tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. W

    JamiiForums Tanzania Shirika la ndege Tanzania -ATCL limezindua safari kutoka Dar es Salaam kwenda Nairobi nchini Kenya ambapo ndege za Air Tanzania zitasafiri mara mbili

    Shirika la ndege Tanzania -ATCL limezindua safari kutoka Dar es Salaam kwenda Nairobi nchini Kenya ambapo ndege za Air Tanzania zitasafiri mara mbili kwa siku kuanzia leo Ijumaa tarehe 26 Novemba, 202. #TanzaniaImara💪🏿#TupoVizuri #KaziIendelee🇹🇿
  2. JamiiForums Tanzania Wanajeshi (JWTZ) Wasaidie kufundisha maadili na Uzalendo Majeshi mengine ya Tanzania

    Salaam Wakuu, 1. Kipindi cha Kikwete, Wanasiasa walipelekwa JKT kujifunza Uzalendo na Maadili. Hii napendekeza iendelee kwa Mawaziri, Wakurugenzi, Makatibu wakuu, Wakuu wa Wilaya na Mikoa. 2. Polisi, Usalama wa Taifa na Askari wa amani, Waende JWTZ kujifunza kwanini Wanaogopwa lakini JWTZ ni...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anasema Uchumi wa Tanzania umekuwa sana na Watanzania sasa wana hela nyingi na Miradi mikubwa ipo na mingine inakamilika

    Kumbe Watanzania wakiwa katika Mgawo wa Umeme, Maji ya shida, Tozo za kila aina Kuongezeka na Mfumuko wa Bei na hata wa Bidhaa nao Kukua, Ajira kutopatikana, Benki zikitoa Mikopo kwa Riba Kubwa na Kiwango cha 'the haves' and 'the haves not' nchini Tanzania kikiongezeka kwa Kasi ndiyo tafsiri...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania huenda ikatuchukua karne nzima kumpata Rais Samia mwingine

    Kama Taifa hebu tutafakari haya: 1. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayeweza kuongeza kwa mkupuo wanafunzi wapya elfu 29 kwenye HESLB,Simnakumbuka mtangulizi wake yeye ilimchukua miaka mitano ili kufikisha wanafunzi wapya elfu 32 kwenye HESLB, 2. Ni lini...
  5. JamiiForums Tanzania Ufugaji wa wadudu kama chakula cha mifugo na binadamu kilimo kilichokosa nafasi Tanzania

    Licha ya Nchi ya Tanzania kuwa katika ukanda wenye hali ya hewa inayoruhusu uwepo na ukuaji wa viumbe wengi wakiwemo wadudu na mimea bado uwekezaji kwenye kilimo cha ufugaji wa wadudu lishe unaonekana kuwa wa chini sana ukilinganisha na nchi nyingine Duniani. Tanzania inaonekana kuwa nyuma sana...
  6. JamiiForums Tanzania BoT - Mkutano wa 20 wa Taasisi za fedha Tanzania 25th & 26th November 2021

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Tupate muelekeo wa uchumi toka kwa Govana, Wizara na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania
  7. JamiiForums Tanzania Miradi yote inayolisha Tanzania ilianzishwa na Nyerere kweli au si kweli?

    Nisaidieni majibu ya hili swali la kweli au sikweli? Nilikua kwenye test ya maarifa ya jamii nikakutana na hilo swali. Miradi yote inayolisha Tanzania ilianzishwa na Nyerere kweli au si kweli?
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo uchumi unakua kwa kasi. Tumepunguza kiwango cha umasikini

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ni miongoni mwa Nchi 10 za Afrika ambazo Uchumi unakua kwa kasi. Pia, imekuwa na utulivu wa Mfumuko wa Bei na Thamani ya Fedha. Ameeleza, "Tumeona viashiria vya Maendeleo kwenye Maendeleo ya mtu. Tumeweza kupunguza kiwango cha umasikini...
  9. JamiiForums Tanzania Live from The Grand Hyatt, Kilimanjaro Kempinsky- TotalEnergies Marketing Tanzania, Yazindua, Pure Lubricant, ni Funga Kazi!. Karibu Ushuhudie Live!

