tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia wape meno TFS, anzisha kampeni ya upandaji na utunzaji Miti Tanzania nzima. Iongozwe na vijana wa kujitolea JKT

    Nakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mama! Kwanza nikupongeze kwa Mafanikio makubwa yanayoonekana kwenye suala la kuwahamisha Machinga na kuwapeleka maeneo rasmi. Na furaha nchi sasa imeanza kupendeza hasa majiji yetu! Nimepita Posta mpya leo na Kweli nimeiona Posta niliyoijua...
  2. JamiiForums Tanzania FY2021|22 HESLB imesajili wanafunzi wapya elfu 29 tofauti na elfu 32 wapya waliosajiliwa FY2016|2020

    Kwamiezi michache tu ya awamu ya sita Rais Samia ameongeza Jumla ya wanafunzi wanufaika wapya 29,117 wa HESLB,Mtakumbuka miaka mitano ya awamu ya tano tuliongeza wanafunzi wapya 32,583,God's Good === Mpaka awamu ya nne inaondoka madarakani FY2015|16 kulikuwa na Jumla ya wanafunzi 98'300...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yasema polisi bado wanachunguza kupotea kwa Mwandishi wa habari Azory Gwanda

    Polisi bado wanachunguza kutoweka kwa mwandishi wa habari maarufu wa Tanzania Azory Gwanda ambaye alitoweka mwaka 2017, amesema Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Jumapili mjini Mwanza.Msigwa amesema hakuna taarifa mpya ya...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania kupokea dozi 500,000 za chanjo ya Pfizer

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi 500,000 za Chanjo dhidi ya COVID19 ya Pfizer kupitia Mpango wa COVAX. Imeelezwa, Dozi hizo zitachanjwa mara mbili Akitoa Taarifa ya Wiki Jijini Mwanza amesema, "Hizi Pfizer ni sehemu ya Chanjo Dozi 3,700,000 ambazo...
  5. JamiiForums Tanzania Je, ukibahatika kuwa Rais wa Tanzania unatakiwa Uwaongoze Watanzania katika Mfumo gani Bora kati ya hii ifuatayo?

    1. Kwa Kufuata Katiba? 2. Kwa Nidhamu na Utu? 3. Kwa Kuwazidishia Madeni IMF na WB? 4. Kwa Kuwadanganya kama Watoto? 5. Kiupole ila Moyoni ukiwa Mnafiki? 6. Kwa Kubambikia Wapinzani Kesi? 7. Kwa Jicho la Huruma la Wine? Nasubiri majibu nikijiandaa kuwa Rais.
  6. JamiiForums Tanzania Miezi 7 bila Dkt. Magufuli; Noti mpya iliyopakwa Dhahabu, Almasi, Tanzanite ingeileta Tanzania mpya katika uso wa dunia

    MIEZI SABA BILA JPM;NOTI MPYA ILIYOPAKWA DHAHABU,ALMASI, TANZANITE INGEILETA TANZANIA MPYA KATIKA USO WA DUNIA. Leo 10:15hrs 17/10/2021 Nianze na maswali matatu yatakayotuongoza katika kujiuliza kama tunaweza kutengeneza pesa yetu na thamani yake ikapimwa kwa dhahabu,Almasi au Tanzanite...
  7. JamiiForums Tanzania Arusha jiji wajengewa hospitali ya kwanza yenye hadhi ya Jiji ya kisasa EAC, Watali sasa kutibiwa Tanzania badala ya Kenya

    Rais Samia Suluhu Hassan aanza kuzindua miradi ya awamu yake, Mmoja kati yake ni Hospitali ya kisasa ya 2.5bl Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan anazindua mradi mkubwa wa Hosptali ya kwanza ya Jiji iliyopo maeneo ya Njiro Jijini humo ujenzi wake umegharimu...
  8. JamiiForums Tanzania Bajeti ya Serikali ya Tanzania ilisomwa July 2021 sasa ni October 2021 Hakuna miradi ambayo imefanyika.

    Bunge la Bajeti limemalizika July2021, hadi sasa hakuna mradi Hata mmoja umeanza au umefanyika kutoka na Bajeti ya 2021/22. Ukinipa Tarura wako hoi, REA wapo hoi, tanesco wako hoi, halmashauri ziko hoi, Tanroads wako hoi, Kila Anakotembelea Rais Amess Hata kuitaja ilani ya ccm 2020/25 ...
  9. JamiiForums Tanzania Hukumu ya Sabaya, Udikteta na madai ya Katiba Mpya nchini Tanzania

    HUKUMU YA SABAYA, UDIKITETA NA MADAI YA KATIBA MPYA NCHINI TANZANIA Huko nyuma, sisi Askofu tulionya mara nyingi kuwa nchi yetu ilikuwa imeabiri meri iliyokuwa inatupeleka katika ng'ambo ya Udikiteta na Ufashisti. Tulikemea vitendo vya watendaji kudhalilishwa hadharani katika mikutano ya...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia 2021/22 amepunguza mikopo na misaada kutoka nje

