tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. G

    JamiiForums Tanzania Misafara ya viongozi ni hasara kwa taifa maskini kama Tanzania

    Niko maeneo ya mwenge DSM magari yamesimamishwa karibu saa nzima kisa Rais Samia anapita na msafara wake wa magari karibu 100. Fikiria shughuli ngapi za watu kujitafutia mkate zinasimama, msafara wa magari utadhani kuna vita yote hayo yakitumia kodi za kibabe tunazotozwa ni. Kwanini usitumike...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ni lini Tanzania itapata Rais, Makamu na Waziri Mkuu wenye mtizamo na mawazo ya kibiashara?

    Tanzania inashindwa kuendelea kwa sababu ya kuweka madarakani viongozi wenye damu ya Utumishi wa umma na kushindwa kuweka mchanganyiko wa Watumishi wa umma na wafanyabiashara. Ntatoa mfano kwa awamu zote sita zilizowahi kuwepo kwenye utawala Historia ya Mwalimu alikuwa Mtumishi wa Umma kwenda...
  3. JamiiForums Tanzania Kumaliza/kupunguza tatizo la maji safi Tanzania

    Wote tunafaham kuwa kumekuwa na changamoto ya maji safi ambayo pamoja na juhudi kubwa za Serikali inachukua muda kupata suluhu kwani kila wakipunguza eneo moja kuna eneo lingine linaongezeka kwa upungufu Tatizo 1. Visima/chemchem nyingi zimekauka/zinaendelea kukauka 2. Kuchimba kisima kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Ni muda sasa wa kubadilisha jina la timu ya Taifa na kuipa nembo

    Timu yetu ya Tanzania ambayo inajumuisha Bara na Visiwani.... Feitoto inapitia kipindi kigumu sana. Ukiangalia karibu nchi nyingi za Afrika timu zao zina majina ya tofauti. Mfano Rwanda ama Msumbiji kuna Amavubi na Mamba. Sisi huku ni Taifa Stars... hakuna hata nembo inayowakilisha nchi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mliosoma Political Science / Public Administration hivi Kitaalam huu Mtindo uliopo Dunia ya Leo unaitwaje?

    Kuteua waliokataliwa Kiutendaji na aliyekuwa Bosi wako na Kuwaondoa katika Utendaji wale walioaminiwa Kiutendaji na Bosi wako. Sasa naanza Kuamini kuwa ukifanya Kazi na Mtu mahala ( ofisi ) fulani si vizuri sana Kumuamini kwani huenda hata Maadui zako wakapitia Kwake na Kukuangusha na hata...
  6. JamiiForums Tanzania EAC Tanzania kinara kuvutia Wa-USA

    Kuna watu wanapenda kudharau watu toka Mataifa yaliyoendelea kama Marekani na mengineyo kwa kuwaita eti wao ni "Mabeberu " kitu ambacho sichema kwa ustawi wa nchi na kwanchi zinazotuletea biashara na ajira kama hizi kuwaita "Mabeberu " japo hii sio hoja yangu wacha twende kwenye hoja...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ghana, Tanzania, Ethiopia and 30 others are on the World Bank's heavily indebted poor countries' list

    The heavily indebted poor countries' list is a joint initiative by the World Bank and the International Monetary Fund. The aim of the initiative is to ensure that no poor country in the world ever faces a debt burden it cannot manage. Out of 36 countries on the list, African countries dominate...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mambo kumi yaliyotikisa kesi ya Jamhuri v Mbowe haya hapa

    Katika kesi ya shujaa wa siasa za Tanzania yapo mambo kumi yanayosisimua nakuonyesha aina ya binadamu tunaokutana nao misikitini na makanisani walivyo na roho za kikatili, ntaeleza kwa mfumo wa count down 1. Kielelezo kinatoka store ya Mahakama kinafika kwa wakili wa serikali na Kisha kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Dr. Meneja wa Makampuni: Tatizo la elimu ya Tanzania sio kukariri bali ni ugumu wa lugha inayotumika bila kuwekewa msingi mzuri katika lugha hiyo

    Tatizo la elimu ya Tanzania sio kukariri bali ni ugumu wa lugha inayotumika bila kuwekewa msingi mzuri katika lugha hiyo. Kila kitu huja kwa kukariri lol. Bila kukariri huwezi kuelewa. Bila kukariri huwezi kujua kusoma na kuandika, bila kukariri huwezi kushika verbs, bila kukariri huwezi...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza Africa kwa unywaji wa pombe nyuma ya mataifa tajiri ya Ulaya

