tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Senior Technical Manager at CVPeople Tanzania

    Senior Technical Manager (Arusha) CVPeople Tanzania Arusha, Tanzania | Posted on 06/01/2022 Role and Scope; The Senior Technical Manager will lead our design and installation teams as well as supporting our sales team. The Senior Technical Manager will also engage with our clients, both...
  2. JamiiForums Tanzania Registrar at Tanzania Shipping Agencies Corporation (TASAC)

    REGISTRAR - 1 POST EMPLOYER Tanzania Shipping Agencies Corporation (TASAC) APPLICATION TIMELINE: 2022-06-01 2022-06-10 JOB SUMMARY To manage and ensure safety and quality of seafarers, wrecks and ships along with responsibility for Tanzania Ship Registrar and marine environment...
  3. JamiiForums Tanzania Canola ni zao la mafuta linaloweza kuleta unafuu wa tatizo la uhaba wa mafuta Tanzania

    Canola ni zao la aina ya mmea jamii ya kunde; liligunduliwa uko Canada, na hili zao la canola limekuwa likilimwa zaidi ya miaka mingi sana uko Canada kabla ya kusambaa ktk bara zima la American. Hili zao limekuja kwetu Afrika mashariki zaidi limekuwa likilimwa Kenya hasa maeneo ya rift valley...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Bado jambo moja tu Rais Samia awe Rais Bora kuwahi kutokea Tanzania na Afrika nzima

    Kuna sifa kuu Tatu za Mtumishi Bora na Tatu za kiongozi Bora. Sifa za Mtumishi Bora ni: 1. Muwazi 2. Mchapa kazi 3. Mwaminifu Popote pale ukipata mtumishi mwenye sifa hizo usimuache aende zake utakuwa umepoteza hazina kubwa sana. Sifa za Kiongozi Bora: 1. Mtu wa Mfano 2. Muwajibikaji 3...
  5. JamiiForums Tanzania Orodha ya nchi kumi bora za kufanya uwekezaji Afrika mwaka 2022 Tanzania imo

    Tovuti inayofuatilia muenendo wa biashara katika nchi za Afrika imetoa orodha ya nchi kumi za Afrika ambazo zinavutia zaidi kufanya uwekezaji kwa Mwaka huu. Katika orodha hiyo Misri inashika nafasi ya kwanza kama nchi kivutio kwa uwekezaji barani Afrika. Sambamba na hilo nchi ya Rwanda na...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Bei ya Umeme Kenya ni mara mbili ya Tanzania

    KAFULILA: BEI YA UMEME KENYA MARA MBILI YA TANZANIA Mkuu wa Mkoa Simiyu, David Kafulila amesema takwimu za ulinganisho wa bei ya Umeme Afrika mashariki zinaonesha kwa wastani watanzania wanatozwa bei chini ya umeme kuliko nchi zote Afrika mashariki na kusisitiza kuwa nafuu hiyo ya bei ni...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Waarabu na wahindi wenye uraia wa Tanzania hawafungi ndoa na ngozi nyeusi japo dini wanasali pamoja

    Ninajiulizaga sana hili swali. Mbona tuna wahindi wengi sana waislam na wakristo. Na tuna waarabu wengi sana waislamu wenye uraia wa Tanzania. Ila why hawaoi dada zetu ngozi nyeusi? Inawezekana wanatujua ngozi nyeusi tuna mambo ya ajabu. Mfano msiba wa dada wa Mwanza aliyepigwa risasi ndugu wa...
  8. JamiiForums Tanzania Air Tanzania, Soko la Afrika Kusini, Abiria ni wengi ajabu!

    Air Tanzania changamkieni Soko la Afrika Kusini (Johannesburg na Cape Town) abiria Ni wa kuchota. Maana SAA imesitisha safari za kimataifa hivyo ni fursa kwa ATCL kwenda huko kama majirani zetu Kenya Airways, Ethiopian airlines na Rwandair.
  9. JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi nathibitisha hakuna 'Upinzani' Tanzania bali kuna 'CCM Upinzani' tu Tanzania kwa sasa

    Kwangu Mimi Mpinzani ni Boby Wine ( Robert Kyagulanyi ) na wengine wa nchi zinazojitambua ila siyo kwa walioko Tanzania. Mimi Mpinzani ninayemuheshimu na Kumpenda ni yule tu ambaye 24/7 anamsema Kiongozi aliyeko Madarakani, anayekamatwa, anayepigwa, anayeteswa, asiyetishika Kuuwawa, asiyependa...
  10. JamiiForums Tanzania Ajira mpya 1241 kutoka Jeshi la Magereza Tanzania

    Tangazo halina mbwembwe sana ni kwa yeyote yule mwenye elimu ya kidato cha nne na umri usiozidi miaka 33.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia neema ilioletwa kurejesha utu na Haki za Binadamu

    May 13, 2022 Rais Samia Suluhu Hassan alikua mgeni katika maadhimisho ya miaka 10 ya kuanzishwa kwa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC). Katika mkutano huo alitunukiwa tuzo ya kutambua mchango wake wa kulinda na kusimamia haki za binadamu na utawala wa sheria ikiwa ni...
  12. JamiiForums Tanzania Hii Vita isiyo rasmi na ya chini chini yenye Mafumbo mengi baina ya Maaskofu wa Katoliki Tanzania na Mtume Mwamposa naiona peke yangu au?

