tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Je, kuna umuhimu wa mapinduzi ya viwanda nchini Tanzania?

    HISTORIA FUPI YA MAPINDUZI YA VIWANDA Nchi nyingi duniani zilizo endelea zimepitia mapinduzi ya viwanda, na mapinduzi hayo yalihusisha hatua, michakato na pia hatima mbalimbali ambazo zilipelekea nchi nyingi barani ulaya kafanya maaumuzi tofouti tofauti ili kukidhi uhitaji wa viwanda ambavyo...
  2. JamiiForums Tanzania Ukweli usiopingika kuhusu Ligi Kuu Tanzania Bara

    Endapo mtu angepata nafasi ya kurudi mwaka 2010 na kuwahadithia wapenzi na mashabiki wa soka la Tanzania kuwa utafika muda ligi kuu Tanzania bara itakuwa kubwa na kuwa na mvuto katika ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati kwamba wachezaji wa ligi kuu ya Uingereza pamoja na Ligi Kuu ya Ufaransa...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu wa Tanzania na ongezeko la wasiokuwa na ajira

    MFUMO WA ELIMU WA TANZANIA NA ONGEZEKO LA WASIOKUWA NA AJIRA UTANGULIZI: Elimu ni ule ujuzi ambao mtu anabaki nao baada ya kusahau yale aliyojifunza shuleni(Albert Einstein). Lakini tukirejelea mfumo wa elimu wa Tanzania haumuandai muhitimu kuja kubaki na ujuzi ambao utakuja kumsaidia hapo...
  4. JamiiForums Tanzania SoC02 Changamoto za mitaala, shule na elimu

    Utangulizi Habari za wakati huu mwana JF. Karibu kwenye makala haya ya kimtazamo yanayoangazia changamoto za mitaala ya shule pamoja na elimu kwa ujumla. Katika hali ya kawaida Msingi wa elimu huanzia shuleni ambapo mwanafunzi huanza akiwa hajui kusoma wala kuandika mpaka kufikia hatua ya juu...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania yaichapa Somalia 1-0 mechi ya kwanza kufuzu CHAN 2023

    Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Somalia katika mchezo wa kuwania Kufuzu Kombe la Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN 2023) kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam, leo Julai 23, 2022. Goli limefungwa na Abdul Hamis Sopu dakika ya 47, ukiwa...
  6. JamiiForums Tanzania SoC02 Ajali za magari barabarani nchini Tanzania na athari zake katika maendeleo

    UTANGULIZI Nchini kwetu Tanzania kwa sasa kumekuwa na mwendelezo wa ajali mbalimbali ikiwemo za magari barabarani, mashuleni kuwepo na ajali za moto ambao vyanzo vyake havifahamiki kwa haraka. Ajali hizi zinaweza kusababishwa na hali ya kimazingira, kiufundi au kibinadamu. Hapa ina maana kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania (JWTZ) vs Kenya (KDF) military power comparison

    Habari zenu wana JF wenzangu. ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu wana JF wenzangu, leo asubuhi mimi na watanzania wenzangu tulikuwa tumealikwa katika birthday ya rafiki yetu mkenya, ambayo imefanyika nyumbani kwake huko Melvin hapa Johannesburg. Kama...
  8. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nafasi ya elimu ya Tanzania katika kuzalisha wataalamu wa Kiswahili duniani

    Kiswahili ni miongoni mwa lugha za kibantu zinazokua kwa kasi barani Afrika na duniani kwa ujamla ikiwa na watumiaji zaidi ya milioni 120 Kama alivyosema Audrey Azoulay " ikiwa na wazungumzaji kati ya milioni 120 na 150 ,lugha ya kiswahili ni moja ya lugha zinazoshamiri kuvuka mipaka ya kule...
  9. JamiiForums Tanzania Uchumi wa Nchi unapodorora kama huu wa Tanzania, lawama ziende kwa Rais au Waziri wa Fedha?

    Sasa ni dhahiri kwamba maisha ya Watanzania yamekuwa magumu kuliko awamu zote zilizopita , familia nyingi sasa zinakula mlo mmoja tu, huku Maharage yakiwa Chakula Muhimu kabisa. Ni kweli kwamba Mambo ya Utekaji, kuokota viroba vya maiti baharini na kwingineko na ubambikaji kesi za uongo...
  10. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania inavyoweza kuondokana na changamoto ya ukosefu wa ajira kwa vijana

    Tanzania ni miongoni mwa nchi duniani ambayo imekuwa na changamoto ya vijana kukosa ajira mara baada ya kuhitimu masomo. Kumekuwa na mitazamo mingi juu ya tatizo hili ambapo wengine wamefikia hatua ya kusema ni bomu linalojiandaa kulipuka. Kwa vyovyote vile kuna haja ya kulipa kipaumbele suala...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia fanya hili ili ukali wa gharama za maisha uwe historia Tanzania

    Tanzania tuna hifadhi ya gesi iliyofikia ujazo wa Trilion 57 cubic f. Kwa mujibu wa hotuba ya Rais wakati wa kusaini mkataba wa kwanza wa uwekezaji wa Gesi baina ya Serikali na wawekezaji kuna vitalu takribani 28 vya gesi bado havijafanyiwa utafiti jambo ambalo endapo litafanyika linaweza...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi Wachumi nchi hii wapo?

