tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania itakavyofaidika na mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazoshiriki Mkutano wa ishirini na sita wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi. Mkutano huu unafanyika katika Jijini la Glasgow nchini Uingereza kuanzia tarehe 31 Oktoba mpaka tarehe 12 Novemba 2021. kujadili athari...
  2. JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu Tanzania ipo 'compromised'?

    Ni wiki ya Mtandao wa Tigo Tanzania baada ya muajiriwa wake kitengo cha sheria kuwa mmoja wa mashahidi katika kesi ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA. Kampeni zimeanza kushika kasi kila kona kususia huduma za mtandao husika. Hili lina madhara...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ruvu Shooting ni Barcelona ya Bongo

    Kwa kweli Ruvu Shooting mlionyesha kiwango cha juu sana kimchezo katika mechi yenu na UTO ila tu bahati mbaya ile red card iliwatoa mchezoni. Na baada hapo ndipo UTO waka-take advantage ya number na matokeo ndio yakawa hivyo. Asanteni kwa kumbikiri Diara na sasa asubiri tu mimba za mapacha. I...
  4. JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania jitafakarini kwanini hamfuatiliwi mijadala yenu kama zamani

    Lipo tatizo tena kubwa mno kwenye Mhimili wetu wa Bunge la Tanzania. Binafsi,hadi mchana wa leo sikuwa natambua kwamba vikao vya Bunge vimeanza huko Dodoma na imani yangu ni Watanzania wengi ambao pia hawaelewi kuhusu vikao hivyo kama vimeanza. Sasa,kwa aina hiyo ya kupuuzwa lazima Bunge letu...
  5. JamiiForums Tanzania Hii huenda ndio hotuba bora ya Conference of Parties ( COP 26 ) na huenda ikaacha historia kwa miaka mingi, Mungu Ibariki Tanzania

    Hii huenda ndio ikawa hotuba bora ya Conference of Parties (COP 26 ) na huenda ikaacha historia kwa miaka mingi, Mungu Ibariki Tanzania === Baada ya jarida la Foreign Policy ( FP) ya Marekani kuitaja hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan ya Sept 23|2021 UN Gen Assembly kuwa ndio hotuba bora zaidi...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mkutano: Zijue faida za Tanzania kushiriki COP 26

    ZIJUE FAIDA ZA TANZANIA KUSHIRIKI COP 26 Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazoshiriki Mkutano wa ishirini na sita wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi. Mkutano huu unafanyika katika Jijini la Glasgow nchini Uingereza kuanzia tarehe 31 Oktoba mpaka...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania yapokea dozi 500,000 za Sinopharm kutoka Serikali ya China

    Serikali imepokea Dozi 500,000 za Chanjo aina ya Sinopharm kutoka Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China. Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima amesema mwamko wa Chanjo ni mkubwa na wananchi wanaendelea kujitokeza. Amesema, "Chanjo za Johnson & Johnson zimeisha tangu 19 Oktoba. Sasa tunaendelea...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania huenda tukapata Least Deleveloped Countries Fund ( LDCF ) kwenye US$100B za COP

    Agenda ya US$100B kwa nchi masikini baada ya Rais Samia kurejea nchini tutarajie chochote kutoka COP26? "Hakuna kama Samia " Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ni miongoni mwawajumbe 197 wa baraza la 26 la Uhifadhi wa Mazingira duniani yaani COP26 lililoketi kwa kipindi cha Siku 12...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna Sheria za kupambana na "Organised Crime"?

    Kila nikifuatailia kesi za aina hii naona Serikali inasema ni upatu ... Ilianza DECI... Ikaja Mr KuKu Sasa kuna wahanga wapya wa Vanilla Swali moja najiuliza kwanini hii "Organised Crime "..inaitwa Upatu?.. Na sheria zinazotumika ni zile za mwaka 47? Polisi na Wizara ya Sheria hawaoni hapa...
  10. JamiiForums Tanzania Ni nini faida ya vyama vya ushirika kwa wakulima Tanzania?

    Habari wakuu. Naomba kujua faida za vyama vya ushirika kwa wakulima hapa Tanzania.
  11. JamiiForums Tanzania Elimu yetu inajengwa kwa msingi wa lugha ya Kiswahili baadaye inachanganywa na lugha ya Kiingereza

    Elimu yetu inajengwa kwa msingi wa lugha ya Kiswahili baadaye inachanganywa na lugha ya Kiingereza. Wakuu naomba tusaidiane, hii sentensi inamaana gani? Yaani nikiwa naama kwamba wewe umeilewaje? Kama tunapenda maendeleo ya kiuchumi kupitia elimu yetu tunapaswa kufanya jambo katika elimu yetu...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa hapa Tanzania mwenye PhD ya ukweli aliyesomea akasota anatakiwa alipwe kiasi gani kama mshahara?

