tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Hatuna mgojwa wa Monkeypox nchini

    Kutokana na taarifa za kuenea kwa ugonjwa unaosababishwa na #MonkeyPoxVirus, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa hadi sasa hakuna kisa kilichorekodiwa cha mgonjwa wa virusi hivyo nchini. - Aidha Wizara imesema inaendelea kuchukua hatua stahiki kukabiliana na ugonjwa huo kama...
  2. L

    JamiiForums Tanzania China na Tanzania zasaini mpango mpya wa utekelezaji wa makubaliano ya kiutamaduni

    Serikali za China na Tanzania jana Alhamis zilisaini mpango mpya wa 2022-2025 wa utekelezaji wa makubaliano ya kiutamaduni unaolenga kuimarisha ushirikiano wa pande mbili kwenye nyanja mbalimbali. Kwa mujibu wa ubalozi wa China nchini Tanzania, mpango huo uliosainiwa jijini Dar es Salaam na...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaanza msako wa kilimo cha bangi

    Mamlaka za kupambana na dawa za kulevya Tanzania zimeanza msako wa nchi nzima kwa watu wanaolima bangi. Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya (DCEA) Gerald Kusaya amesema Jumatano kuwa heka 21 za bangi zilizogunduliwa katika wilaya za Arumeru na Monduli mkoani Arusha...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania kununua ndege tano ili kuhimiza maendeleo ya sekta ya usafiri wa anga nchini

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Tanzania Bw. Makame Mbarawa alisema Tanzania inapanga kutumia shilingi bilioni 468 (sawa na dola takriban milioni 201 za kimarekani) kwa ajili ya kununua ndege tano mpya ili kuhimiza maendeleo ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL). Mbarawa amesema katika mwaka...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatangaza kuchukua hatua za kudhibiti wanyama pori wanaopotea njia

    Mamlaka za Tanzania zimetangaza kuchukua hatua za muda mrefu na mfupi zinazolenga kudhibiti wanyama pori wanaopotea njia kutoka kwenye maeneo yao wanayohifadhiwa na kufanya uharibifu kwenye vijiji. Kwenye taarifa yake Waziri wa Maliasili na Utalii Pindi Chana amesema wanyama hao wakiwemo tembo...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ni lini majasusi wa Tanzania wataanza kuzuia (prevent) uhalifu badala ya Sasa ambapo wanafichua maovu baada ya serikali/wananchi kupata hasara?

    Naamini Kila Mkoa, Wilaya, na maeneo mbalimbali miradi ya serikali inapotekelezwa Wapo majasusi wanalipwa Kwa Kodi za wananchi kumulika miradi ya serikali itekelezwe Kwa mujibu wa sheria. Kinachofanywa na majasusi WETU naamini kilishakosa nguvu duniani na Sasa Dunia ipo Kwenye ujassusi unaozuia...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi Covid-19 bado ipo Tanzania?

    Nina flue, napiga chafya, nahohoa, naahirisha mwili unauma na kuchoka pia sina hamu yakula ila sina home. Je inaweza kuwa ni Codid? Nianza dose ya Azuma. Naomba jukwaa linishauri
  8. JamiiForums Tanzania Comediams wa Kenya wanafanya poa kuliko wa Tanzania

    Habari za wakati huu wadau, naimani mko fresh na mnaendelea vyema kukimbiza gurudumu la utafutaji. In fact comedians wa Kenya wako vizuri sana kwenye tasnia hiyo, yaani si watu ambao wanaforce lakini automatically tu unajikuna unawafurahia, hasa content zao, the way they play a particular role...
  9. JamiiForums Tanzania Unsung Heroes: Mashujaa wasiopewa heshima yao hapa Tanzania

    Tanzania kuna watu wengi kwenye nyanja mbalimbali ambao wamefanya makubwa kwenye nchi lakini hawatajwi wala kupewa heshima wanayostahili. Sasa mimi nitawataja wachache na yoyote anaemjua mtu aliyefanya jambo kubwa aongezee. P Funk Majani Huyu ndio baba wa bongofleva. Formula tunayotumia sasa...
  10. JamiiForums Tanzania Ufaransa kuwekeza dola bilioni 4.2 Tanzania

