tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Msimamo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu suala la Sahara ya Magharibi

    MSIMAMO WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUHUSU SUALA LA SAHARA YA MAGHARIBI Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imebainisha kwa masikitiko yake Taarifa iliyotolewa na Taasisi ya Utafiti wa Amani na Migogoro (IPCS) na Taasisi ya Tanzania Peace Foundation kufuatia Semina ya Pamoja...
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Makatibu wa CCM wilaya waliohamishwa vituo vya kazi wagoma kuripoti vituo vipya walivyopangiwa

    Mada inahusika. Makatibu wa CCM wa wilaya nchi Tanzania, wamehamishwa kwenye vituo vyao vya kazi na wamegoma kuripoti kwenye vituo vipya walivyopangiwa. Sambamba na hilo wakatibu zaidi ya 30 wamepangiwa kazi zingine jambo ambalo hawakubaliani nalo na wamediriki kutoa rushwa Ili wapangiwe tena...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Rasmi sasa Tanzania yapoteza nafasi nne kwa Libya, miujiza ya Simba SC inasubiriwa

    Tayari Walibya wameishapata slots ya teams nne kilichobaki ni miujiza kama Simba SC wataingia group stages ya shirikisho na hiyo ina depend kama Pascal wawa ataacha mgomo wake wa kuruka juu mipira ya kichwa au wauzaji mechi watawaonea huruma mamilioni ya washabiki wa Simba. Please maduka kuweni...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Wamachinga ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Lindi, wilaya za Kilwa na Lindi

    Wamachinga, Wamachinga ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Lindi, wilaya za Kilwa na Lindi. Lugha yao ni Kimachinga. Inasadikiwa asili ya kabila hili ni kandokando ya ziwa Mkoe, hasa mto Mbwemkuru unapoingia baharini. Wamachinga katika biashara. Kwa kipindi cha karne ya 20...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania kwenda Afcon tena

    Inawezekana Tanzania ikaenda tena Afcon endapo tu chama cha soka cha Equatorial Guinea kitashindwa kulipa faini waliopigwa shirikisho la mpira FIFA ndani ya siku 30. Equatorial Guinea 🇬🇶 walipigwa faini ya kiasi €644,000 baada ya kushindwa kuwalipa makocha waliopita wa timu ya taifa ya wanaume...
  6. JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania bwaana, hivi Bibi Titi Mohamed waliyekuwa wanamuenzi leo wakina mama wa CCM ndie huyu upande wa pili wa shilingi?

    Tuweke historia yetu vema,leo kulikuwa na maadhimisho ya siku ya wanawake wa CCM UWT na kumuenzi Bibi Titi Mohamed,Lakini mzee mmoja tukitizama nae mbashara sherehe hizi amenipa stori tofauti kabisa ambayo sikuijua hapo kabla kwa kuwa hainenwi,ndipo nikaamua kuchimbua makaburi nikakutana na hii...
  7. JamiiForums Tanzania Matokeo ya CO mwaka wa pili yashikiliwa NACTE Tanzania nzima

    Taarifa rasmi ni kwamba matokeo ya mwaka wa pili ya udaktari CO yameshikiliwa NACTE kwa vyuo vyote vya afya baada ya kusemekana paper kuvuja Tanzania nzima pamoja na marking scheme kupelekea GPA kuwa juu mnoo! Yaaan madogo wangekuwa washachomoka! Maoni yangu serikali KWANZA ibaini chuo...
  8. JamiiForums Tanzania Unapotaka kuhama unatumia usafiri gani? na unaupata wapi? Ipo njia rahisi kama huwa unahangaika kutafuta gari ya mizigo yako

    Unapata shida kusafirisha mizigo, bidhaa, kwasababu hujui wapi unapata gari, hujui gharama za kusafirishia, au unapigwa na watu wa kati na hujui jinsi mambo yanavyofanyika? Kwanini upigwe kwa bei za ajabu? Kwanini usifanye mwenyewe? USIISHI KIZAMANI Mambo yamebadilika, kuanzia leo...
  9. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Burundi inajipendekeza mno kwa Tanzania, lakini Rwanda inajiimarisha yenyewe kwa Kujipambania hadi Kusifika Kimataifa?

