tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Dodoma: Bajeti Kuu ya Serikali ya Tanzania 2022/2023

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba anatarajia kusoma bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2022/23 leo Juni 14, jioni bungeni. Bajeti inayopendekezwa ni Tsh. Trilioni 41.9 ikiwa ni ongezeko la 16% ukilinganisha na bajeti ya mwaka wa fedha 2021/22. Kati ya matarajio ya bajeti...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania Royal Tour ilivyoudumaza utalii wa Kenya

    Royal Tour itatupa faida gani ile movie ya kazi gani? Haya ndiyo maneno yaliyojaa kinywani kwa wanaharakati wa Tanzanaia kujaribu kufifisha Juhudi za Rais Samia suluhu Hassan. Sisi tuliozaliwa kwenye mazingira ya utalii tuliona na kufahamu kuwa sekta ya utalii ililala usingizi wa pono. Moja...
  3. JamiiForums Tanzania Ujinga na Ushamba ni mzigo sana kwa Watanzania

    Bado nasema na nitasema daima , kati ya jambo ambalo bado serikali imefeli kupambana nalo ni ujinga na ushamba na ukitaka kuona nchi hii wajinga ni wengi sana basi fuatilia mijadala ya humu JF Leo Mama Samia kafanya kikao na wafanyabiashara wa Oman na ameelezea fursa ya kusafirisha wanyama hai...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia katika Kongamano la Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania, leo Juni 13, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu katika Kongamano la Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania Rais Samia amewahakikishia wa Oman mazingira mazuri ya biashara kuwa na sera thabiti za fedha. Akizungumza katika Kongamano lililojumuisha Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania, Rais...
  5. JamiiForums Tanzania RC Kafulila: Kwa Uchumi huu wa Gesi wa Rais Samia sasa ni wazi Tanzania kuongoza kiuchumi EAC

    RAIS SAMIA NA UCHUMI WA GESI, TUPO NJIA SAHIHI Na David KAFULILA Jumapili, Juni 12 , 2022 Jana, Juni11, 2022, Rais wetu SSH ameshuhudia makubaliano ya awali ya uwekezaji wa $30bn kati ya Serikali yake na kampuni kubwa 5 za kimataifa ambazo ni Equinor, Shell, ExxonMobil, Medco Energy na...
  6. JamiiForums Tanzania Afisa Ugavi Daraja la II Bunge la Tanzania - 2 Posts

    POST AFISA UGAVI DARAJA LA II - 2 POST EMPLOYER Parliament of Tanzania APPLICATION TIMELINE: 2022-06-11 2022-06-24 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. Kutayarisha makisio ya vifaa vinavyohitajika (Schedule of Requirements); ii. Kuandaa utaratibu wa upokeaji wa vifaa...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania yakopa Tsh trilioni 2.4 kutoka IMF

    Tanzania imefikia makubaliano na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) katika mpango wa muda wa kupata Tsh. 2,400,000,000,000 unaolenga kuendeleza Uchumi wa nchi uliodumazwa na Janga la COVID-19. Kulingana na taarifa kutoka Shirika hilo, mkopo huo ambao ni kupitia Kitengo cha Mikopo ya Dharura...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Majasusi wa Tanzania fungueni macho. Teueni watu wenye uwezo sio kwa kujuana

    Nimekaa na kutafakari na hii hali inavyo enda jambo moja limenijia nikuwakumbuka mashujaa wetu ktk tansinia ya usalama wa taifa. Neno au wazo limenijia nikuwaambia macho yenu yafunguweni tena yafunguweni vizuri. Mchwa sio mdudu mzuri. Anakula chini kisha anaibuka juu unapo muona amesha maliza...
  9. JamiiForums Tanzania Nyerere aliipaisha Tanzania Afrika Mashariki, Mwinyi akaporomosha; Mkapa akaipaisha tena, Kikwete akaiporomosha tena

    .
  10. JamiiForums Tanzania Ombi kwa Rais Samia Hassan kuhusu HESLB kuondoa fedha za kujikimu wakati wa mafunzo kwa vitendo (Field)

    Kwako Mheshimiwa:- Lengo kubwa la ujumbe huu ni kukufahamisha juu ya HESLB kuondoa allocations za field kwa wanafunzi wa mwaka wa pili ambao hawakuwa na field mwaka wa kwanza. PASIPO KUTOA TAMKO LOLOTE HADI SASA. Mheshimiwa, Nikupe historia juu ya upangaji wa mkopo kwa wanafunzi wa chuo kikuu...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania needs to introduces ‘A Clean Atmosphere Act’ as an Anti-Geoengineering Bill

    Tanzania needs to introduce and implement ‘A Clean Atmosphere Act’ as an Anti-Geoengineering Bill.Such a legislation will enable the country to protect the health of its population, trees, plants, and animals. Through this post I request Lawmakers to introduce the "Clean Atmosphere Act,"...
  12. JamiiForums Tanzania Maamuzi yote Tanzania hufanywa na Rais, anajificha kwa Watendaji!