    Paskali
  10. JamiiForums Tanzania Armed Robbery sasa ina dhamana Tanzania

    Kwa wale wanasheria wenzangu, mnakumbuka kesi ya Dickson Paulo Sanga, Rufaa ya madai Na.175 ya 2020 Mahakama ya Rufaa (DSM) ilitoa miezi 18 sheria kubadilishwa kwa ujambazi wa kutumia silaha ili iwe na dhamana, miezi hiyo 18 imeisha November, 2021, endapo kwa kipindi hicho sheria itakuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Ujerumani kuwa na Serikali mseto, vyama vyote yakubaliana Scholz kuwa Kansela, Tanzania bado hizi ni hadithi miaka 60 yaenda ya uhuru

    Chemba ndogo ya bunge au "Lower House" ya Ujerumani imepitisha kwa pamoja uamuzi wa kumfanya bwana Olaf Scholz kuwa Kansela mpya wa Ujerumani. Vyama vya SPD cha Scholz, Green na FDP kwa pamoja leo asubuhi hii vimemuidhinisha bwana Olaf Scholz kuwa kansela mpya na kuondpoa uhafidhina wa chama...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania yaishawishi UNESCO kukienzi na kukieneza Kiswahili Duniani

    Mkutano Mkuu wa 41 wa UNESCO umeipitisha tarehe 7 Julai ya kila mwaka kuwa Siku ya Kiswahili Duniani, azimio hilo limepitishwa na Nchi zote Wanachama wa UNESCO bila kupingwa leo November 23, 2021, Paris nchini Ufaransa. MY TAKE; Kenya msije mkasema hatukuwaambia kwamba Tanzania tukiamua Jambo...
  13. JamiiForums Tanzania Biden invited 110 Countries - Summit for Democracy, Tanzania mpya haimo!

    Summit for Democracy: Invited Participants Albania Angola Antigua and Barbuda Argentina Armenia Australia Austria Bahamas Barbados Belgium Belize Botswana Brazil Bulgaria Cabo Verde Canada Chile Colombia Costa Rica Croatia Cyprus Czech Republic Democratic Republic of Congo Denmark Dominica...
  14. JamiiForums Tanzania Tuangalie hizi video mbili fupi tujifunze juu ya busara ya kuiongoza Tanzania yetu

    Ndugu wanabodi hapa chini nimeweka video mbili fupi sana za hotuba za marais wetu wapendwa wawili wa nyakati tofauti ambapo ndani ya hotuba hizo kuna jambo kubwa la kujifunza juu ya busara ya uongozi. Hotuba hizi mbili ni darasa zuri sana la uongozi.Tukizingatia kwa vitendo kinachosemwa humo...
  15. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ndiye mpigania haki maarufu zaidi barani Afrika kwa sasa

    Gwiji la siasa za Mageuzi Nchini Tanzania Freeman Mbowe, ama Mtemi Isike, Laingwanan au Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar, sasa anatajwa kama ndiye mpigania haki, demokrasia na uhuru anayeheshimika zaidi barani Africa, wachunguzi wa siasa za dunia wanamuweka Mbowe juu...
  16. JamiiForums Tanzania Uanaharakati umefeli Tanzania

    Wanabodi, Wengi wana uelewa kwamba katika nchi inayo minya haki, katika serikali inayo didimiza uhuru wa kujieleza, katika serikali inayo ingilia vyombo vya habari, uanaharakati ni njia muhimu katika kuhakikisha kwamba serikali inawajibika kwa maamuzi yote yanayofanywa. Katika kipindi hiki...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania ups stake for East African skies

    Air Tanzania ups stake for East African skies Air Tanzania is set to step up competition in the East African skies with the launch of flights on the Dar es Salaam-Nairobi route from November 26, and plans for Bujumbura later in the month. The airline’s first flight to Nairobi from Julius...
  18. JamiiForums Tanzania Napinga GSM kuingia mkataba na NBC ili kuendesha ligi kuu ya soka Tanzania

    Hawa ni wadhamini wa Yanga na kiukweli ndio wamiliki wa Yanga, sasa hii habari kwamba wanaingia mkataba na NBC wa Ushirikiano wa kuendesha ligi kuu ni pigo kubwa sana kwa timu zingine. Hii ni kwa sababu hawa GSM ni wafia Yanga ambao wako tayari kufanya lolote ili kuibeba Yanga, hawa kwa namna...
  19. JamiiForums Tanzania Je, Mbowe kausaliti Upinzani Tanzania ?

    Jukwaa Huru ! Binafsi siamini kabisa kwamba Mbowe ana kesi yoyote ile, hii yote kwa maoni yangu ni geresha tu na siajabu hata Mbowe analala kwake na siyo Mahabusu. Kwa nini nasema hivi ? Iweje Mbowe awe na kesi na yuko Mahabusu kwa miezi sasa halafu kila mtu yuko kimya? I mean Askofu Shoo...
  20. JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo stand up comedians wangu bora kwa sasa Tanzania

    Wasafi TV na programu yao ya cheka tu wamefanya mapinduzi makubwa sana kwenye Stand Up comedy Tanzania. Wamezalisha vizazi vipya. Kwa sasa hawa ndiyo comedians wangu bora kabisa. 1. Mc Madevu 2. Mc Eliud 3. Halleluya 4. Asma 5. Leonardo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…