tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Chuo Cha Kwanza Cha Vinyozi Tanzania

    Nimeona Kuna Chuo Kipya Cha Vinyozi Tanzania,Kipo Dar es Salaam, Kinondoni.
  2. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tanzania yakubali Masharti ya Commonwealth kuleta Wachunguzi Huru wa Matukio ya Uchaguzi 2025

    Ikumbukwe awali serikali ya Tanzania ilikataa kuupokea ujumbe wa Chakwera. Masharti waliyopewa na Mkutano wa Commonwealth uliopita 71, Dec 5, 2025. ============...
  3. JamiiForums Tanzania Balozi CC Kaganda akutana na Balozi wa Ethiopia kujadili ushirikiano kati ya Tanzania na Ethiopia

    Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Kamishna wa Polisi (CP) Mhe. Suzan Kaganda, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ethiopia nchini Zimbabwe, Mhe. Rashid Mohammed Abdulwahid, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Ethiopia. Katika...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania John Heche: Hakuna sheria inayozuia mtu kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ndani ya Tanzania. Ni Udikteta.

    Nchi hii hakuna sheria wala utaratibu wa polisi kupangia mtu aende wapi, au asiende wapi.. Polisi Tanzania hawana mamlaka kisheria wala kikatiba kuingilia uhuru wa watu kwenda wanapotaka wao wenyewe.. Polisi Nchi nzima wameweka barriers wanakamata viongozi na wanachama wa Bawacha waliokua...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania ndiyo nchi rahisi zaidi duniani kwa mgeni kuishi kienyeji bila vibali na asichukuliwe hatua yoyote?

    Nimefuatilia sana mienendo ya nchi yetu na nikagundua jambo la kusikitisha: Tanzania imekuwa kama 'shamba la bibi'. Yaani ni nchi pekee ambayo mgeni anaweza kuingia kama mtalii, akapanga nyumba, akafungua kijibiashara au kuanza kazi za 'consultancy', na akaishi miaka mitano bila kuguswa na...
  6. JamiiForums Tanzania Wanaodaiwa kumteka mwanaharakati wa Tanzania wafikishwa mahakamani Nairobi

    Nairobi. Dereva raia wa Kenya, Nelson Wanjohi Kirika mkazi wa Kenya anayeishi nchini Afrika Kusini Edward Mwangi Mwai na Aziz Hama raia wa Tanzania, leo Machi 6 wamefikishwa mahakamani jijini Nairobi kwa tuhuma za kumteka nyara Mtanzania, Mshabaha Mshabaha Hamza na kumsababishia majeraha mabaya...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa Uranium inayopatikana Tanzania: Nashauri tuanzishe mradi wa Magari yanayotumia NYUKLIA

    Kama Meli kubwa la Kimarekani USS Gerald R. Ford (CVN -78) badala ya Disel ai Petroli linatumia Nyuklia kama mafuta na linauwezo wa kukaa baharini miaka 20 hadi 25 bila kukuishiwa power. Sisi tunajivunia rasilimali hii adhimu ya Uranium. Na shauri sasa ni wakati wanasayansi wetu wa COET, DIT...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Tanzania hili hapa

  9. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Afrika yatupilia mbali shauri la kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2020

    Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imetoa uamuzi wake uliosubiriwa kwa muda mrefu kuhusu shauri lililopinga uhalali wa uchaguzi mkuu wa Tanzania wa mwaka 2020. Katika hukumu yake, mahakama hiyo imetupilia mbali kesi hiyo kwa kukosa mashiko ya kisheria na ushahidi thabiti. Wapinga...
  10. JamiiForums Tanzania SI KWELI Je ni kweli Rais wa Marekani aionya Tanzania isiwajaribu?