    Kila kinachoendelea Tanzania Rais ndiyo anayetoa maamuzi na amri kuanzia kupandisha bei za mafuta, umeme, kukamata raia kuwaweka rumande na kuwaachia pia kama akina Mbowe, Sabaya & Co. mpaka hili la kufukuzwa kwa Watanzania kwenye ardhi yao kwa mitutu ya Bunduki ni rais ndiyo anafanya siyo...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Equinor / Shell yasaini mradi wa thamani dola bilioni 30

    11 Juni 2022 Dar es Salaam, Tanzania Serikali ya Tanzania yasaini mradi wa thamani ya dola za Kimarekani 30 bilioni na mashirika makubwa ya Equinor la Norway na Shell la Uingereza kwa ajili ya ujenzi wa mitambo ya kuchakata gesi asilia yaani LNG (Liquified natural gas) ambao umeshuhudia na Rais...
  14. JamiiForums Tanzania Siku Mtanzania atakapotumia haki yake kumchagua kiongozi anayemtaka ndio tutaona Maendeleo ya Kweli Tanzania

    Hello Great Thinkers.... Moja ya vitu vilivyojirudia kutoka kwa wachangiaji kwenye hii topic niliyoiandika siku chache zilizopita ni jinsi Tanzania kulivyo na Maigizo kwenye uchaguzi... unaweza kupitia Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais Kwamba kila Uchaguzi ni...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania signs the LNG framework agreement: How is the investment vital to Tanzania’s economy?

    Today June 11, the President of Tanzania witnessed the signing of the framework agreement with Norway’s Equinor and Britain’s Shell at Chamwino State House in Tanzania’s capital Dodoma. The Minister for Energy, Hon January Makamba, who signed the agreement for Tanzania, said that the signing...
  16. JamiiForums Tanzania Mzanzibari hana cha kupoteza wala hawezi kupatwa uchungu Ngorongoro ikiuzwa, Tanzania bara tupambane na hali zetu

    Ndivyo hali ilivyo, hata mama wa kambo akilea watoto ambao sio wake haoni taabu hata kuchukua nguo zao na kuzigawa, ila hawezi fanya hivyo kwa watoto wake. Mwisho wa siku hata hii ngorongoro ikiingia rasmi mikononi mwa huyo mwekezaji, Zanzibar haiwezi kuathirika ila ni sisi bara ndio tunaisoma...
  17. JamiiForums Tanzania Hints za Rais Samia kuhusu Mafuta na Gesi Tanzania

    Contents za Rais 1. Kwa muda wote ambao nimekuwa Serikalini, tangu nikiwa Waziri, nimekuwa nasikia habari ya mradi huu wa LNG huko Lindi. Kuna wakati nikiwa Makamu wa Rais nilijaribu kuona kama naweza kusaidia kulisukuma mbele lakini lilikuwa zito kidogo na lina mambo mengi. Nilipopata nafasi...
  18. JamiiForums Tanzania Hints za January Makamba kuhusu mafuta na Gesi Tanzania

    Contents za Mh. Waziri Makamba 1. Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia nchini ulianza mwanzoni mwa miaka ya 1950. Mafanikio makubwa yalipatikana yakiwemo ugunduzi wa gesi asilia katika kisiwa cha Songo Songo mwaka 1974 na Mnazi Bay mwaka 1982. Aidha, Katika miaka ya 2010 na 2012 utafiti...
  19. JamiiForums Tanzania Waislamu wa Tanzania, where are Black People?

    Hiyo ni Bukoba KZ, Tanzania ambapo 99.9% ya Wakazi na Waislamu wa KZ ni Black people, wako wapi kwenye hiyo picha ukiondoa Bakwata na Serikali ? Hapo siyo Omani au Saudia, ni Tanzania, KZ!
  20. JamiiForums Tanzania Ongezeko la watu wanaoinyooshea kidole elimu ya Tanzania

    Habarini. Rejea kichwa cha habari hapo juu. Kumekuwa na ongezeko la watu wanaopinga elimu yetu, wengi hoja yao kubwa ikiwa ni pesa. Madai ya baadhi ya hao watu ni ni kwamba ni heri mtoto amalize form form halafu akatafute maisha Kama kufanya biashara. Mbaya zaidi baadhi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…