tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kufuzu AFCON-2023: Tanzania yapwangwa Kundi F pamoja na Uganda, Algeria, Niger

    Je Tanzania ataweza kufuzu mbele ya miamba hii. Group F Algeria Uganda Niger Tanzania === Group A: Nigeria, Sierra Leone, Guinea-Bissau, Sao Tome e Principe or Mauritius Group B: Burkina Faso, Cape Verde, Togo, Eswatini Group C: Cameroon, Kenya, Namibia, Burundi Group D: Egypt, Guinea...
  2. JamiiForums Tanzania Helkopta ya ajabu yaonekana Tanzania.

    Kwa mara ya kwanza nimeshuhudia Helkopta ya kisasa katika nchi yangu. Hii ni hatua kubwa sana.
  3. JamiiForums Tanzania Makubwa yamkuta Miss Tanzania

    Ni yule mwenye kijungu matata. Yaelezwa kuwa hajatulia. Inasemekana amekuwa anajivunia uzuri wake. Makubwa sana yamemkuta Jionee mwenyewe
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania among four countries to benefit from European Union (EU) funding targeting Mining Sector

    Tanzania is among four countries that will benefit from an European Union fund of 174 million rand targeting the mining sector. The funding was directed to the 79-member Organisation of African, Caribbean and Pacific States, OACPS, but only four members were selected.
  5. JamiiForums Tanzania New York: Uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour Tanzania - Starring Samia Suluhu Hassan, President of The United Republic of Tanzania

    Wanabodi, Niko standby hapa katika ukumbi wa Jumba Mashuhuri la Makumbusho liitwalo Guggenheim , jijini New York kuwaletea live uzinduzi wa filamu ya Royal Tour unaofanywa na Rais Samia. Ujio wangu hapa New York ni kufuatia ushauri huu Hongera Rais Samia, Kwenda US, Kuhutubia UN, Safari ya...
  6. J

    JamiiForums Tanzania CCM: Taarifa Kuhusu ROYAL TOUR 2022

    Taarifa ya CCM Kuhusu Uzinduzi Royal Tour Jumatatu, April 18, 2022 #ChamaImara #KaziIendelee
  7. JamiiForums Tanzania Rais ya wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania

    Rasi Samia Suluhu Hassan
  8. H

    JamiiForums Tanzania Kwa nchi ya Tanzania Mkuu wa nchi anapotutoka kunakuwa na ratiba nyingi sana

    Nchi yetu ina makao makuu mawili, ina nchi mbili,ina mkoa anapotoka rais,ina nyumbani kabisa anapotoka mkuu.Sasa unakuta huku kote kunatakiwa kuwe na ratiba na pilika nyingi ambazo zinakula muda na gharama nyingi sana. Msiba ni mkubwa shughuli zote za serikali zinasimama karibu wiki nzima...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jambojet yaruhusiwa safari za ndani ya Tanzania, huku Taifa gas ikiruhusiwa kufungua kiwanda Kenya

    Tunakwenda vizuri hadi hapo. Hakuna majungu ila tu makubaliano ya kibiashara, hamna cha kuchomeana vifaranga ======== Tanzania and Kenya have hammered out a bilateral trade deal cutting across the aviation and energy sectors, enabling growth of the Common Market. In the new deal, Kenyan...
  10. JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani havina nia ya kuikomboa Tanzania tutafute mgombea binafsi

    Vyama vya upinzani havina nia ya kuikomboa Tanzania tutafute mgombea binafsi. Nimekaa nimewaza juu ya mwenendo wa siasa za taifa letu. Nikirejea kwa hawa wenzetu chama tawala jinsi wanavyoenenda. Ni dhahiri inaonyesha hawana muda mrefu wataachia hili taifa mikononi mwa chama kingine. Sasa...
  11. JamiiForums Tanzania Hii ni vita ya kiuchumi kwa Tanzania, niwakati sasa watanzania kufanya counter attack

