tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Je Unaifahamu timu ya kwanza Tanzania kuanzia Second Round michuano ya CAF

    NI DAR ES SALAAM YOUNG AFRICANS KLABU BINGWA BARANI AFRIKA ( Champions' Cup 1975) NI timu nne tu Afrika nzima zilianzia second round ambazo ni CARA Brazzaville ya CONGO BRAZAVILLE AS Forces Armées (Dakar) ya SENEGAL Mehalla Al-Kubra ya MISRI Young Africans ya TANZANIA Yanga ilianza...
  2. JamiiForums Tanzania Dawa ya Vumbi la Kongo 'hensha' yapigwa marufuku Tanzania

    Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala Tanzania, limepiga marufuku matumizi ya dawa aina ya Hensha maarufu kama Mkongo kwa binadamu, na kwamba tayari limekwishaifutia usajili baada ya kubaini imechanganywa na dawa za kuongeza nguvu za kiume (Viagra). Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba...
  3. F

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kujitegemea Vijana kiuchumi

    KIJANA mwenye ndoto za kuwa na maisha bora huonekana kwa namna mbali mbali akijituma,kujishughulisha na kutumia mda wake mwingi kwa asilimia kubwa kuzalisha fedha ili aweze kutimiza malengo na mipango anayotamani kuwa nayo ili kuuoa moyo wake kile kitu unahitaji.(vijana wa namna hii huwa Ni...
  4. JamiiForums Tanzania SoC02 Acheni kutusimanga sisi wasomi wa Tanzania

    Sio kwa nia mbaya ila ni ukweli kuwa kwa miaka ya hivi karibuni imezuka kasumba ya kila mtu anayetaka hoja zake kuhusu maendeleo zisikilizwe basi lazima awaseme vibaya wasomi wa nchi (Tanzania) na kubeza kabisa mfumo wa elimu yetu. Kama wasomi hatukatai kukosolewa lakini kwa sasa watu...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania railway corporation (TRC) kitengo chenu cha IT kinachanganya wateja (wasafiri)

    Kitengo cha IT kinacho shungulika na kuratibu mambo ya kuweka ratiba za train kutoka sehemu moja kwenda nyingine kimekuwa mwiba(kichomi) kwa wateja ambao wanatumia website za TRC kupata hudumu za tiketi. Kwanza kabisa kumekua na tatizo la usumbufu wa Internet katika website zao yaani kupata...
  6. JamiiForums Tanzania SoC02 Afya ya akili kwa Vijana

    Habari ndugu zangu mliomo humu. Ningependa leo tutafakari kwa pamoja kuhusu hili suala la "Afya ya akili kwa vijana". Tuanze na kujiuliza kuwa; Kijana ni nani? Na kwanini afya yake ya akili iathirike zaidi kuliko kundi lingine? Si kwamba watu wazima afya zao za akili haziathiriki, la hasha, ila...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Ufunguo wa maendeleo kwa Tanzania

    Awali ya yote nitoe pongezi kwa jf kwa kuandaa jukwaa hili mbali na kupata zawadi lakini itatoa nafasi ya watu kutoa mawazo ambayo yanaweza kutumiwa katika MAENDELEO ya nchi. Dhana ya maendeleo ni haya mabadiko chanya katika hali ya maisha ya wawatu. Nchi yetu inasua kwenye maendeleo kutokana...
  8. JamiiForums Tanzania SoC02 Mazao Mkakati Tanzania

    Mazao mkakati ni mjumuhisho wa mazao ambayo uzalishaji wake umekua hafifu"mdogo" kulingana na huitaji wake sokoni yanaweza kua ya chakula au biashara. Hivyo serikali kuandaa mikakaati kwaajili ya kukuza na kuamasisha uzalishaji wake. Mfano; pamba, korosho, chai, karafuu, mkonge, michikichi na...
  9. JamiiForums Tanzania SoC02 Sheria Kandamizi zinavyo wabana Wanafunzi vyuo vikuu Tanzania

    sheria kandamizi zinavyo wabana wanafunzi wa vyuo vikuu kujihusisha na masuala ya kisiasa pindi wanapokuwa katika masomo yao Sheria zilipo zinazatoa muongozo kwa wanafunzi kujihusisha na masuala ya kisiasa pindi kunapokuwa na uchaguzi wa nafasi mbalimbali katika ngazi ya uongozi ambao hutoa...
  10. JamiiForums Tanzania Royal Tour Tanzania inavyozidi kuzaa matunda