    Kuna hii taarifa inasema Rais wa Marekani aionya Tanzania isiwajaribu? Je ni taarifa ni kweli au
  11. JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Iran na Israel: Media za Tanzania kaeni kimya tu

    MUUNGWANA AKIVULIWA NGUO HUCHUTAMA. Tukubali tukatae ila Tanzania tuna media za kipuuzi kuwahi kutokea, sio Clouds, IPP Media, mwananchi ila Media za Tanzania kwa 90% ni utumbo kabsa. Mwaka uliopita, wakati Tanzania ikipitia kipindi kigumu cha mvutano wa kisiasa baada ya uchaguzi, taarifa...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatuma salamu za Rambirambi kwa kifo cha aliyekuwa kiongozi wa Iran, Khamenei

    Mahmoud Thabit Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, ametembelea Ubalozi wa Iran nchini Tanzania kutoa salamu za pole kufuatia kifo cha Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei, aliyefariki tarehe 28 Februari 2026. Khamenei, aliyeiongoza Iran kwa miongo...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Ni aibu na fedheha kwa Tanzania kuwekwa kundi moja la kihalifu na nchi za Myanmar na Afghanistan

    EU statement to UN. Regarding the situations in Afghanistan, Myanmar, the Occupied Palestinian Territory, South Sudan, and Sudan, the EU is concerned with the widespread human right violations in Tanzania. CCM ndiyo iliyotufikisha hapa kwa kung'ang'ania madaraka na kukumbatia magenge ya...
  14. JamiiForums Tanzania Maombi ya Tanzania na Uganda kuondolewa uanachama Jumuiya ya madola yawasilishwa Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG)

    Kampuni ya sheria ya kimataifa Amsterdam & Partners LLP, inayoongozwa na Wakili Robert Amsterdam, imewasilisha maombi rasmi kwa Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) kutaka serikali za Tanzania na Uganda kuondolewa a mara moja kutoka Jumuiya ya Madola. Sababu kuu zilizotolewa ni; 1...
  15. JamiiForums Tanzania Chama cha madaktari Tanzania kipige marufuku wasio madaktari kutumia sare zao

    Siku hizi naona heshima ya madaktari kama inakwenda kushuka na kuchukuliwa poa poa tu. Hawa watu kiukweli inabidi tuwaheshimu na kuheshimu sana taaluma yao na inabidi pawe na mipaka maana siku hizi imekuwa too much. Siku hizi unakuta mpaka kuna ma dancer nao utambulisho wao wanavaa makoti ya...
  16. JamiiForums Tanzania Bei ya Mafuta yapanda katika bandari zote kuanzia Machi 4, 2026

    Watumiaji wa bidhaa za mafuta Tanzania wataendelea kuugulia maumivu ya ongezeko la bei baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) kutangaza bei kikomo zitakazotumika Machi mwaka huu. Katika bei hizo, watumiaji wa mafuta ya dizeli wameshuhudia ongezeko la bei zaidi ikilinganishwa na...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Uchawa wa wanahabari: Mbona hakuna anayeuliza kuna Meli ngapi zilizopewa bendera ya Tanzania?

    Uchawa wa wanahabari: Mbona hakuna anayeuliza kuna Meli ngapi zilizopewa bendera ya Tanzania? Soma Kwanini kusiwe na Shirika la Meli la Muungano ili kuepuka usajili wa kiholela? Meli zinaandikishwa huko Zanzibar halafu zinaenda kutumika kwa kubeba magendo na madawa. Tuwaulize ni meli ngapi...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo Apokea rasmi nakala ya Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Kenya nchini Tanzania

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amepokea rasmi nakala ya Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Kenya nchini Tanzania, Mhe. Catherine Karemu, Machi 3, 2026. Mhe. Kombo amempongeza Balozi Karemu kwa uteuzi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mikoa inayoongoza kwa kutoa wasomi wengi Tanzania

    1. Arusha - Ni mkoa wenye historia kubwa ya kutoa shule nyingi zinazoongoza kitaifa, watalii wengi wakifika Tanzania wamezoea kutoa misaada mingi Arusha ikiwemo ya kielimu, pia kuna shule nyingi International ambazo wanafunzi huenda kusoma vyuo vikubwa vya ulaya na Marekani. 2. Kilimanjaro -...
  20. JamiiForums Tanzania Huko Umoja wa Mataifa Tanzania ni Wasindikizaji tu

    Nimefuatilia kura nyingi za Umoja wa mataifa, kwa asilimia kama 80 ya kura zote, Tanzania huwa ni "abstention" tu, yaani hawapingi wala hawakubali; wapo wapo tu! Hata kura ya busara ya kuunga mkono amani huko Ukraine wao wanasema, hatuna la kusema.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…