    Mimi sijawahi fika Zanzibar ila kwa suala lilipofikia hawa wanaijeria hii sasa sio suala la Werere beach bali ni vita ya kiuchumi kwa Tanzania, Cyber war ni vita kama vita nyingine, niwakati sasa watanzania kwa umoja wetu kuwashambulia huko Twitter hawa wanaijeria ambao wengi wao ni wasanii...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania yaula OACPS

  13. JamiiForums Tanzania Huyu mrembo kwasasa namuelewa sana, Tanzania kuna wanawake wazuri jamani

    jamani kama ni uzuri huyu binti amejaaliwa, kuanzia shape, sura mpaka rangi. Tutajenga kweli kwa mtindo huu? Yuko wapi yule aliyesema Tanzania hakuna watoto wazuri?
  14. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz: Tuzo za Tanzania zilikufa kwa sababu yangu, nilinyimwa Watanzania wakakasirika sana

    Mwanamuziki wa, Diamond Platnumz Akiwa Kwenye Interview na Kituo cha #BBCSwahili Jijini London Ametaja Sababu Ya Yeye Kutoshiriki Kwenye Tuzo Za Muziki Nchini. "Namshukuru Waziri Wa Sanaa Michezo Na Tamaduni Tulipata Wasaa Wakuongea Kabla Ya Tuzo Kufanyika Na Nilimueleza Maoni Yangu Na Cha...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Nyerere alifanya nini kwenye ardhi ya Tanzania?

    Kuna siri gani kwenye ardhi ya Tanzania kwamba wanasiasa wa nchi za nje wakija kujiungamanisha nayo (wakilelewa Tz) wakirudi kwao wanaukwaa urais? 1. Samora Machel alipotoka Tz kurudi kwao akawa rais. 2. Chisano alipotoka Tz kurudi kwao akawa rais. 3. Filipe Nyusi alipotoka Tz kurudi kwao...
  16. JamiiForums Tanzania Standard Chartered kufunza shughuli zake Zimbabwe, kupunguza huduma Tanzania

    BENKI YA STANDARD CHATERED KUFUNGWA ZIMBABWE,INAPUNGUZA HUDUMA TANZANIA. LONDON, Uingereza - Benki kongwe zaidi ya Zimbabwe ya Standard Chartered imefunga shughuli zake nchini Zimbabwe na nchi nyingine sita za Afrika na Mashariki ya Kati kama inataka kuboresha faida kwa kupunguza mwelekeo wake...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Wakati mgumu kwa taifa la Tanzania

    Kuna wakati taifa letu lilipitia uvuli na mabonde ya kifo. Hebu fikilia ndani ya ardhi ya Tanzania ilifikia mahali mtu akiota ndoto akiieleza mbele ya umma ikiwa kinyume na watawala unashikwa na kushitakiwa na mapolisi. Hivi kweli tulifikia hatua ya kuzuia watu wasiote ndoto? Je ni sheria ipi...
  18. JamiiForums Tanzania The secret of Samia Suluhu Hassan’s extraordinary success: her understanding of the distinctive features of Tanzania politics

    SAMIA may not always have been the most popular Tz politician,but she always maintained high public trust. Many features give political leaders legitimacy in citizens' eyes: competence, care, trustworthiness. Academic research and opinion polls show that SAMIA has always scored very highly on...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Standard Chartered Bank kufunga operation zake Tanzania

    Kuna hii habari kwamba Standard Chartered Bank wanataka kufungasha vilago ikoje? Kama ni kweli, Juzi kati tuliambiwa, mama kayafufua mabenki hili halijafufuka?. NB; Standard Chartered Bank ni banker wangu
  20. U

    JamiiForums Tanzania Swali Kutoka Kwa Mdau...JE Chemical Alistahili Kupata Tuzo ya Rapper Bora wa Kike Tanzania Mbele ya Rosa Ree?

    Nani Zaidi? Rosa Ree or Chemical
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…