    Na cha Kushangaza zaidi kama Burundi inabebwa kwakuwa iliathirika na 1994 Genocide kwa Ripoti za UN zinasema kwamba Rwanda ndiyo iliathirika sana tu ila yenyewe wala haijikombi wala haijipendekezi kwa Mataifa makubwa ya Ukanda wake. Naifananisha Burundi na Mtoto Mvivu na Mpumbavu pia anayependa...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania picked Africa's leading travel destination

    TANZANIA has been voted Africa’s leading destination in 2021 World Travel Awards (WTA), the listing announced yesterday with Serengeti named the continent’s top national park and Zanzibar the best beach destination. - The country has been nominated in 'Africa's leading destination' category...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema, achana na Siasa za kuongelea watu, na majungu jikite nini utaifanyia nchi hii ya Tanzania

    Godbless Lema ni mmoja ya wanasiasa mahiri, na uwa nampenda kwa misimamo yake, na hasa kipindi cha mwanzo alivyoingia Bungeni. Ila shida moja ambayo naona inazidi kukua na kutamalaki. Lema amekuwa muda mwingi anaongelea watu binafsi, si vibaya mara moja kujadili utendaji wa mtu katika majukumu...
  12. JamiiForums Tanzania Very soon, Tanzania is going to face political instability and great transformation

    Nayaona mabadiliko makubwa ya kidemokrasia nchini yatakayoambatana na vurugu zitakazosabsbishwa na watu waliochoka kunyanyaswa,kutishiwa, kubambikiwa kesi na kupigwa. Kuna vuguvugu kubwa linakuja siku za usoni, watu hawajakasirika bado lakini muda siyo mrefu watalazimika kukasirika. Hili...
  13. JamiiForums Tanzania Pata fremu za maduka popote pale ulipo

    Tutumie uzi huu kuweka picha za fremu za maduka yanayopangishwa sehemu yoyote ile,tutaje pia mikoa zilizopo pamoja na bei zake. Picha ni muhimu zaidi ili kuweza kumvutia muhitaji. Karibuni......
  14. JamiiForums Tanzania Mwenendo wa matukio ya ugaidi, upinzani na vyombo vya ulinzi Tanzania

    Sina tafsiri halisi ya GAIDI ya Tanzania ila TERRORISM /noun the killing of ordinary people for political purposes. UGAIDI/jina[nomino] ni kuua watu wasio na hata kwa mlengo wa Kinshasa. MAANA YA HATIA Hatia ni ile hali ya kuvunja sheria au kuwa na kosa kisheria. MAANA YA BILA...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mgawanyo wa Afrika Mashariki ya awali ulikuwa Tanzania Siasa, Kenya Viwanda na Uganda Elimu

    Ni ile Jumuiya ya Afrika mashariki iliyokufa mwaka 1977. Tanzania tuliaminiwa katika mambo ya siasa na porojo baada ya kupata Uhuru mezani bila ya mapambano. Kenya iliaminiwa katika eneo la uzalishaji na viwanda Uganda iliaminiwa katika eneo la Elimu Je, tumebadilika? Jumaa kareem!
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania haina uzoefu wa kuwa nchi ndiyo maana mambo mengi hayana 'consistence ya kitaifa'

    Kumradhi kwa kila mtu naomba nisionekane nimetukana ila huu ni mtazamo wangu tu. Kila kitu ni uzoefu. I mean kila kitu ili kifanyike kwa usahihi mkubwa panahitajika uzoefu. Hii ni law of nature in doing things. Watu wengi hulalamika kuhusu mwenendo wa Tanzania kisiasa, kielimu, nk. Watu...
  17. JamiiForums Tanzania TFF inajua sana 'kuidhalilisha' na 'kuisanifu' klabu moja kubwa na kongwe mno nchini Tanzania

    Kuna muda ilitoa Maamuzi (Taarifa) fulani kuwa Wao ndiyo wameongoza sijui kwa kujaza Watu Uwanjani na kama kawaida yao Washamba na Mashabiki zao 'Oya Oya' wengi 'Wakashangilia' Mwezi mzima utadhani ndiyo wamebeba Kombe la VPL. Hatimaye leo ndiyo TFF katika Utoaji wa Tuzo zake imeamua kuwafanyia...
  18. JamiiForums Tanzania Air Tanzania among entities that borrowed money without approval, says PAC

    Air Tanzania among entities that borrowed money without approval, says PAC THURSDAY OCTOBER 21 2021 Summary Another institution named by PAC is the Arusha International Conference Center (AICC). By The Citizen Reporter More by this Author Dodoma. Air Tanzania Company Limited (ATCL, is...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Tahadhari uhaba wa Wahadhiri vyuo vya elimu ya Juu Tanzania

    20 October 2021 Dar es Salaam. Vyuo vikuu vya ndani vinakabiliwa na upungufu wa wahadhiri wenye sifa, kwa mujibu wa wakuu wa vyuo. Siri hiyo imefichuliwa wakati wadau wa elimu wakieleza wasiwasi kuhusu ubora wa wahitimu hapa nchini. Akizungumza katika mkutano ulioikutanisha Serikali, makamu...
  20. JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania discloses their customer private data

    There are unquestionable scenarios that a leading Tanzania’s cellular network company, Vodacom (T) can easily hack and share customers' conversations without their consent. Voicemail, massaging and maybe video hacking is easily tracked by Vodacom and shared to third parties, contrary to...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…