Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Habari wana JF
Watanzania, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..
Nitajadili mambo makubwa mawili
1. Vita 'kamili' ya III ya dunia.
2. Namna Tz inavyofanyiwa ujasusi
Hoja No. 1
Kwa wasiojua ni kwamba vita kamili ya 3 ya Dunia imekwisha kuanza. Pole kwa wale wanaosema kuna...
Baada ya Kampuni ya Uber kusitisha baadhi ya huduma zake Nchini Tanzania, huenda Kampuni ya Bolt nayo ikafanya hivyo kwa upande wa Huduma za Usafiri wa Gari kutokana na ada ya huduma ya 15% iliyowekwa na LATRA
Meneja wa Bolt Kanda ya Afrika Mashariki, Kenneth Micah amesema Kampuni hiyo imeomba...
Farm Manager
Farmer Training Centre Farm Manager
We are looking for an experienced Farm Manager to work at SAT-Farmer Training center Farm. As a farm manager, you’ll be responsible for the work of farm staff, farm administrative issues, and all financial aspects of the farm. As the farm...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, amezungumza na kusaini kitabu cha Mtoto wa Kitanzania Ada Marie Kemilembe (9) mkazi wa Columbia, Maryland, alipokutana nae Jijini Washington DC Nchini Marekani.
Taarifa: Ikulu Tanzania
Asikudanganye Mtu ukizaliwa au kuishi...
Habari mbaya sana kwa wenzetu wa Sgang!
Inavyosemwa Maza anafungua nchi Kweli ameifungua! Haya sio maneno yangu someni hapa!
Tumeanza kukamata chati katika kufanya vizuri kwenye mambo mbalimbali
Kwa mujibu wa hotuba ya mh. Pius Msekwa katibu wa bunge kipindi cha kusaini hati ya muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar amedai kwamba baada tu ya muungano huo rais wa Zanzibar Mzee Karume alijihudhuru cheo chake cha urais na kuwa Makamo wa rais wa Kwanza wa JMT chini ya rais Mwl. JK...
Imani yangu inanituma kwamba, wazo la kuja na kutengeneza Royal Tour Tanzania, nimechochewa zaidi na Tanzania kuwa na Rais Mwanamke.
Licha tu ya kuwa na Rais mwanamke ambaye kwa nchi za magharibi ni kitu ambacho wanavutiwa nacho zaidi, lakini pia aina ya siasa anayofanya Rais Samia...
Wakati Serikali yetu ikiwa busy kwenye uzinduzi wa filamu yetu huko Marekani.
Thamani ya Chai yetu inazidi kuporomoka kwenye soko la kimataifa.
Katika mnada uliofanyika Mombasa nchini Kenya hivi majuzi Chai ya Rwanda ili endelea kufanya vyema kwa kuuzwa kwa dola 2.83 kwa kilo moja ilhali ile...
The Aga Khan Health Service, Tanzania (AKHST); an institution of The Aga Khan Development Network, completed a major phase II expansion of the Aga Khan Hospital, Dar es Salaam in 2018.
This expansion aimed at improving the Hospital’s quality of facilities and infrastructure to become an...
Machapisho mbalimbali yanaitafsiri Kazi kama ni seti ya shughuli ambazo zinafanywa kwa ajili ya kufikia lengo, kutatua shida au kuzalisha bidhaa na huduma ili kukidhi mahitaji ya binadamu.
Aidha, neno kazi linatokana na Kilatini utatu, ambapo kwa wakati huo kulikuwa na kwa zamu ya safari tatu...
Wapendwa habari ya mapumziko. TANROADS nawasalimia sana kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naiomba wizara ya mali asili na utalii iziweke barabara za TANROADS mkoa wa Dar es Salaam katika list ya vivutio vya utalii, make na zenyewe ziko kiasili kabisa.
Barabara ni ya TANROADS tangu...
LIVE / MUBASHARA :
25 April 2022
District of Columbia
A New Day for U.S.-Tanzania Relations: H.E. Samia Suluhu Hassan, President of Republic of Tanzania
the Wilson Center Africa Program for A Conversation with H.E. Samia Suluhu Hassan, President of the Republic of Tanzania.
President...
Hapa chini ni Orodha ya Vipodozi vilivyo pigwa Marufuku
====
TANZANIA BUREAU OF STANDARDS
LIST OF BANNED COSMETICS
A “Cream” and “lotions” containing “Hydroquinone”
1. Mekako Cream
2. Rico Complexion Cream
3. Princess Cream
4. Butone Cream
5. Extra Clear Cream
6. Mic...
Habari zenu!
Nina mgogoro wa nafsi na naomba ushauri
Mgogoro wangu ni kuhusiana na chuo cha kusoma hapa Tanzania
Nilisoma Dip in civil chuo cha St. Joseph na kugraduate 2021, now nasoma mwaka wa kwanza degree nahisi kama naibiwa ada kwamba sipati ninachotakiwa kupata.
Uamuzi naotaka kufanya...
Siku ya tarehe 23 Aprili, 2022 Rais Samia alishiriki utiaji saini wa makubaliano ya kibiashara baina ya kampuni ya Taifa Group na kampuni ya Northern feed co.
Mkataba huo wenye thamani ya Dola milioni 500 sawa na trilioni moja za kitanzania utakua katika uzalishaji wa soya, ngano , sukari etc...
Habari wana JamiiForums
Nilikuwa naomba kufahamishwa list ya milima ya mikunjo(FOLDS) na milima ya tofali(BLOCK) kwa Tanzania
Nitashukuru kwa ushirikiano wenu
Nchi ya Tanzania imekuwa ikiongozwa na chama cha CCM katika kipindi kisichopungua miaka 50,Tanzania hii imepiga hatua za kimaendeleo kwa vipindi kutofauti kutoka kwa rais mmoja kwenda kwa rais mwengine katika vipindi vya miaka mitano yenye vipindi viwili kwa kila mmoja huku sera zikiwa ni kutoka...