tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Masauni: Hakuna sababu viongozi wa CHADEMA kutorejea nchini. Asema Tanzania ni salama

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amesema Tanzania ni salama na haina tishio lolote la usalama, pia Masauni amesema hakuna sababu ya Mtanzania yeyote ikiwemo viongozi wa CHADEMA waliopo nje ya nchi kutorudi Nchini ili waje kutumia fursa zilizopo za maendeleo pia kushiriki kutoa mchango wa...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani Wakubaliana kushirikiana katika Elimu, Sayansi na Teknolojia

    TANZANIA, MAREKANI WAKUBALIANA KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA Na WyEST, DODOMA Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda leo Juni 7, 2022Jijini Dodoma amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Dkt. Donald Wright ambapo...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge azungumzia Utoaji Mimba usio salama kuwa unazidi kuendelea Nchini Tanzania

    Suala la utoaji mimba usio salama limekuwa gumzo siku za hivi karibuni na takwimu zinaonesha vifo vitokanavyo na uzazi husababishwa na sababu mbalimbali ikiwemo utoaji wa mimba usiosalama. Takwimu zinaonesha katika kila Wanawake 100,000 kunatokea vifo 454 mpaka vifo 556 (Taarifa kutoka...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania tunahitaji Nini ili kufikia hizi Level?

    Habari wana-Jukwaa. Nipo najiuliza maswali mengi sana kila nikiingia sehemu nikaona Mapungufu flani,nikitoka nawaza hivi lini na sisi tutakua kama Nchi Flani nikitoka sehemu hio nikipita sehemu Nyingine nikiona Tatizo najiuliza Lini tutakua kama Nchi Flani,Saivi ni miaka 60+ tokea tupate Uhuru...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni Kweli Tanzania tunaitegemea Kenya? Siyo Kweli

    Biashara kati ya Tanzania na Kenya imekuwa ikikuwa kwa kiwango flani kutokana na uwepo wa jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) iliyoanza mwanzoni mwa miaka ya 2000. Tangu kipindi cha kuundwa kwa jumuiya hiyo , biashara imekuwa ikikuwa na mpaka kufika 2021, biashara kati ya Tanzania na Kenya...
  6. JamiiForums Tanzania Safari ya Maisha ya Kiroho ya Hayati Dkt. John Magufuli

    Safari ya Maisha ya Kiroho ya Dr. John P. Magufuli wa Tanzania Askofu mkuu Protase Rugambwa, ameongoza Ibada ya Misa Takatifu kwa ajili ya kumwombea Hayati Dr. John Pombe Magufuli wa Tanzania. Baada ya Ibada ya Misa, ilifuatia dua iliyoongozwa na Bwana Abdul Hamid Ahmed na mwishoni, Balozi...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Standard Bank ya UK kuilipa serikali ya Tanzania fidia sakata mkopo USD milioni 600

    Ndugu zangu, Serikali ya Tanzania kulipwa fidia na benki ya Standard ya uingereza kutokana na rushwa iliyogubika mkopo wa dola miloni 600 mwaka 2013. Sakata hili tulishuhudia aliyewahi kuwa Kamishina Mkuu wa TRA Harry Kitilya na wenzie watatu wakienda lupango. Ikumbukwe Zitto Kabwe...
  8. JamiiForums Tanzania Meteorological Assistant - 3 POST at Tanzania Meteorological Authority

    POST METEOROLOGICAL ASSISTANT – 3 POST EMPLOYER Tanzania Meteorological Authority (TMA) APPLICATION TIMELINE: 2022-06-05 2022-06-18 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To observes, records and collects meteorological and other geophysical data such as agro meteorological...
  9. JamiiForums Tanzania Forest Officer II - 10 Post at Tanzania Forest Services (TFS) June, 2022

    POST FOREST OFFICER II – 10 POST EMPLOYER Tanzania Forest Services (TFS) Agency APPLICATION TIMELINE: 2022-06-05 2022-06-18 DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.To supervise planting and management of natural forests and plantations; ii.To conduct research related to forestry or environment; iii.To...
  10. JamiiForums Tanzania Bee - Keeping Officer II - 5 Post at Tanzania Forest Services (TFS) June, 2022

    POST BEE-KEEPING OFFICER II – 5 POST EMPLOYER Tanzania Forest Services (TFS) Agency APPLICATION TIMELINE: 2022-06-05 2022-06-18 DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.To maintain all books of accounts and allied records; ii.To prepare monthly trial balance and bank reconciliation statements; iii.To...
  11. JamiiForums Tanzania ACCOUNTANT II - 1 POST at Tanzania Forest Services (TFS) June, 2022

