tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Mfahamu Rais Samia Suluhu Hassan na dira yake ya maendeleo

    Nchi ya Tanzania imekuwa ikiongozwa na chama cha CCM katika kipindi kisichopungua miaka 50,Tanzania hii imepiga hatua za kimaendeleo kwa vipindi kutofauti kutoka kwa rais mmoja kwenda kwa rais mwengine katika vipindi vya miaka mitano yenye vipindi viwili kwa kila mmoja huku sera zikiwa ni kutoka...
  2. JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Afrika Mashariki inakua kadri Miaka inavyosonga. Je, Tanzania na Watanzania wananufaika?

    Wakuu salaam, Kadri siku zinavyozidi kwenda Jumuiya ya Aftika Mashiriki inazidi kukua kwa kuongezeka nchi Mwananchama. Kihistoria Jumuiya ya Afrika Mashariki ilizaliwa mnamo mwaka 1967 ikiwa na nchi tatu. Soma: kama inavyooneshwa katika ramani hapa chini. Picha: Ramani ikionesha nchi tatu...
  3. JamiiForums Tanzania Watanzania waandamana katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani

    Baadhi ya Watanzania wamejitokeza nje ya Ubalozi wa Tanzania Nchini #Marekani na kufanya maandamano wakiwasilisha madai mbalimbali. Baadhi ya madai yao waliyoandika kwenye mabango yao ni Mabadiliko ya Katiba, kuachiwa huru kwa Wakili Peter Madeleka pamoja na kufukuzwa Bungeni Wabunge 19...
  4. JamiiForums Tanzania Maandamano ya Watanzania nchini Marekani wakati wa ziara ya Rais Samia; Je, suala la Katiba Mpya ni muhimu kwa Taifa letu la Tanzania!?

    MAANDAMANO YA WATANZANIA NCHINI MAREKANI;JE SUALA LA KATIBA MPYA NI MUHIMU KWA TAIFA LETU LA TANZANIA!? Leo 12:15pm 24/04/2022 Leo tumeamka na video,picha za maandamano ya Watanzania diaspora,katika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani,wakiwakilisha madai mbalimbali ikiwemo ya mabadiliko ya...
  5. JamiiForums Tanzania TRA Kuanza Kuzitoza Kodi, Facebook, Instagram na Whatsapp

    TRA leo wamafanya mazungumzo na wawakikishi wa Mitandao hiyo ya kijamii kuona namna Mitandao hiyo inaweza kulipa kodi kutokana na hiduma wanazotumia wananchi. ===== DARESSALAAM: Timu ya Wataalam wa Kampuni ya meta inayomiliki mitandao ya @facebookapp instagram pamoja na Whatsapp leo 21...
  6. JamiiForums Tanzania Tunajidanganya. Tanzania hatuna ligi Bora

    Ukitaka kujua tanzania tuna ligi ya hovyo angalia huu msinamo kuanzia timu ya tatu kwenye msinamo hadi ya mwisho zimepishana point kumi na moja tu. Kama Simba anandoto za kuwa bingwa licha ya gepu la point alizoachwa na yanga basi hata mbeya kwanza anaweza kumaliza msimu akiwa nafasi ya tatu...
  7. JamiiForums Tanzania Utafiti Tanzania: Mimba milioni moja zisizotarajiwa utungwa kwa mwaka, 39% huharibiwa

    Licha ya sheria kukataza utoaji mimba, vitendo hivyo hufanyika na mara nyingi kwa njia zisizo salama. Pamoja na kwamba takwimu zinaonesha tatizo la vifo vya uzazi linapungua, bado kuna baadhi ya mambo yanachangia liendelee kuwepo ikiwemo suala la utoaji mimba usio salama ambao unachangia tatizo...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania "Shamba la bibi" hadi lini? Hii Ruby ni yetu. Iweje iko sokoni Dubai na serikali yetu haijui? Nasaidia, mchimbaji huyu, anzieni hapa!

    Wanabodi, Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", na Leo ni kuhusu uzalendo wa kujitolea kuisaidia serikali yako na nchi yako, pale unapoona imeshindwa na inahitaji msaada, je tutaendelea kufanywa Shamba la Bibi Hadi Lini?. Hili ni bandiko la kuisaidia serikali yetu kuhusu...
  9. JamiiForums Tanzania Chama kipya chaundwa Tanzania kuendeleza falsafa ya Magufuli

    UTANGULIZI TAFADHALI NAOMBA NISIRUSHIWE MADONGO,MIMI NI MJUMBE TU.HATA HIVYO NIKIRI KWAMBA HILI WAZO NIMELIPENDA, INGAWA MIMI NI MWANA CCM. NIKIRI KWAMBA BAADA YA MIAKA 61 YA UHURU, BADO CCM INATUPIGISHA WATANZANIA MAKIDA MAKIDA. KWA BAHATI NZURI MAGUFULI ALIBADILI SYSTEM YA UONGOZI TANZANIA...
  10. JamiiForums Tanzania PRST kuendesha Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Maafisa Habari wa Mahusiano APA Tanzania 2022

    Washiriki zaidi ya 300 kutoka mataifa tofauti ikiwemo Bara la Afrika, Ulaya, Amerika wanatarajiwa kuhudhuria mkutano mkuu wa mwaka wa kimataifa wa kitaaluma 'APA TANZANIA 2022', utakaofanyika kuanzia Mei 23 hadi 27, Dar es Salaam. Wakizungumza na Waandishi wa Habari, juu ya utambulisho na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kama Kocha Mzawa mwenye Akili Tanzania nzima Mecky Mexime Kaichambua Simba SC vizuri hivi Wewe ni Kibushuti gani umpinge?