    Mimi napata tabu sana na wenye hizi shahada, Ninamaana ya kwamba Mtu ana PhD lakini anapambania kitu kidogo sana, hadi najiuliza huyu PhD yake kweli ni ya Ukweli na aliipambania kwenye tafiti na mengineyo ili aipate au ni feki, ni vile tu hawaja mkamata. Mara nyingi nimewaona wenye PhD...
  13. JamiiForums Tanzania Google Earth itasaidia kuishangaza dunia juu ya kazi za Rais Samia

    Mchakamchaka wa kujenga madarasa nchi nzima utaishangaza dunia kupitia Google Earth waki update image zao by January 2022. Nchi itakuwa imejaa mijengo tu nchi nzima. Huwezi amini Kuna shule naijua imepewa madarasa kumi kwa mpigo. Hakyanani mama unajua kucheza draft bila mbwembwe. Watu wengi...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Tanzania haiishi changamoto, NBAA sasa wameamua kuuza mitihani ya CPA

    Jana nilikuwa naongea na bwana mdogo anafanya mitihani ya wahasibu ya CPA mbayo inaanza jumanne. Bwana mdogo amefanya hii mitihani muda mrefu sasa jana namuuliza unamaliza lini mbona kila mara unarudia rudia, dogo akajitetea kwamba kutokana na shughuli zake huwa anakosa muda wa maandalizi vizuri...
  15. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Serikali ya Tanzania tunaombeni ufafanuzi kwanini EWURA haawajiri kupitia sekretarieti ya ajira kama TRA na TANESCO wanavyofanya?

    Habarini za wakati huu viongozi mbalimbali wa serikali, ndugu zangu, kaka zangu, baba zangu, marafiki zangu kwa ujumla. Siku ya leo nimekuja na swali muhimu sana. Swali langu nalielekeza EWURA. "Naombeni ufafanuzi kwanini EWURA haawajiri kwa kupitia sekretarieti ya ajira kama TRA na TANESCO...
  16. JamiiForums Tanzania Mwisho wa Mbowe kisiasa ni worst ever seen in Tanzania

    Mnataka kutuaminisha kuwa atasimama tena majukwaani na kudai kura ajili ya Chadema? Taifa hili ambalo hata kama halitamtia hatiani tayari halina imani naye tena litamsikikiza yeye na Chama chake? Kwa nini mlishindwa kusoma Pyschology ya watanzania na kuwatambua kuwa hawako tayari juu ya haya...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania kinara katika usalama wa chakula Afrika

    Ni jambo la heshima sana kwa nchi kufikia hatua hii. USALAMA wa CHAKULA ni suala linaloangaziwa duniani kote. Nichukue fursa hii kuipongeza serikali ya JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. KAZI IENDELEE. ===== Nairobi. African countries are becoming food-secure by lowering food prices, improving...
  18. JamiiForums Tanzania Nani kati ya Marais wa Tanzania angeibuka kidedea/mshindi kwa vigezo hivi?

    Tanzania ni moja Kati ya nchi chache barani Afrika ambazo zimeshafanikiwa kuwa na awamu tofauti tofauti za uongozi wa ngazi ya juu kabisa(URAISI) na ni miongoni mwa nchi chache kabisa ambazo hazijawahi kuwa na matukio makubwa yaumwagaji damu, vita vya wenyewe kwa wenyew na mapinduzi ya kijeshi...
  19. JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya yaimwagia sifa Tanzania. Yaahidi kuendelea kumwaga mapesa

    Umoja wa Ulaya imeisifia Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna inavyofanya mageuzi ya kiuchumi na kisiasa ikiwemo kuimarisha masuala ya haki za binadamu. EU imeahidi kuendelea kumwaga mapesa kwa miradi mbalimbali ya maendeleo kwa Tanzania. Hii tafsiri yake ni kuwa EU...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania imerudi nyuma miaka 50

    Tanzania ya leo kila maskini anavojaribu kupambana anarudishwa nyuma kwa ngumi na mateke. Leo hii vigezo vya kupata mkopo havieleweki, mtoto amesoma kayumba, kaenda sekondari ya kata, kaenda A level ya kata iliyopandishwa daraja. Kafaulu kwenda chuo, ananyimwa mkopo eti kwa sababu wazazi wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…