    Tunavyo vyama vya kitaalam mpaka kwenye taaluma ambazo ki ukweli hazina impact kiville, lakini wapo. Kuna chama cha wahasibu Chama cha wanasheria Chama cha waalimu Chama cha madaktari Chama cha wauguzi Ila kinachonishangaza ni kuwa taaluma muhimu kama WACHUMI sijasikia kama wana umoja wao na...
  13. JamiiForums Tanzania Client Service Manager at CVPeople Tanzania

    Job Overview Client Service Manager CVPeople Tanzania | Full time Dar es salaam, Tanzania Job Description Developing growth strategies and plans. Managing and retaining relationships with existing clients. Work closely with the operations team and achieving client’s vision. Increasing client...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania ndio nchi yenye mzigo mdogo wa deni Afrika Mashariki kwa sasa

    Wale wanaopiga kelele kwamba Tanzania tunakopa na tumekopa Sana msikilize huyu Mwamba vizuri ndio utaelewa kwanini Mungu alimleta Rais Samia wakati huu, Mkuu wa mkoa wa Simiyu akihojiwa na kituo cha redio cha E-FM amedadavua kwa undani Sana swala hili la deni la Taifa, RC Kafulila anasema...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Kenya tumeweka ruzuku kwenye mafuta. Rais Museveni asema hiyo haisaidii yeye ataka Magari ya Umeme

    Wakati Tanzania tunapata unafuu wa Bei za mafuta kupitia ruzuku lakini Rais Museveni wa Uganda amesema ruzuku haisaidii lolote. Uganda wameanza Mfumo wa kuyabadili magari yaanze kutumia Umeme. Rais Museveni alikuwa akichangia nada kwenye kikao cha wakuu wa nchi za EA. Chanzo: ITV Habari
  16. JamiiForums Tanzania Kwa zaidi ya miaka 60 Tanzania haijawahi kutenga bajeti ya TZS 985Bl kwa ajili ya Elimu wala kuisamehe HESLB TZS 1.1 Trl ni Rais Samia tu 2025

    KASI YA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA ELIMU, CCM YATOA NENO KWA RAIS SAMIA KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema uwekezaji mkubwa uliofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika sekta ya elimu, unaendelea kutoa matunda mazuri katika sekta hiyo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kama unafanya kazi na hujawahi kuona tajiri ndani ya Tanzania achana nayo haraka tafuta kazi nyingine

    Ni kweli kabisa sifa na utu wa mtu upo kwenye kufanya kazi, lakini si kweli kila kazi inalipa , kazi nyingine zinakupotezea muda tu. Kila kazi unayoifanya jitahidi sana kuifanyia tathimini inakupa nini kwenye maisha yako. Je, inakupa pesa inayoendana na kasi na mabadiliko ya maisha duniani na...
  18. JamiiForums Tanzania Ukikuta bidhaa ya Tanzania nchini Kenya inakuwa imelipiwa ushuru mkubwa sana

    Ukikuta bidhaa ya Tanzania nchini Kenya inakuwa imelipiwa ushuru mkubwa sana ama wakati mwingine biashara za Tanzania zinazuiwa kabisa Kenya, ni kwa nini? Kwa anaejua sababu tafadhali
  19. JamiiForums Tanzania Waliopata chanjo ya UVIKO-19 Tanzania wafikia milioni 11

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu akizungumza mkoani Tanga wakati akifungua kikao cha viongozi wa Dini pamoja na wadau wengine maendeleo kujadili mambo mbalimbali ikiwemo mikakati ya uhamasishaji na elimu kuhusu chanjo ya UVIKO 19 amesema zaidi ya Watanzania Milioni 11 wamepata chanjo ya UVIKO 19...
  20. JamiiForums Tanzania Natamani Mdahalo wa Wagombea Wenza wa Urais Kenya ungetokea Kwa Tanzania mwaka 2015 au 2025 ili tujue Ugoigoi wa Watu

    Kwa mliobahatika Kuutizama Jana mtakubaliana nami kuwa. 1. Wagombea Wenza wana Akili sana kiasi kwamba wanashawishi kuwa wakiwa Ikulu watakuwa Msaada mkubwa Kwa Mabosi zao (Marais) 2. Wagombea Wenza wamechujwa Kweli katika Vyama vyao husika na siyo tu wa Kukurupushwa Kiuhuruma au Kiupendeleo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…