tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Job Opportunities at CMS Tanzania Limited, April 2022

    CMS (Tanzania) Limited is a highly respected mineral exploration drilling company with operations in Tanzania. An industry leader in safety with ambitious growth strategies, we are seeking applications for a dedicated and professional Supply Chain Manager East Africa who would like to join our...
  2. JamiiForums Tanzania Uber yasitisha huduma zake Tanzania, yazitaja nauli elekezi Latra kama sababu. Itarejea kanuni zikibadilishwa

    Wakuu, Usiku huu Uber wametuma ujumbe unaosomeka hivi: 👇🏾 Huduma ambayo ilianza kama wazo tu — la kutumia simu yako kupata usafiri ndani ya dakika chache— Mfumo wa Uber umeenea duniani kote na zaidi ya safari milioni 15 hufanyika kila siku kupitia kwenye mfumo huu. Imekuwa ni heshima kubwa...
  3. JamiiForums Tanzania Filamu ya Royal Tour Ingezinduliwa Tanzania Badala ya Marekani kuepuka gharama

    Tunaambiwa kwamba filamu ya Royal Tour yenye kupromote Utalii imegharimu Shilingi za Kitanzania Bilioni tisa. (9). Leo tunaambiwa Rais ana safari ya kikazi yeye na delegation yake marekani na moja wapo ya mambo atayoyafanya ni kuzindua filamu ya Roya Tour. Kwakua hizo kazi nyingine atazofanya...
  4. JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) ndani ya robo tatu ya mwaka 2022

    Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimeweza kupata mafanikio makubwa katika robo tatu ya mwaka inayoanzia Januari mpaka Machi, 2022 kutokana na ongezeko la usajili wa miradi na kuimarika kwa shughuli za uratibu na utoaji wa huduma kwa wawekezaji kupitia utoaji wa huduma mahala pamoja ndani ya...
  5. JamiiForums Tanzania Upi Mkakati wa Tanzania kutengeneza Ownership ya Parachichi kwa kuanza kuzibrand kama product ya Tanzania?

    Mbunge wa Jimbo la Makete, Mhe Festo Sanga amehoji Bungeni leo kuhusu Soko la Parachichi. Namnukuu: "Soko la Parachichi Duniani linasomeka parachichi zinazalishwa Nchi jirani ya Kenya, ili hali Parachichi asilimia zaidi ya 50 zinazotoka Ukanda huu wa Africa Mashariki zinatoka Tanzania...
  6. JamiiForums Tanzania Nchi zipi ambazo kwa passport ya Tanzania unaingia bila viza?

    Wana Jf nilisikia taarifa kuwa kuna nchi 68 ambazo ukiwa na passport ya Tanzania unaingia bila viza ila sijapata orodha ni zipi? Mwenye orodha aweke hapa nataka niuze vi asset vyangu vyote niangalie ka nchi kenye afadhali nikaanze maisha mengine,maana nchi inamilikiwa na mtu mmoja tu na genge...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania tuna akiba gani nyingine ya kutusaidia tukipatwa na majanga Zaidi ya akiba ya chakula na akiba ya fedha za kigeni?

    Tanzania 🇹🇿 kama taifa tumekuwa tukijivunia kupanda kwa akiba yetu ya fedha za kigeni na pia tumekuwa tukijivunia kiasi kikubwa cha chakula tulicho nacho kwenye maghala ya kuhifadhi nafaka. Sijawahi kusikia tukisifia kiasi cha akiba cha mafuta ya nishati ambacho serikali inacho. Tunajua kwamba...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 bila Tanzania Institute Hospital, niliyoyasikia, kuyaona na kusimuliwa na miaka 9 bila gwiji wa moyo nchini Dr. Masau

    Tarehe 12 mwezi Aprili mwaka 2012 ukiwa usiku wa manene mithili ya mwizi anayevamia nyumba fulani ili kutimiza hadhima yake, hakika ilikuwa ni siku mbaya iliyoleta machungu makubwa sana kwa waliokuwa wafanyakazi wa Taasisi ya magonjwa moyo (THI) kupoteza ajira zao na vitu vyao binafsi baada ya...
  9. JamiiForums Tanzania Jambo pekee nitakalojifunza Vita ya UKRAINE na URUSI linaendana na funzo la viongozi wa TANZANIA kwa wananchi pia kwa majirani zako we msoma uzi

    Vita ya UKRAINE na URUSI imetawala katika vyombo kadhaa vya habari!! Nina Funzo kubwa kwamba USIJIWEKE WAZI KWA KILA JAMBO, KWANINI? Urusi kutokuwa wazi sana na taarifa zake sahihi kutojulikana Kwa Magharibi Kumesababisha asiingiliwe mipango yake mapema , kwasasa hakuna hasa anayejua Kama...
  10. JamiiForums Tanzania Mawaziri kuwekwa kitimoto na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Abdulrahman Kinana amesema hivi karibuni Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kitafanya kikao kitakachowakutanisha mawaziri wote ili kujadili mstakabali wa nchi hasa kuhusiana na suala la mfumko wa bei katika bidhaa mbalimbali hapa nchini...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mbunge wa Tanzania, Gwajima huwa namuona kituko ila kwenye hili ana mantiki

