tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ligi kuu Tanzania Bara: Waliotangulia na baiskeli ya miti wanajifahamu, hata mwaka jana ilikuwa hivyo hivyo!!

    Hata mwaka jana walitangulia na baiskeli ya mbao na hawakufika popote!! Wakisikia gari kubwa huko nyuma linapiga lesi kiwewe tayari!!! Hiyo mliyosikia kilichompata Namungo ni lesi tu!!! Gari kubwa karibu lishaanza kuchanganya na hakuna namna ni suala la muda tu baiskeli ya miti lazima ipishe...
  2. JamiiForums Tanzania INAUZWA Ramani za kisasa zinauzwa Tanzania

    TUNACHORA RAMANI ZA NYUMBA ZA KISASA TANZANIA NZIMA KWA BEI NAFUU SANA WASILIANA NASI LEO KWA WHATSAPP +255 717 040 837/ 0767 267664 UANZE UJENZI.
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Makato ya PayPal Tanzania yakoje?

    Habarini!. Anayefahamu makato ya kuhamisha pesa kutoka paypal kwenda benk iliopo Tanzania anifahamishe please,
  4. JamiiForums Tanzania Dk. Mpango: Tanzania haijawahi kujitoa Mahakama ya Afrika

    Serikali ya Tanzania November4 2021 ilikanusha madai yalionezwa kuwa serikali ya Tanzania imejiondoa katika mahakama ya Afrika aya haki za Binadamu na Watu. Akizungumza katika Mdahalo wa Tano wa Mahakama ya Afrika, mkutano uliowakutanisha wadau wa sheria na mahakama kutoka nchi mbalimbali za...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Request for Proposal (RFP) for Conducting Preliminary Feasibility Study on Composting Plant at Dar Es Salaam in Tanzania

    An example of a composting plant to be built in Dar es Salaam and neighboring townships 1. Introduction Kibanga Vision Health Services Limited (KVHSL) is a private company registered in Tanzania since 2019. It now intends to implement Kibanga Organic Manure Plant (KOMP) Project. A...
  6. JamiiForums Tanzania Kila nikizunguka Tanzania naiona legacy ya hayati Magufuli ambayo haitafutika kirahisi

    Nikitembea kwenye barabara za lami ambazo alizisimamia kwa zaidi ya miaka 20 na kurahisisha usafiri hapa nchini naona hayati alilitendea jema taifa letu. Vipi kuhusu Mfugale Flyover na Kijazi interchange! Leo hii Kibaha mpaka Mbezi foleni ni story iliyosahaulika. Stand ya kisasa ya ya...
  7. JamiiForums Tanzania Nchi wanachama wa UN waishauri Tanzania kuondoa sheria kandamizi na tozo

    Nchi wanachaama wa Umoja wa Mataifa (UN) zimeishauri Tanzania kubadili sheria kandamizi ikiwemo Sheria ya Ndoa ambapo wametaka umri wa mtu kuingia kwenye ndoa uanzie miaka 18 kama ilivyo mataifa mengine. Kuondoa adhabu ya kifo na kuwa na adhabu mbadala, pia kuruhusu Haki ya Kusanyika ili kukuza...
  8. JamiiForums Tanzania The Financial Times laipigia debe Tanzania kwenye Utali, nini kimetokea?

    Financial Times gazeti maarufu duniani linalosomwa na watu milioni 26 kwa mwezi kwa mara ya kwanza nimeona likianza kuisemea vizuri Tanzania baada ya kutuchafua sana miaka mitano iliyopita hasa kuhusu hali yetu ya Uchumi, Kwahatua hii Tanzania tumepiga bao sana hasa kwenye sekta ya Utalii...
  9. JamiiForums Tanzania How Chumbe -Zanzibar baffling tourists " The Finincial Times " aggrandizing Tanzania tourism | Viva Samia Viva

    The effects of H. E. Samia Suluhu Hassan Royal Tour has started rapidly showing an extraordinary impacts on tourism sector and tourists attractions all over the country, The World biggest Newspaper " Finicial Times " has started aggrandizing our tourism sector all over the world and...
  10. JamiiForums Tanzania Tuna hadhi na uchumi wa kati?

