tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Je, IPSOS Tanzania bado wapo?

    Wadau kwema? Nawasalimu ktk jina la JMT. Nauliza hivi hawa jamaa IPSOS bado wapo nchini hapa hususani Jijin Dar es Salaam. Hawa jamaa zamani walikuwa wanafanya research za issues mbalimbali walikuwa wana toa temporary jobs (researcher assistant) Wenye kufahamu anijushe, na je wapo...
  2. JamiiForums Tanzania Point of sale solutions to fit your business - Tanzania

    Because every business is different, Franklin BMS has a variety of POS options to help you take yours where you want it to go. Whether you run a restaurant, sell retail goods, book appointments, or just need a versatile POS for whatever comes next, we have the point-of-sale software that will...
  3. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Gharama ya Kufunga Mfumo wa VAR, Tanzania bado sana hatuwezi

    VAR SYSTEM 1. Gharama zake ni kiasi gani? Kusimika mtambo wa VAR inagharimu £4.6M sawa na 14.5B Tsh. 2. Inaendeshwa chini ya chombo gani? VAR Huendeshwa chini ya IFAB International Football Association Board) (Bodi ya kimataifa ya shirikisho la soka) 3. Mtu Yeyote anaweza Oparate? *Hapana...
  4. JamiiForums Tanzania A wedding in Tanzania

  5. M

    JamiiForums Tanzania Mtaturu: Gharama za ATCL ndani ya Tanzania ni kubwa kuliko zile za Dubai

    Mbunge Miraji Mataturu alia na bei za ATCL === Mbunge wa Singida Mashariki (CCM), Miraji Mtaturu ameitaka Serikali kutafuta suluhisho la bei kubwa ya usafiri katika ndege za Shirika la Ndege Nchini (ATCL) ambapo amezifananisha gharama hizo na gharama za kwenda Dubai. Mtaturu ameyasema hayo...
  6. JamiiForums Tanzania Propaganda ni mbaya sana, imepotosha Watanzania

    Niende Moja kwa Moja kwenye lengo. Tangu 2007 baada ya Serikali kuanguka kutokana na matokeo ya tume huru iliyoongozwa na kaka yangu Mwakyembe, watanzania waliaminishwa Lowasa ni mbaya sana. Ikafikia hata baadhi ya matamko kutoka kwenye vinywa vya watoto wa viongozi wa kipindi hicho...
  7. JamiiForums Tanzania Anuani ya Tanzania Intelligence and Security Service (TISS), Nahitaji nitume barua

    Ndugu wanajamvi, msaada tafadhari anayefahamu anuani au barua pepe ya ofisi ya TISS, Nimepewa task ya kiofisi nitume barua ya kwenda ofisi TISS makao makuu Au ni njia gani nyingine naweza kuitumia kutuma barua au kuweza kufika ofisini kwao? Naombeni msaada tafadhali.
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania inaweza kuanza kuzalisha ndege za watu wachache

    Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimesema kipo hatua za mwisho za majadiliano na kampuni ya Skyleader yenye makao makuu nchini Czech ili waje kuwekeza nchini Tanzania. Skyleader ni kampuni inayotengeneza ndege ndogo za wazi ambazo huwa na siti moja hadi mbili. Kampuni hiyo inaweza kuanza...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania records trade surpluses in both EAC and SADC

    Tanzanian President Samia Suluhu Hassan and Kenya President Uhuru Kenyatta during the Kenya-Tanzania Business forum at Serena Hotel, Nairobi, on May 5, 2021. FILE PHOTO | NMG By LUKE ANAMI Tanzania’s trade surplus across the East African Community region rose to $484.5 million in 2020, from...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa Mpira katika Redio za Tanzania tutaanza Kuwadharau sasa, Goli la Yanga SC lilikuwa halali kwa Uzembe wa Kipa

    Mimi ni Shabiki wa Simba SC ila kwa Upuuzi wenu huu wa Kuchambua Kiuwoga au Kimahaba au kwa Bahasha Kunawaharibia na wenye Akili, tusio Wanafiki na wapenda Haki sasa tutaanza Kuwadharau na hata Kutosikiliza hivyo Vipindi vyenu vya Michezo vya Redio. Halafu nyie Wachambuzi wa Michezo katika...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuanza kuzalisha chanjo zake za COVID-19

    Rais Samia amesema Tanzania ina mpango wa kuanzisha kiwanda cha kutengeneza chanjo za UVIKO-19 ikiwa ni juhudi za kupambana na janga hilo pamoja na magonjwa mengine. Rais Samia amesema hayo wakati akifanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Ulaya, Bw. Charles Michel, jijini Brussels nchini...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania namba 4 kwa uzuri duniani(4th beautiful country in the world).

