwa kuwa ni aina a mchezaji ambaye hakatiki pumzi kama Mzamiru Yasini. Ombi langu...
  14. JamiiForums Tanzania Uingereza yaiondoa Tanzania kwenye 'red list'

    Tanzania ni miongoni mwa mataifa yaliyoondolewa katika orodha ya Mataifa hatari kwa maambukizi ya Corona. Serikali imesema orodha hiyo imepungua kutoka Nchi 54 hadi 7 Waziri wa Usafirishaji, Grant Shapps amesema mabadiliko hayo yataanza Jumatatu (Oktoba 11, 2021) Hatua hiyo inamaanisha...
  15. JamiiForums Tanzania Talent Acceleration Programme at AB InBev

    Talent Acceleration Programme- Tanzania Position: Talent Acceleration Programme- Tanzania Dar es Salaam, Tanzania Full-time Company Description Our Dream is to bring people together for a better world. Beer, the original social network, has been bringing people together for thousands of...
  16. JamiiForums Tanzania Job Opportunities at Frostan Limited Tanzania

    1. Job Title: Systems Administrator Department: Information Technology Job Purpose: Effective procurement, installation, configuration, operation, and maintenance of network connectivity, IT systems, hardware and related infrastructure. Key Responsibilities: Business Performance & Staff...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Abdulrazak Gurnah ashinda Tuzo ya Nobel katika Fasihi

    Ni mwanafasihi Abdulrazak Gurnah Source: Al jazeera Mungu ni mwema wakati wote ===== Mwandishi kutoka Tanzania, Abdulrazak Gurnah ametangazwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel 2021 kwa upande wa Fasihi (Literature) Gurnah ambaye anaishi England alizaliwa Zanzibar na ni Profesa wa Chuo Kikuu cha...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kuwakamata na kuwaweka mahabusu kunanachangiaje maendeleo ya Tanzania?

    Hii kamata kamata ya viongozi wa upinzani nchini inasaidiaje kuondoa umaskini? Je wanapopelekwa mahabusu wanatumika katika kufanya uzalishaji au wanakaa tu wakisubiri wapate dhamana au wahukumiwe? Lakini pia hii ipo kwenye ilani ya chama Cha mapinduzi au imeandikwa wapi kwamba ni.marufuku...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi Tanzania wanaipigania CCM kufa na kupona?

    Ni wazi kabisa sasa polis wamechukua nafasi ya CCM kushindana na vyama vya upinzani. Huku CCM ikiwa mtazamaji napengine kuwapo kama haipo. Tofauti ndogo nikwamba polis wanamiliki siraha na mahabusu hivyo washindani wao wanakiona cha mtema kuni. Ukiangalia kwa makini hawa polis na pengine hata...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini tuvuti nyingi za Tanzania zipo kwenye lugha ya kingereza

    wadau na ombeni msada wenu nashwindwa kuelewa kwa nini tuvuti nyingi za Tanzania zikiwemo za serekali na watu binafsi zinachapishwa kwa kingereza huku walengwa tukiwa ni raia wakawaida kabisa ambao wengi wetu hatuko vizuri na hiyo lugha hilo lakwanza jambo jingine nathani hili linakera...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…