tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaipa Tanzania mkopo wa Tsh Trilioni 1.5

    Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam TANZANIA na Benki ya Dunia zimetiliana saini mikataba miwili ya mkopo wenye masharti nafuu wenye thamani ya dola za Marekani milioni 650 sawa na shilingi trilioni 1.5 za kitanzania kwa ajili ya kugharamia utekelezaji wa mradi wa kuboresha elimu ya msingi (BOOST)...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Can Tanzania develop without educational reform and proper land management?

    In Africa we have educated people since colonial era till to date, Tanzania Got its independent since 1961, to date its 70 years plus. despite having educated people both studied in Africa and abroad, we are still struggling economically and politically. we has mentality that we can develop...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata mawasiliano ya Makerere University au Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda?

    Habari zenu wakuu. Hizi taasisi mbili nimeshatumia njia za email kuwafikia naona hawajibu. Sijui ubusy au email zimekuwa nyingi sasa naomba aliye na mawasiliano ya pale au ubalozi anisaidie
  4. I

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa Tanzania wawezeshwe vipi kununua matrekta kwa ajili ya kilimo cha kisasa?

    Wakuu, siku hizi naona kuna makampuni mengi Tanzania yanajitangaza kuuza matrekta. Je sisi wakulima wadogo tutanunuaje hayo matrekta ili kufanya kilimo cha kisasa wakati mtaji wetu ni mdogo. NB: Trekta ndogo ni takribani Milioni 20 za kitanzania kwa nilivyoulizia.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kunionesha Tanzania chama cha siasa kinachoweza kupigania uhuru wa kiuchumi na kufanya mapinduzi ya kiuchumi?

    Naandika kwa uchungu sana, vyama vyote kwa wakati huu havina maono wala ajenda ya kuisimamia, wanachama wake na viongozi wake, wamejaa unafiki na uwongo wa hali ya juu, nadhani ifike mahari tuwe na mgombea au wagombea binafsi katika nyanja mbali mbali za kisiasa, kijamii, na kiuchumi. Msaada...
  6. L

    JamiiForums Tanzania China itaendelea kuwa fursa muhimu ya diplomasia ya uchumi kwa Tanzania

    Fadhili Mpunji Hivi karibuni balozi wa Tanzania nchini China Balozi Mbelwa Kairuki alipohojiwa kwenye kipindi cha Dakika 45 cha kituo cha televisheni cha ITV, alifafanua vizuri kuhusu fursa inazotoa China kwa Tanzania, iwe ni katika sekta ya viwanda, kilimo, biashara na hata uwekezaji. Baadhi...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Joram Johan Paulo msanii wetu wa Tanzania anayekaribia kuuteka ulimwenguni wa muziki

    JJ Paulo - Type ( Directed by Sara Jordan) Source : JJ Paulo Joram Johan Paulo is known under the artist name JJ Paulo and is from Tanzania. Most popular songs; Most recently played songs : JJ Paulo - Type and JJ Paulo - Sawa Wale ( Official Music Filmed in Bujora, Tanzania) Joram Johan...
  8. JamiiForums Tanzania Ipo haja kwa Serikali kuja na mkakati mahsusi wa kuwawezesha matajiri wa Tanzania

    Kwa miaka kadhaa nimekuwa nikisafiri njia ya Arusha-Dar na huku nimeshuhudia mabasi maarufu kutoka Mkoa wa Tanga kwenda maeneo mbalimbali nchini hususani Dar. Basi maarufu la "SIMBA MTOTO" limeweza kusurvive regimens kadhaa za uongozi wa kisiasa ikimaanisha hawa ni moja ya legends katika...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania nafasi ya pili kwa usalama wa mtandaoni, nafasi ya 6 kwa gharama nafuu Afrika

    Tanzania imeshika nafasi ya Pili kati ya nchi 43 za Barani Afrika zilizoshiriki kwenye dodoso kuhusu Usalama Mtandaoni, lililoandaliwa na Global Cybersecurity Index (GCI). Pia, kati ya Nchi 155 Ulimwenguni, Tanzania inashika nafasi ya 21 kwa unafuu wa gharama za kununua GB 1. Aidha, Tanzania...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Bajeti inayosomwa bungeni ni bajeti ya Tanzania au ya Tanganyika?