    Vikao vya bunge vinaendelea mjini Dodoma na miongoni mwa maswali ya leo, ni swali linalohusu Tanzania kuingia kwenye uchumi wa Kati kwa kutumia vigezo mbalimbali vya kidunia. Swali (Money Maker): Tuna idadi ya watu takribani milioni 56 wenye madaraja tofauti ya uchumi, katika idadi hiyo kuna...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kwa nini ma ISP wa Tanzania hawatoi SLA kwa wateja wao

    Ina kuwaje una chukua alama za videlo, majina yangu, anuwani ya ninapoishi wakati huo huo mdawote unajua nikowapi nafanya nini alafu mimi kama mteja nini ninacho pata? Kibaya zaidi nikwamba Hizo tarifa unazo zichukua wala huniambi utazitumiaje zaidi yakuniambia nikwajili ya usalama wangu mhh...
  12. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tanzania ina mabilionea 5740, mabilionea 115 wanamiliki 28% ya utajiri wote wa mabilionea

    Vikao vya bunge vinaendelea mjini Dodoma na miongoni mwa maswali ya leo, ni swali linalohusu mabilionea waliopo Tanzania kwenda kwa wizara ya fedha. Swali(Rashid Shangazi): Tuna idadi ya watu takribani milioni 55 wenye madaraja tofauti ya uchumi, katika idadi hiyo kuna mabilionea wangapi...
  13. JamiiForums Tanzania Sioi Solomon awaburuza Mahakamani, ICBC Standard Bank, Stanbic Bank Tanzania Ltd, Waziri wa Fedha na Mwanasheria Mkuu

  14. JamiiForums Tanzania Customer Privacy: JF itaheshimika daima Vs tiGO Tanzania

    Sizungumzii ukubwa wa kipato, wala silinganishi wingi wa wateja, nazungumzia suala la kulinda Privacy ya Mteja wako! JamiiForums kwa kupitia Mkurugenzi wake Maxence Melo walikua tayari kufungwa jela na alishawekwa mahabusu ila SIO kutii AGIZO fake na kutoa taarifa za Wateja wake. Tigo Tanzania...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kule Tanzania wafukua Kaburi la Albino na Kutokomea na Mguu Mmoja wa Kulia

    Majirani mtaacha lini haya mambo, halafu dunia yote yapo kwenu tu, nyie pekee yenu ndio wenye sifa hizi za kusaka viungo vya albino. ========= Jeshi la Polisi mkoani Tanga, linawashikilia watu watatu wa familia moja kwa madai ya kufukua mwili wa kijana mwenye ualibino, Heri Kijangwa (45)...
  16. JamiiForums Tanzania Patents right ambazo zimeshatolewa au bado zipo hai Tanzania

    Wakuu habari zenu, Nauliza kua ni wapi naweza pata orodha ya patents rights ambazo zimeshatolewa bongo mpaka siku ya leo. Nawasilisha
  17. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania watu huhusisha paka, bundi na fisi na uchawi tofauti na Ulaya?

    Kwanini Tanzania watu wengi huhusisha viumbe mfano wa paka, bundi na fisi na uchawi? Ulaya viumbe hawa ni marafiki wa karibu sana wa binadamu. Naomba jibu.
  18. JamiiForums Tanzania Ukiwa Tanzania vijiweni Utasikia wazungu walituletea dini ili kutudanganya

    Ukiwa Tanzania vijiweni Utasikia wazungu walituletea dini ili kutudanganya๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ Angalia haka katoto kakizungu. Kama hujaokoka hapa utaabika tu.
  19. JamiiForums Tanzania Sera ya faragha MIC Tanzania Public Limited Company - tiGo

    Tumebishana sana kuhusu alichokifanya bwana yule kule kwa pilato tuangalie sera ya faragha ya kampuni inasemaje kuhusu kutunza siri za wateja pitia hiyo sera halafu tujadiri kama sera ndio mbovu au yeye bwana wakili kakosea au hakufuata utaratibu wa kutoa data za mteja . MIC TANZANIA PUBLIC...
  20. JamiiForums Tanzania Haki ya Kusahaulika, itambulike Tanzania

    Baada ya mjadala uliozuka kutokana na shahidi wa kesi ya Mbowe, nikalazimika kuipitia sheria inayolinda faragha za watu kwa nchi za Ulaya ambayo ni GDPR nikakutana na Haki ya Kusahaulika. Haki hii inampa nguvu mteja kuwaambia watoa huduma wafute taarifa zake zote kwenye serves zao, ili mambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