    Sasa ni mwendo wa Mafumbo na Kukomoana tu.. Baadhi ya Maaskofu wa Katoliki.. "Wakatoliki mnaokwenda kwa Mwamposa ni Wendawazimu na tutaanza Kuwatenga Kanisani Kwetu kwani hatupendi Waumini wanaotangatanga wakati katika Ukatoliki kuna kila Kitu" Mtume Mwamposa wa Kanisa lisilo na Jina na...
  13. JamiiForums Tanzania Kama Bucha za nyamapori zimeruhusiwa, kwanini Pembe za ndovu zenye thamani ya bilioni 186 zisiuswe?

    Nawasalimu kwa jina la JMT. Serikali ya Tanzania imetunza na kuhifadhia shehena ya pembe za ndovu zenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 186. Shehena hii imekamatwa kutoka kwa majangili kwa miaka mingi Sasa ila imewekwa tuu bila sababu zenye mashiko kwa kisingizio cha kulinda uhifadhi na...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge Shabiby ahoji utaratibu unaotumika kufungua nchi, atahadharisha Tanzania kugeuka shamba la bibi

    Mbunge aliyejawa na hoja zenye mashiko kwa taifa letu Mh Shabiby amehoji utaratibu unaotumiwa na serikali ya awamu ya 6 kufungua nchi kwani unaelekea kuigeuza Tanzania kuwa shamba la bibi kwa kila mgeni kufanya anavyotaka. Bwana Shabiby amesema sasa hivi wageni hasa wachina wameruhusiwa kuingia...
  15. JamiiForums Tanzania Programme Manager Tanzania Kibondo at Norwegian Refugee Council

    The primary purpose of the Programme Manager position is to ensure programme quality and maximize the positive impact of NRC response at area level. The Integrated Programme Manager (IPM) is responsible for overseeing the implementing programmes in their area of operation. This position is a...
  16. JamiiForums Tanzania Zifahamu athari za elimu inayofundishwa katika nchi za Dunia ya tatu kama Tanzania

    Elimu elimu elimu 😜😜😜😜 ni moja kati ya chemsha bongo kubwa ambazo Zinakumba jamii nyingi za Afrika Hadi Leo !!! Jamii zetu Zina vijana wenye talent, uwezo ,vipaji, vision na hamu ya kufanikiwa lakini Bado mfumo wa elimu unakwamisha maendeleo. Zifuatazo ni athari za elimu inayofundishwa katika...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Chuo gani (cha ndani au nje) ambacho unaweza kusoma masters online na cheti kikatambuliwa Tanzania?

    Kuna siku napataga muda mwingi wa free baada ya kumaliza mambo yangu. Ningependa nichukue mda huu kujiendeleza kimasomo kwa kusoma degree ya pili yaani masters ila iwe kwa njia ya mtandao. Je, kuna wenye uzoefu na suala hili wanishauri ni chuo gani kinachotoa huduma hii. Na kama kikiwa cha nje...
  18. JamiiForums Tanzania National Program Officer – Economist at Embassy of Switzerland in Tanzania

    National Program Officer – Economist Full Time Dar es Salaam Embassy of Switzerland in Tanzania As the official representation of Switzerland, the Embassy covers all matters concerning diplomatic relations between the two countries. Embassy of Switzerland in Tanzania Swiss Agency for...
  19. JamiiForums Tanzania Technical Officer at EGPAF Tanzania, Technical Officer - TB Services

    Technical Officer - TB Services Location Tanzania - Arusha Employment Duration Full time "Sometimes in life there is that moment when it's possible to make a change for the better. This is one of those moments." -Elizabeth Glaser The Technical Officer TB services (TO-TB) is a highly...
  20. JamiiForums Tanzania Tahadhari: Utapeli wa Zimbabwe wa kubadili mtu aliyelala na mke wa mtu aonekane ana miguu ya ng'ombe na mkia, umefika Tanzania

    Kinachofanyika ni kwamba mtu anafukiwa miguu kwenye shimo ama anaweza kuwa ni kilema hana miguu, wanaiweka miguu ya ng'ombe kwenye suruali halafu kwa namna wanayojua wenyewe inaunganishwa na na kiwili wili. Kuhusu huo mkia unacheza cheza kila mara, kuna mota inafungwa ama kuna uzi umepita...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…