    Top Consuming Country by Alcohol Type Consumption/Capita Czech Republic Beer 6.77L France Wine 6.44L Cook Islands Spirits 7.07L Tanzania Others 6.60L The importance of local crops couldn’t be overstated. Regions like Africa and Asia that struggle with the right conditions for grapes or...
  11. JamiiForums Tanzania Climate Change: Nchi za Kiafrika, hususan Tanzania tuwe waangalifu na njama pana zaidi

    Katika kuongea na wenzetu wana siasa Ulaya na Marekani, ni muhimu kutazama tatizo lolote kwa uwigo mpana zaidi. Wakati wa utumwa , waafrika walichukuliwa kuwa kama wanyama wa kazi, kama punda na farasi. Ulaya na Marekani walipo ingia Industrial revolution ,sasa nguvu kazi iliyotumika kwa miaka...
  12. JamiiForums Tanzania Review: Tanzania kutofaidi kwa madini na gesi asilia Tatizo ni nchi sio kampuni za nje

    Baada ya kuisoma kwa uzuri tafiti iliyofanywa na wataalamu wa mafuta na gesi Afika, Polus, A na Tycholiz, W nimekuja na review ya kile ambaco kipo kwenye kazi waliyoifanya mwaka 2019 ikiaangazia uwanja wa madini na gesi asilia nchini Tanzania huku wakionesha namna ambayo nchi inapoteza mbali na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wakongo (Congo DR) wametudharau sana Wabongo (Tanzania) Jana haki ya nani

    Kocha wa Taifa Stars Kim Paulsen amekisuka Kikosi chake kwa Siku 8 mfululizo, huku Kocha Hector Couper ameungana na Wachezaji wake Juzi Usiku tu na Jana wametufunga Kishalubela (Kikatili) Magoli 3 kwa 0 kwa Mkapa tena mbele ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Waandamizi wengine wa Serikali...
  14. JamiiForums Tanzania Electronic Banking Officer at Tanzania Commercial Bank

    Tanzania Commercial Bank is a Bank that provides competitive financial services to our customers and creates value for our stakeholders through innovative products. Tanzania Commercial Bank is a Bank, whose vision is “to be the leading bank in Tanzania in the provision of affordable, accessible...
  15. JamiiForums Tanzania Driver at SOS Children’s Villages Tanzania - 3 Posts

    SOS Children’s Villages Tanzania is a local non-government organization affiliated to SOS Children’s Villages International, a worldwide child care and protection organization that provides orphaned and destitute children with a permanent home and educational opportunities. Established 60 years...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia ahitimisha ziara yake Misri leo na anarejea na Air Tanzania

    Nimeangalia muda huu live coverage mama yetu mpendwa Samia Suluhu Hassan amehitimisha ziara yake nchini Misri. Kilichonifurahisha kumbe this time mama amekwenda na air Tanzania, angalau hii mindege ifanye kazi zilizokusudiwa badala ya kupaki tu pale kipawa. Ni hayo tu.
  17. JamiiForums Tanzania Pumzika kwa amani Emsley "Baba T" Smith

    Emsley "Baba T" Smith Picha: Ukurasa wake wa Facebook Miaka kadhaa iliyopita nilipata fursa ya kuonana na Baba T pale East Africa Radio. Tulishikana mikono. Alikuwa ni pande la mtu, na kiganja changu kilimezwa mkononi mwake. Nilikuwa mtembeaji tu na kijana mdogo niliyependa kusikiliza Reggae na...
  18. JamiiForums Tanzania Kinachoiponza Tanzania kwenye michezo ni "DUA TU"

    Narudia tena, Tanzania kwenda kombe la dunia labda kwa viti maalumu lakini sio kupambana ili kupata nafasi. Inashangaza sana kuona kila mtu anategemea dua na kudra za mwenyezi Mungu!!!. Hivi huyu Mungu atasaidia timu gani? Au huyu Mungu yeye ni timu gani? Wazungu wangekuwa na akili kama hizi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania The effective informative channel in Tanzania ni JF ambapo mtu anaandika bila unafiki

    JF ni ukumbi ambao mtu anaandika dhamira halisi ya moyo wake bila unafiki. Tuitumie JF kuwaambia watawala yanayotukera. Tuandike sana wasome, wajue yanayokera, wananchi tunahitaji nini etc etc.
  20. JamiiForums Tanzania Kipindi cha Jambo Tanzania cha TBC kimepoteza mvuto

    Wadau habari za usiku !! Mbali na mabadiliko waliyo fanya TBC bado kituo hicho kinakosa vipindi vyenye mvuto kabisaa pamoja na watangazaji pia hawana bashasha na haiba. TBC wana kipindi kinaitwa Jambo Tanzania (Good morning Tanzania) hiki kipindi hivi karibun kimekuwa kina endeshwa kiajabu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…