    Tangu ile video yake ya ngono ivuje aliyokua anatikisa mauno nimekua nikimuona wa hovyo sana, ila kwenye ujumbe wa hii video yake, katiririka hoja zenye mashiko, anaeleza kile ambacho kimewakwamisha Watanzania kwamba kila rais anakuja na maono yake na mambo yake, hamna maono au dira ya taifa...
  12. JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna Mbunge hajui kama kuna dira ya Taifa ya Maendeleo 2025? Tulikosea 2020, tujisahihishe 2025

    Inashangaza, inasikitisha, inakera, inaumiza, inahuzunisha, Ikiwa Mbunge wa kuchaguliwa hajui kama nchi tuna dira ya Taifa ya Maendeleo 2025, Je mbunge huyu anajua kuwa kuna Ilani ya chama? aliombaje kura kwa Wananchi kama hajui chochote? je anajua yuko bungeni kwa kazi? akiwa kama Mwenyekiti...
  13. JamiiForums Tanzania Maintenance Planner at CMS Tanzania Limited (2 Positions)

    CMS (Tanzania) Limited is a highly respected mineral exploration drilling company with operations in Tanzania. An industry leader in safety with ambitious growth strategies, we are seeking applications for a dedicated and professional Supply Chain Manager East Africa who would like to join our...
  14. JamiiForums Tanzania Kampuni za ukaguzi wa magari zilizopigwa marufuku Kenya zaomba tenda Tanzania

    Imebainika kuwa kampuni mbili zilizopigwa marufuku kufanya kazi Nchini Kenya ni miongoni mwa kampuni nne zilizoomba zabuni ya kukagua magari katika bandari ya Dar es Salaam. Tangazo la zabuni lililopo kwenye tovuti ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linaonyesha kuwa hadi kufikia Aprili 4...
  15. JamiiForums Tanzania Maji ya kunywa ya Afya yanatishia soko la Maji ya Kilimanjaro huko Kaskazini mwa Tanzania

    Maji ya kunywa ya Kilimanjaro lita 1.5 inauzwa sh. 1,000 mpaka sh. 1,200 kutokana na upandaji wa bei ya bidhaa mbalimbali. Maji ya Afya sasa yameingia rasmi kaskazini mwa Tanzania ambapo lita 1.5 utaipata kwa sh. 600 mpaka 700 huku lita 1 ikipatika kwa sh. 500/= Ukiwa na sh. 500 kwa kampuni ya...
  16. JamiiForums Tanzania Hali ya Uchumi na kupanda kwa bei, Waziri Kijaji asema Bei za bidhaa za ndani ni himilivu. Waziri Mwigulu aahidi kupunguza bei mafuta ya kula na gari

    Mawaziri wawili wako ukumbi wa mikutano wa hazina, Dar es Salaam kubwa likiwa hali ya uchumi na kupanda kwa bei za bidhaa. Yupo waziri wa uwekezaji, Dkt. Asha Kijaji na waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba. Zifuatazo ni nukuu muhimu Dkt. Kijaji: Niliagiza mamlaka zinazosimamia mwenendo wa soko la...
  17. JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani akutana na Mbowe, asema upinzani imara ni afya ya demokrasia

    Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Donald J. Wright, leo Aprili 11, 2022 amepost picha akiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Freeman Mbowe kisha akaandika: “Ni jambo zuri kukutana na Freeman Mbowe asubuhi ya leo. Upinzani mahiri wa kisiasa ni jambo jema kwa afya ya...
  18. JamiiForums Tanzania Tuwanyambue viongozi wetu mbalimbali na utendaji wao uliotukuka kwa taifa letu Tanzania

    Naanza na Mwl. Julius kambarage Nyerere, Rais wa kwanza kwa Tanzania yetu. * Aliupigania Uhuru wetu * Alituunganisha watanzania kuwa kitu kimoja na kuwa na lugha moja (kiswahili). * Alishawishi muungano wetu kati ya bara na visiwani (muungano adhimu na imara) * Alitetea vyema ardhi YETU...
  19. JamiiForums Tanzania Ni mbunge Mpina pekee anayetumia ubunge wake ipasavyo, wabunge mliobaki naomba tujikumbushe majukumu ya Bunge la Tanzania

    Bunge la Tanzania ni baraza la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linalotunga sheria na kuisimamia serikali katika utekelezaji wa majukumu yake. Majukumu ya Bunge yametamkwa katika Ibara ya 63 (2) ya Katiba ya Nchi, kwa maneno yafuatayo: “Sehemu ya pili ya Bunge itakuwa ndicho chombo kikuu cha...
  20. W

    JamiiForums Tanzania World Bank: Tanzania bado ipo uchumi wa kati

    Ndugu zangu, Katika pitapita kwenye magazeti hii habari kuhusu Tanzania. Je,kwa Tanzania kuwa hadhi ya juu kiuchumi kuna misaada tunakosa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…