    Haijawahi kutokea- Ufaransa mbioni kuwa muwekezaji nambari wani Tanzania. Ufaransa itawekeza zaidi ya dola bilioni 4.2 katika kipindi cha miaka mitano. Asiyemuelewa mama kindly spare us the noise. === Dar es Salaam. The French public and private commitment for Tanzania over the next five years...
  11. JamiiForums Tanzania TotalEnergies Tanzania pours millions to winners of the 3rd Edition of the Startupper of the Year Challenge

    TotalEnergies Marketing Tanzania Pouring in Millions as it Announces The Winners of The 3rd Edition of The Startupper of The Year Challenge by TotalEnergies The Winner, of the 3rd edition of the Startupper of the Year Challenge by TotalEnergies , Innocent SULLE for the Award for Best...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania Tax regime inahitaji mabadiliko ya kimawazo, bidhaa zile zile majirani bei ni ndogo kuliko hapa kwetu!

    Msimamo wa Tax regime ya nchi yetu ina matatizo Ya kimtazamo. Tax-kodi inakuwa set for maximum extraction, yaani kodi zetu zinajaribu kufyonza fadha kubwa iwezekanavyo toka kwa mfanyibiashara au any business deal kiasi ambacho bei ya bidhaa zetu zinapanda bei hadi kukosa ushindani. Hili ni...
  13. JamiiForums Tanzania Mauzo ya gesi nje ya nchi ya Tanzania yakiongezeka pato la serikali kwenye gesi litaongezeka pia?

    Mkataba wetu na mwekezaji kwenye gesi unasemaje? Baada ya vikwazo vya kuuza gesi kutoka Urusi bila shaka hata gesi yetu itapata soko kubwa huko nje ya nchi, hasa Ulaya. Je, hii itakuwa na manufaa gani kwa pato la taifa?
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kumekucha Kenya: Tume ya uchaguzi yaidhinisha wagombea binafsi 38 wa Urais. Tanzania tuna mpango gani?

    Mgombea binafsi ni yule ambaye hatumii tiketi ya chama chochote ili kuweza kugombea nafasi ya kisiasa kama Urais na Ubunge. Kenya Walipitisha sheria hii March mwaka huu na wameidhinishwa wagombea Urais na ugavana bila kupitia chama chochote. Wagombea 38 wameidhinishwa nafasi ya Rais nchini...
  15. JamiiForums Tanzania Health Laboratory Assistant (Re-advertised) at St John’s University of Tanzania

    ST JOHN’S UNIVERSITY OF TANZANIA EMPLOYMENT OPPORTUNITY St John’s University of Tanzania (SJUT) is a relatively young but dynamic university aspiring to become a global player in the provision of higher education, owned by the Anglican Church of Tanzania (ACT). SJUT is committed to a culture of...
  16. JamiiForums Tanzania UN Health Manager Tanzania at UNDP

    BACKGROUND As in many Programme Countries, UN field personnel in Tanzania are exposed to various health and security hazards that may result in disease, psychological trauma, and life-threatening injuries. Dedicated, effective primary health, occupational health, tropical medicine, and emergency...
  17. JamiiForums Tanzania Mhandisi mshauri mradi wa Bomba la Mafuta toka Uganda- Tanzania akutwa kafariki

    Mhandisi mshauri wa mradi wa Bomba la Mafuta toka Uganda- Tanga (Tanzania) amekutwa amefariki Hotelin huko Jijini Tanga. Abraham Jacobus raia wa Africa kusini alikuwa mhandisi mshauri wa mradi uo kwa upande wa Tanzania,Kaimu Kamanda wa police mkoani Tanga amethibitsha kutokea kwa tukio hilo.
  18. JamiiForums Tanzania Macocha Moshe Tembele ateuliwa kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Indonesia

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Macocha Moshe Tembele kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Indonesia Balozi Tembele alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataita (Multilateral Cooperation) kabla ya kuteuliwa na Rais Samia
  19. F

    JamiiForums Tanzania Tufanyeje kurejesha uzalendo Tanzania?

    Uzalendo tafsiri yake nyepesi ni kutokuvunja sheria za nchi yako. Chanzo cha uzalendo kutoweka ni umasikini ambao unatia watu tamaa siyo tu ya kulimbikiza mali kwa wastani na ziada, bali kutafuta chochote cha kuokoa roho/uhai kwa maana ya mahitaji ya msingi ya chakula, malazi na mavazi ambayo...
  20. JamiiForums Tanzania Picha: Kabla Patro Katambi hajahama CHADEMA

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…