    Kwamsiofahamu, Rais wetu katika kuitegemeza bajeti ya Serikali tayari taratibu ameanza kupunguza misaada na mikopo ya wahisani mfano kwenye bajeti yake ya 2021|22 amepunguza kidogo kutoka 8.2% hadi 8.1% || Nikweli Tanzania tunapokea misaada ila hatuitegemei. " Hakuna kama Samia " Sisi...
  11. JamiiForums Tanzania Tumeshazoea Maisha Bila Video za Porn Tanzania

    Kiuweli ni kama siamini hivi ila ndio ishazoeleka tena kwa sasa, kila siku najaribu kubrowse kwenye sites za ngono kuona labda mzigo umeachiwa lakini wapiiiii? Ombi letu kama mlivyofanikiwa kufungia site za ngono tunaomba mdhibiti na wale wa makampuni ya simu wanaotutumia sms bila mpangilio...
  12. JamiiForums Tanzania Utawala wa Ki-ndugu na Ki-Ukoo unaitafuna Tanzania

    Kama tunataka maendeleo lazima tuondoe utawala wa kindugu ndugu katika taifa letu. Haya Mambo hayakufanyika Nyerere akiwa Rais baada ya kufa tu ndio yalianza!! Kwani mnafikiri yeye alishindwa kumteua mkewe kuwa Waziri? Lakini alifuata maadili ya kiuongozi. Baada ya Kufa wakaanza kupeana...
  13. JamiiForums Tanzania Hongera Samia Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Leo ilikuwa kilele cha mbio za Mwenge kitaifa huko Chato -Tanzania.Mwenge wetu wa Uhuru ulizimwa rasmi kule Chato. Masikio ya wanachato yalikuwa kisikia Chato ikipewa hadhi ya kuwa mkoa lakini haikuwa hivyo. Nideclare interest kuwa Mimi ni mwenyeji wa kanda ya Ziwa na ninajua maeneo mengi huko...
  14. JamiiForums Tanzania Hii Mitandao ya simu inatutakia nini wanateknolojia Tanzania?

    Enyi Mitandao ya simu Tz ebu kueni basi na huruma, hata kama ni shinikizo kutoka serikalini kunyonya tozo vilivyo, Onyesheni basi kutujali sisi wateja wenu Sio nanyie kuendelea kutubana kwa kuondoa baadhi ya bando, kuongeza bei za bando nk. Haswa tukiwa tunakimbizana na dunia, kwenda sambamba...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna Demokrasia ya kweli kwenye nchi za kidikteta Bavicha wasingeruhusiwa kulisogelea kaburi la Nyerere!

    Nenda kwenye nchi yoyote ya kidikteta halafu wasimulie kwamba vijana wa upinzani waliingia lilipo kaburi la hayati mwenyekiti wa chama tawala na wakacheza bao na kunywa maziwa, maandazi na samosa. Watashangaa sana. Tanzania tuna demokrasia pana!
  16. JamiiForums Tanzania Nyerere on science, technology and innovation: A powerful Ministry of Information, Communication and Technology is a gateway to digital Tanzania

    Our drivers toward the vision of Digital Tanzania since 1961: From the Late Julius Kambarage Nyerere, through the late John Pombe Magufuli to President Samia Suluhu Hassan Abstract Today, we are celebrating the 22nd anniversary since the demise of the Tanzania’s Father of the Nation, Julius...
  17. JamiiForums Tanzania Maneno ya Mwl. Nyerere kuhusu Udikteta ambayo viongozi wa sasa Tanzania wanayakwepa

    Hebu na wewe sasa utoe maoni yako ili yaingizwe moja kwa moja kwenye kumbukumbu ya kifo chake
  18. J

    JamiiForums Tanzania Rwanda wanajenga kinu cha Nyuklia; sisi bado tuna maono ya kujenga madarasa miaka 60 ya uhuru

    Ni lazima viongozi wote wabadilishe namna ya kufikiri, haiwezekanu miaka 60 ya uhuru serikali imekazana kujenga madarasa tu na vyama vya siasa vimejikita kwenye kusaka ruzuku. Mfano CHADEMA badala ya kuja na sera mbadala za maendeleo wao wanachangishana hela za kuwapa familia za makomandoo...
  19. JamiiForums Tanzania Elimu ya Tanzania haichangii chochote kwenye global science and technology kwasababu inahabiribiwa na mwingiliano wa lugha mbili

    Elimu ya Tanzania haichangii chochote kwenye global science and technology kwasababu inahabiribiwa na mwingiliano wa lugha baada ya miaka 7 kuanzia kidato cha kwanza. Hapo juu ni mada: Karibuni tujadili kiundani: Mimi nitatoa highlights zangu chache hapa: Kuanzia kidato cha kwanza wanafunzi...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna slums? Kigezo cha sehemu kuwa slum ni nini?

    Wakuu nina maswali mawili. 1. Nini kigezo cha makazi kuitwa slums? 2. Je, Tanzania kuna slums?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…