    Ripoti iliyotolewa inaonesha Tz ni namba 4 kwa uzuri duniani. Nchi ya kwanza ni Indonesia, ikifuatiwa na New Zealand, Colombia na Mexico. Kenya wameingia kumi bora pia kwa kushika namba 6. https://nairobinews.nation.co.ke/kenya-ranked-sixth-beautiful-country-in-the-world/
  13. JamiiForums Tanzania UTAFITI: Wanaopata COVID-19 Tanzania wana umri chini ya miaka 61

    Utafiti wa kwanza kuripoti sifa zawaliougua Ugonjwa wa Virusi vya Korona(UVIKO-19) pamoja na matokeao ya tiba walizopatiwa nchini Tanzania umebaini kuwa takribani robo tatu ya wagonjwa wote ni wenye umri chini au sawa na miaka 60. Matokeo ya utafiti huo yamechapishwa Januari 6 mwaka huu katika...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Suicide in Tanzania

    A recent stark increase in suicide rates in Tanzania highlights a growing mental health crisis plaguing the society as young people experience bouts of toxic emotions that lead them to take their own lives, experts have warned. Suicide mortality rates among people aged 15 to 29 have increased...
  15. JamiiForums Tanzania Aibu, Vijiji vya Maluwi na Tingida Kilosa havina Umeme tangu Tanzania tupate Uhuru

    Habri za Mchana Wakuu, Majuzi nilipokuwa safarini katika vijiji vya Maluwi na Tindiga vilivyopo wilayani Kilosa mkaoni Morogoro nilkuta jambo ambalo sikutegemea kulikuta. Ni kwamba tangu tupate uhuru, vijiji hivyo havijawahi kupata umeme. Nimekuta rundo la nguzo za umeme zikiwa zimemwagwa...
  16. JamiiForums Tanzania Marketing & Customer Relation Officer at Tanzania Mentors Action (TMA)

    Marketing & Customer Relation Officer Tanzania Mentors Action (TMA) is the local non-governmental organizations (NGO’s) registered under the Ministry of Health Community Development, Gender Elderly and Children (MOHCDGEC) with registration number ooNGO/R2/000156. TMA goal is to improve...
  17. JamiiForums Tanzania Programmer (2 positions) at Tanzania Mentors Action (TMA)

    System Programmer Tanzania Mentors Action (TMA) is the local non-governmental organizations (NGO’s) registered under the Ministry of Health Community Development, Gender Elderly and Children (MOHCDGEC) with registration number ooNGO/R2/000156. TMA goal is to improve community life through...
  18. JamiiForums Tanzania Accountant (1 position) at Tanzania Mentors Action (TMA)

    Tanzania Mentors Action (TMA) Tanzania Mentors Action (TMA) is the local non-governmental organizations (NGO’s) registered under the Ministry of Health Community Development, Gender Elderly and Children (MOHCDGEC) with registration number ooNGO/R2/000156. TMA goal is to improve community life...
  19. JamiiForums Tanzania Environment Specialist (1 position) at Tanzania Mentors Action (TMA)

    Environment Specialist (1 position) Tanzania Mentors Action (TMA) is the local non-governmental organizations (NGO’s) registered under the Ministry of Health Community Development, Gender Elderly and Children (MOHCDGEC) with registration number ooNGO/R2/000156. TMA goal is to improve community...
  20. JamiiForums Tanzania Monitoring, Evaluation and Learning Officer (1 position) at Tanzania Mentors Action (TMA)

    Monitoring, Evaluation and Learning Officer (1 position) Tanzania Mentors Action (TMA) is the local non-governmental organizations (NGO’s) registered under the Ministry of Health Community Development, Gender Elderly and Children (MOHCDGEC) with registration number ooNGO/R2/000156. TMA goal is...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…