tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa kwa Tanzania kuanzishwa kwa "Tanzania mortgage bank" kama nchi nyingine

    It's advantage mikopo yake hutolewa haraka sana baada ya bank kujirizisha na thamani ya asset iliyopo na actually value it has, It's loan are very fast even good for businessmen.
  2. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo hawana wanachama wengi Tanzania Bara, nani anawafadhili? Mbona harakati nyingi? Wanatoa wapi fund?

    Kiukweli huku Bara hawana vichwa kabisa na hata huko Tanzania Visiwani wanatembelea nyota ya maalim Seif (RIP). Nani anawapa nguvu ya kufurukuta hawa ACT Wazalendo?
  3. JamiiForums Tanzania Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

    1. Warangi 2. Wanyaturu 3. Wameru 4. Wamasai 5. Wasukuma 6. Wachagga 7. Wahaya 8. Wanyamwenzi 9. Wapare 10. Wanyakysa
  4. JamiiForums Tanzania Maria Sarungi aishtaki Serikali ya Tanzania kwa Beyonce kuhusu suala la Ngorongoro

    Ni katika muemdelezo wa sakata la wamasai wa Ngorongoro. Bi Maria Sarungi ambaye ndiye mtu namba moja aliesimama kwa hali na mali kuwapigania Wamasai wa Ngorongoro ameamua kuishtaki serikali ya Tanzania kwa Mwanadada Beyonce na mumewe Jay Z. Vita ya uchumi ni mbaya sana.
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania wana mcheza sinema hodari kuliko Rambo ?

    Huyu Mmasai kashiriki move nyingi kuliko Rambo wa First blood. Ni hayo tu kwa leo. Ngongo safarini Kigali 🔭
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mkulima na CCM nani anastahili ruzuku?

    Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi, kumekuwa na utaratibu wa kutoa ruzuku kwa vyama vya siasa. CCM imekuwa ikichukua lion's share. Hapohapo mkulima wa Tanzania anayezalisha chakula hapati ruzuku ya pembejeo. Kati ya mkulima na vyama vya siasa nani anastahili ruzuku?
  7. JamiiForums Tanzania Akiba ya damu Tanzania iliyopo ni chupa 375,000, uhitaji ni chupa 550,000 hadi 600,000

    Jamii imeshauriwa kujitokeza kwa wingi katika zoezi la kuchangia damu kwa lengo la kusaidia jamii yenye uhitaji kwa kuwa kuna upungufu wa damu maeneo mengi yenye uhitaji. Imeelezwa kuwa uhitaji wa damu uliopo Nchini ni kati ya chupa laki tano na nusu mpaka sita huku akiba iliyopo ni chupa laki...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania haina uwekezaji wenye tija kama Mataifa mengine yaliyoendelea

    Ukiangalia mataifa mengine utaona kwamba yamepiga hatua kubwa mno kimaendeleo kutokana na matumizi sahihi ya Rasilimali zao. Botswana na Nchi ya Falme za Kiarabu (UAE) especially Dubai au hata Libya utaona namna uwekezaji sahihi ulivyobadili kabisa maisha ya wananchi toka ufukara mpaka kuwa na...
  9. JamiiForums Tanzania Wakati Ulaya wakikusanya kodi ya miaka 20 iliyopita, Tanzania Samia anauliza miaka iliyopita mlikuwa wapi, msikusanye

    Wakati mwingine unajiuliza kama kiongozi wetu anaelewa anachokifanya ama haelewi chochote kabisa. Juzi rais akiwa Kagera akasema kodi inayopaswa kukusanywa ni ya mwaka mmoja nyuma tu, miaka ya nyuma mamlaka zilikua wapi. Hapo ndio palinifanya kujiuliza kama rais wetu ana ufahamu hata wa sawa na...
  10. JamiiForums Tanzania Maombi Kwa Vodacom Tanzania PLC

    Habari za Usiku mabibi na Mabwana... Niende kwenye Hoja.. VODACOM mmetupatia huduma ya M pesa Visa card aisee mmeturahisishia Usumbufu wa Mabenki ya ndani haswa, ulikua ukienda pale CRDB haki ya mama ukitaka kujiunga Online Banking unatazamwa mara mbili mbili, anachukua card yako anakwambia...
  11. JamiiForums Tanzania Je, unajua kuwa Tanzania wanyama pori wana thamani kubwa kuliko wananchi?