    1. Kwanini hii bajeti inajumuisha wizara zote za muungano na zisizo za muungano? 2. Bajeti inayoishia 2021/2022, trilioni 39 Zanzibar imechangia kiasi gani kwenye makusanyo? 3. Hii misaada na mikopo kuna formula ya mgao kati ya Tanzania bara na Zanzibar Ila sijaona formula ya kulipa mikopo hii...
  11. JamiiForums Tanzania Why the EPA is not beneficial to Tanzania

    Nadhani kwa leo tuishi humu 👇🏽 WHY THE EPA IS NOT BENEFICIAL TO TANZANIA This article was published in The Daily News of Tanzania on 28 July 2016. In the article, the former Tanzanian President presents his views on why the Economic Partnership Agreement (which the European Union has been...
  12. X

    JamiiForums Tanzania Google adsense, search engine optimization and seo trick for beginner in Tanzania

    Wadau nimeona mada nyingi zilianzishwa kwenye jukwaa hili zikihusisha google adsense ila wadau walioanzisha mada hizo hawakuongelea kwa upana kuhusu google adsense pamoja na dependencies zake: kwenye uzi huu naomba mdau kama una shauku ya kuijua vizuri google adsense basi kaa mkao wa kula...
  13. JamiiForums Tanzania Misaada inayotolewa na Ulaya inapaswa kugawanywa 'pasu kwa pasu' baina ya nchi mbili zilizo katika Muungano

    Serikali ya Tanzania imepata msaada wa Euro Milioni 425 (Tsh. Trilioni 1.15) kutoka Kamishineni ya Umoja wa Ulaya (EC) kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo, Rais wa Kamisheni hiyo ametangaza kiasi hicho cha msaada baada ya kukutana na Rais Samia ambaye yuko ziarani nchini...
  14. JamiiForums Tanzania Orodha Rasmi ya watu wanaopitia Maisha magumu nchini Tanzania

    Wakuu Kwema! Ifuatavyo ni orodha Rasmi ya Watu wanaopitia Maisha Magumu katika nchi yetu ya Tanzania. 1. Single Mother. Moja ya kundi linalopitia maisha magumu hapa nchini Tanzania ni Dada zetu waliopata watoto kabla ya kuolewa. Ugumu wa maisha yao unatokana na mtazamo wa jamii dhidi Yao, pia...
  15. JamiiForums Tanzania Embolization Tanzania inafanyika wapi na ni bei gani.

    Nahisi nina testicle varicocele (mishipa ya korodani kuvimba) sija fanyiwa uchunguzi bado lakini kwa asilimia nyingi nahisi ndio hiyo. Nauliza hospital ipi nzuri kwa ajili ya kupima na matibabu yake ni sh. Ngapi?
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania yapata msaada wa Tsh. Trilioni 1.15 kutoka Ulaya

    Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (EC) imetoa Msaada wa Euro Miliono 425 (Tsh. Trilioni 1.15) kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya Maendeleo Fedha zilizotolewa zinatarajiwa kutumika katika miradi mbalimbali ya maendeleo kwa kipindi miaka mitatu ijayo na Serikali imeainisha kutumia Tsh...
  17. JamiiForums Tanzania Wachungaji/Maaskofu/Manabii 10 matajiri sana Tanzania

    1. Josephat Mwingira Utajiri wake unakadiriwa kufikia Tsh bilioni 20 Anamiliki Mashamba zaidi ya hekari 20,000 huko Katavi Kiwanda cha maji Kibaha Mashule Na bank Nyumba yake inakadiriwa kuwa na thamani ya tsh 2.5bilion 2. Geo Darvie Anamiliki magari ya kifahari Nyumba ya thamani ya 1.8 bilion...
  18. JamiiForums Tanzania Sababu za Kisayansi kwanini Tundu Lissu alikuja Tanzania kugombea Urais mwaka 2020

    It was a part of his healing process. Alikuwa ana fanya therapy ya kuiponya nafsi Na akili yake Kwa trauma ya tukio la Septemba 7.(Eidha Kwa kujua au Kwa kutokujua) Kwa kutaja madudu yote ya serikali ya awamu ya Tano, kutamka hadharani Nani aliye toa amri ashambuliwe Kwa risasi, Lissu...
  19. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe wachezaji wa Mtibwa ambayo ilitwaa Ubingwa wa Tanzania Bara mwaka 2000

    Huu uzi ni kwa wakongwe tu, wadogo zetu njooni mle maarifa Mimi naanza na Alphonse Modest, endelea na wewe
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania haitakuwa Nchi ya kwanza Duniani kwa Viongozi ku-sacrifice mambo kadhaa kwa ajili ya manufaa ya Taifa na Wananchi wake

    Tanzania Haitakuwa Nchi ya Kwanza Hapa Duniani kwa Viongozi Ku Sacrifice Mambo Kadhaa Kadhaa kwa Ajili ya Manufaa Mapana ya Taifa na Mwananchi Wake. 1. Kambarage alipokubali na kuwashawishi wenzake kukubali kura tatu mwaka 1958 njia ya kuelekea kupata uhuru ilianza kuwa nyepesi. 2. De Clerk...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…