    "Nilishatabiri mapema tu kuwa Simba SC inacheza Fainali ya Shirikisho. Na hata hiyo Jumapili nakuhakikishia Simba SC anaenda Kumfunga Orlando Pirates FC na kwenda Nusu Fainali ya Shirikisho. Simba SC ina Wachezaji wakubwa, wazuri, wanaofika na wanaweza Kukimbizana. "Nimewaona Orlando Pirates FC...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni 'Mortuary Attendant' wa Tanzania, ila usiombe Nduguyo afie India halafu uje uipokee Maiti yake waliyoiandaa Wao huko

    Kuna Maiti nimetoka kuipokea na kwenda Kuihifadhi Hospitali fulani Jijini Dar es Salaam ila baada ya Kuifungua ili ianze kuwa treated ikitokea nchini India alikofia kiukweli nimeamini Waafrika tunadharaulika mno na hawa Wahindi siyo Watu japo hapa Tanzania tunawapenda na hata Kuwanyenyekea vile...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Royal Tour itampaisha Rais Samia na kuipaisha Tanzania kimataifa

    Wakosoaji wanasema zimetumika zaidi ya shilingi bilioni tano katika kuiandaa Royal Tour huko mbugani. Yameongewa mengi, mengine ni mbwembwe tu kama ile habari ya Samia kuendesha gari kwa mara ya kwanza baada ya miaka 15 siku alipomuendesha yule mzee wa kizungu kule mbugani. Mengine ni habari...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Mapato ya Filamu ya Royal Tour kule AMAZON ni kufuru, kuingizia Tanzania zaidi ya TZS 1.5 Trilioni kwa mwaka

    Iko hivi, Sote tunafahamu, Filamu ya Royal Tour ni mali ya Watanzania kwa 100% Tanzania imeigharamia filamu hii tangu kurekodiwa kwake mpaka kuzinduliwa kwake huko Marekani. Inakadiriwa mpaka kukamilika kwa uzinduzi wa filamu hii imetumia zaidi ya TZS 7.2BL fedha toka kwa wadau wa maendeleo...
  15. JamiiForums Tanzania Tuerny atajwa kama mwanamke mwenye mvuto zaidi Tanzania!

    Jarida kubwa huko Nigeria limemtaja Tuerny kama mwanamke mwenye mvuto zaidi nchini Tanzania na kwa africa akiwa namba 7 yaani yupo top 10. Hivo kwa sasa mrembo mwenye mvuto na muonekano wake TZ kwa sasa ni Tuerny hilo halina ubishi ukibisha utakuwa mchawi! Tuerny ana masters ya Accounting pamoja...
  16. JamiiForums Tanzania Sikia makubaliano mapya kati Tanzania na jiji la Dallas, Marekani

  17. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba Kujua Zilipo Ofisi za Copy Cat Tanzania

    Msaada: Naomba kuuliza ofisi za Copy Cat Tanzania ziko wapi maana kwenye mtandao hawapatikani na pale ofisi zao Victoria hawajaweka bango kuonyesha wamehamia wapi Asante
  18. JamiiForums Tanzania Tsh bilioni 208 kutumika kujenga Mahakama za Mwanzo 60 mpya Tanzania

    Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Profesa Elisante Ole Gabriel amesema zaidi ya Tsh bilioni 208 zimetengwa kujenga Mahakama za mwanzo 60 na vituo jumuishi vya haki 12 katika mkakati wa maboresho ya awamu ya pili ya kufikisha huduma za Mahakama vijijini. Profesa Gabriel alibainisha hilo...
  19. JamiiForums Tanzania Kenya inatuzidi wapi Tanzania? Baada ya Microsoft na Visa kufungua vituo vyao Nairobi, Google nayo yasema inafungua kituo chake nchini humo

    Google imetangaza kuzindua kituo cha ukuzaji wa bidhaa jijini Nairobi, ambacho ni cha kwanza katika bara la Afrika, ili kujenga bidhaa na huduma za "mabadiliko" kwa soko la Afrika na ulimwengu. Haya yanajiri baada ya kampuni hiyo kubwa ya teknolojia kufichua mipango ya kuwekeza dola bilioni 1...
  20. JamiiForums Tanzania Logistic Specialist at ISOAF Tanzania Limited April, 2022

    ISOAF Tz Limited is a Tanzania-incorporated company with its head office in Dar es Salaam and its plant in Nzega District. The Company is soon expecting to commence its operations as a Thermal insulation System Contractor for East African Crude Oil Pipeline (EACOP) Project. Job Description –...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…