    Habari! Hii siijui niitaje kwa lugha ya kawaida isiyoumiza. Ila facts zitabaki kuwa facts. Tembo , twigs, digidigi , paa n.k wamepewa thamani halisi. Ukiwagonga kwa bahati mbaya utalipishwa kwa thamani yao halisi. Tembo thamani yake iko kama 35 milioni za kitanzania. Huyo tembo akitoroka...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini kwa Tanzania ni kheri uwe Waziri wa Wizara yoyote tu Utaheshimika kuliko ukiwa Makamu wa Rais ambapo Utasahaulika na Kupuuzwa?

    Majibu yenu ni muhimu Kwangu kwani kuna Mtu nasikia analalamika Maagizo yake hayafanyiwi Kazi haraka kama ya Waziri mwenye Wizara ambayo hapo kabla Yeye ndiyo ilikuwa Wizara yake na aliimudu vilivyo kwa Kutubania Fedha Watanzania hadi ikawa Ngumu kuipata ila Yeye na aliyemteua ( sasa kalala...
  13. JamiiForums Tanzania Singida Big Stars tumefuzu Ligi Kuu Tanzania Bara, tupeni ushauri

    Watu wa Soka, Naitwa Hussein Massanza. Ni Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano; Pia Afisa Habari na Msemaji wa Singida Big Stars FC (zamani DTB FC). Timu yetu imefanikiwa kupanda daraja na kufuzu kucheza Ligi Kuu kuanzia msimu ujao wa 2022/2023, hivyo nitumie fursa hii kuwashukuru mashabiki...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya ina uwezo kuitetemesha Tanzania na ikatetemeka?

    Mpaka Bungeni kwetu hata hapa JF Watanzania wanalia kwamba Kenya inahusika na kuingilia mambo yao ya ndani, hilo linasema nini kuhusu nchi ya Kenya kwetu ? Tuseme labda ni kweli Kenya inaingilia mambo ya Tanzania, hii maana yake ni kwamba Kenya ni mkubwa wa Tanzania kwani Tanzania haina uwezo wa...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania yapata Mkopo wa Dola Mil 278 kutoka Benki ya Dunia

    Tanzania imepata Mkopo kwaajili ya miundombinu na huduma bora kupitia mkopo Jumuiya ya Maendeleo ya Kimataifa (IDA*) wa dola za Kimarekani milioni 278 ulioidhinishwa tarehe 13 Jun 2022 na Benki ya Dunia. ==== Tanzania: Seven Million Urban Residents to Access Improved Infrastructure and...
  16. JamiiForums Tanzania UN yatoa tamko sakata la Loliondo, yataka Tanzania kuondoa maafisa wa Polisi Ngorongoro

    Umoja wa mataifa (UN) umeitaka Tanzania kuondoa maafisa wake wa usalama Loliondo ili kukomesha ukiukwaji wa haki za binadamu na unyanyasaji unaodaiwa kufanyika katika eneo hilo ili kuruhusu waandishi wa habari, wanasheria, waangalizi wa haki za binadamu na asasi za kiraia kuingia Loliondo...
  17. JamiiForums Tanzania Call Centre Officer at VisionFund Tanzania Microfinance Bank Ltd

    VisionFund Tanzania Microfinance Bank Ltd (VFT MFB) formerly known as SEDA is a fast growing and reputable Micro Finance Bank (MFB), has a loan book of TZs. 17 billion and 30,000 customer base, more that 5,000 of them being small holder farmers. VFT-MFB is seeking to employ a dynamic and...
  18. JamiiForums Tanzania Personal Assistant at VisionFund Tanzania Microfinance Bank Ltd

    VisionFund Tanzania Microfinance Bank Ltd (VFT MFB) formerly known as SEDA is a fast growing and reputable Micro Finance Bank (MFB), has a loan book of TZs. 17 billion and 30,000 customer base, more that 5,000 of them being small holder farmers. VFT-MFB is seeking to employ a dynamic and...
  19. JamiiForums Tanzania DST: Kwanini Waziri Mwigulu aliipongeza JamiiForums na Mkurugenzi wake?

    Wakuu, Kwa heshima kubwa nachukua nafasi hii kuwashukuru wengi waliotupongeza kwa mchango wetu kutambuliwa na Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango mnamo jana, Juni 14, 2022 wakati Bajeti ikisomwa Bungeni. Asanteni sana. Nini hasa ulikuwa mchango wa JF? JamiiForums ilipata taarifa mapema...
  20. JamiiForums Tanzania The Guardian: Maasai Leaders Arrested to make way for UAE owned Game Reserve!

    Habari ndiyo hiyo, watu wetu wanafukuzwa kwenye Ardhi yao kumpisha Mwarabu awinde, Habari kamili chini hapo. --- Ten Maasai leaders were detained and more than 30 people wounded during violent clashes with police in northern Tanzania on Friday, as they protested against eviction from their land...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…