    POST ACCOUNTANT II – 1 POST EMPLOYER Tanzania Forest Services (TFS) Agency APPLICATION TIMELINE: 2022-06-05 2022-06-18 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.To maintain all books of accounts and allied records; ii.To prepare monthly trial balance and bank reconciliation statements...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Sarafu ya Shilingi ya Tanzania dhidi ya Dollar ya Marekani

    Dollar ya Marekani inazidi kuimarika. Shilingi ya Tanzania inazidi kudhoofika. Tangu robo ya kwanza ya mwaka, Dollar moja imekuwa ni sawa na shilingi 2310 kwa mujibu wa BoT. Robo ya pili ikapanda na kuwa 2311. Sasa tupo robo ya tatu na ndani ya siku 7 hizi ishapanda mara mbili: 2312 na sasa...
  13. JamiiForums Tanzania Tuweke Historia Sawa. Tuwajadili Marais wa Tanzania tukianzia na Nyerere

    Mwaka huu wa 2022 unatuingiza mwaka wa 61 toka Tanganyika tupate Uhuru. Kwanza na "declare interest", binafsi nimezaliwa Tanganyika, kwa maana nimezaliwa kabla ya Uhuru na kabla ya muungano. Namshukuru Mwenyezi Mungu nimezipitia awamu 7 za uongozi wa nchi yetu hii ambayo sasa inaitwa Tanzania...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada wenye past paper ya Operation officer TAA

    Msaada wenye past paper ya Operations Officer TAA
  15. B

    JamiiForums Tanzania U17: Tanzania yaichapa Cameroon mabao 4 kwa moja

    23 May 2022 Yaoundè Cameroon Je U17 Serengeti Girls kuandika Historia kwa kupata tiketi ya Kushiriki michuano ya Kombe la Dunia 2022 Nchi za Tanzania pamoja na Ghana, Nigeria zimejisogeza katika nafasi nzuri za kujinyakulia tiketi za timu zitakazowakilisha bara la Afrika katika michuano ya...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tanzania mnafahamu kwamba wanaotukopesha (matajiri) wanafanya kazi saa ishirini na nne? Sisi tunakwama wapi kuruhusu biashara 24hrs?

    Jeshi la Polisi wanapiga marufuku wanafanya biashara ya usafirishaji abiria kufanya kazi masaa ishirini na nne lakini wao wapo kazini masaa ishirini na nne wanamlinda nani?Kwanini tumekariri kwamba tunapaswa kuwa na mfumo wa kufanya kazi Mchana pekee? Kwanini Polisi wasisimamie usalama wa...
  17. JamiiForums Tanzania Baada ya Kenya kupiga marufuku LPG kutoka Tanzania, kuna kitu cha kujifunza kama Taifa

    Mwaka jana mwezi wa tano mama yetu kipenzi alifunga safari kwenda huko kwa jirani kufuja pesa za umma kwa kisingizio cha kurudisha demokrasia na uhusiano wa biashara waliodhani uliharibiwa na mtangulizi wake. Moja ya vitu vilivyotumika kuonesha mafanikio ya ziara hiyo ni Ujenzi wa bomba la gesi...
  18. JamiiForums Tanzania SWALI: Je, Una imani na Ujuzi wa Kitaalamu wa watoa huduma za Afya Tanzania?

    Habari wadau wa JF? Naamini wengi wetu tumeshawahi kupata huduma za afya au kuwasindikiza ndugu/rafiki wa karibu kupata huduma hizo. Nina swali kwako, tafadhali karibu kulijibu kulingana na uzoefu wako kwa mtoa huduma wa Afya uliekutana nae mara ya mwisho kabisa. Pia, unaweza kuchangia chochote...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania bila uraia pacha mnaibiwa wazi wazi

    Ameandika: Bongo Zozo Hongera sana @bernardk17 na wala sikulaumu. Hakuna angekataa fursa hiyo. ILA: @taifastars_ imepoteza bonge la mchezaji. Huyo jamaa anacheza kinoma yaani. Na hawezi kuchezea timu ya 🇹🇿 tena. ISIPOKUWA URAIA PACHA. Tanzania ilivyocheza na Benin mwaka uliopita, uwanjani...
  20. JamiiForums Tanzania Senior Technical Manager at CVPeople Tanzania

    Senior Technical Manager (Arusha) CVPeople Tanzania Arusha, Tanzania | Posted on 06/01/2022 Role and Scope; The Senior Technical Manager will lead our design and installation teams as well as supporting our sales team. The Senior Technical Manager will also engage with our clients, both...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…