    Kundi la Watalii zaidi ya 60 linalojumuisha Madaktari na Wanasheria kutoka Nchini Marekani leo tarehe 26 Julai 2022,wamewasili eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kwa ajili ya kutembelea Vivutio mbalimbali vilivyoko katika hifadhi hiyo. Wageni hao ambao wanaendelea kutembelea vivutio mbalimbali vya...
  11. JamiiForums Tanzania SoC02 Kilimo kama suluhu kwa changamoto ya ajira kwa vijana, wahitimu wa Vyuo Vikuu na Vyuo vya Kati Tanzania

    Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, Zaidi ya asilimia 77 ya wakazi wa Tanzania ni vijana. Serikali ya Tanzania imezidi kupanua wigo kwa vijana kupata elimu, kwa kutoa elimu bila malipo kuanzia kidato cha kwanza hadi kidato cha sita. Pia imewawezesha wahitimu kuendelea na elimu...
  12. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ukombozi wa vijana kutoka kwenye wimbi la matumizi ya Vileo na Dawa za Kulevya Tanzania

    UKOMBOZI WA WATOTO NA VIJANA KUTOKA KWENYE WIMBI LA MATUMIZI YA VILEO NA MADAWA YA KULEVYA NCHINI TANZANIA. Nchi yetu ya Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo vijana wake wengi kila kukicha wanajiingiza kwenye wimbi kubwa la matumizi ya vilevi kama vile pombe, ugoro, bangi na madawa mengine ya...
  13. JamiiForums Tanzania Balozi Caroline Kitana Chipeta ateuliwa kuwa Balozi wa Tanzania, The Hague

    Balozi Caroline Kitana Chipeta ameteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania, The Hague nchini Uholanzi Balozi Chipeta alikuwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria, Wizara ya Mambo ya Nje
  14. JamiiForums Tanzania Kero: RITA mna matatizo gani?

    Habari wana JF, Naandika uzi huu ili kuelezea kero zangu na wengine wengi kuhusu RITA kama kuna wahusika humu walifanyie kazi. Natoa kero hizi leo Tarehe 26-Julai-2022 1. Kero ya Kwanza: Namba ya Huduma kwa wateja ni BUTU. Namba ya Huduma kwa wateja ya RITA haifanyi kazi, yaani ukipiga...
  15. JamiiForums Tanzania Uganda sasa wanazalisha mafuta ya maparachichi. Je, Tanzania tunakwama wapi?

    Ukiangalia katika ubunifu na technologia bado tuko nyuma sana. Kifupi tunamatatizo mengi kuliko majibu (ufumbuzi) Parachichi tulikua tunalima miaka yote mi tangu mtoto!!!..lakini bado tumelala
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nchi ya Oman yaikana meli iliyopitia Tanzania kuleta gesi Kenya

    Ni hivi, meli imeandikisha kwamba imetoa gesi Oman, kisha ikashusha Tanzania, na kawaida Watanzania walivyo, wakapokea freshi kichwa kichwa tu bila umakini au ukaguzi, hiyo gesi inapitishwa mpakani na kuletwa Kenya, sasa Oman wametoa tahadhari na kusema hiyo meli haikutoka kwao na hiyo gesi sio...
  17. JamiiForums Tanzania How TICTS became a barrier to Horticulture's Industry in Tanzania?

    The terrible performance of TICTS in handling containers at the Dar es Salaam Port over the past 20 years has spillover effects on the vast economic arrays of Tanzania’s economy. The underperformance of the Dar es Salaam port has cost the government trillions in loss of revenues as there has...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Shule zinazofundisha mitaala ya kimataifa (International Schools in Tanzania)

    Habari za majukumu ndugu wanajamiiforums, Naomba kuuliza kwa mwenye ufahamu kuhusu utofauti wa IB na IGCSEs na GCSEs zinazotolewa na Shule zinafundisha mitaala za kimataifa hapa nchini. Na kipi ni kizuri zaidi kwani nataka nimpeleke mtoto kwenye hizo. Mfano. Nimena Iringa International...
  19. JamiiForums Tanzania Anguko la Rais Samia Suluhu Hassan lipo mikononi mwetu, tusimuangushe, tupambane kwa pamoja kukuza uchumi wetu kwa kuchapa kazi

    Habari za wakati huu enyi walimwengu wa Karne ya mwisho wa dunia, mliopo katika ardhi yenye baraka ya Tanzania, na hata msiokuwa Tanzania. Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Awali ya yote nipende kukushukuru wewe unayesoma makala hii kwa kutenga muda wako ili uweze...
  20. JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais ajiuzulu, uchaguzi uitishwe

    Kwa mambo yanayoendelea hapa nchini kwa sasa, Ni wazi kwamba wananchi hawana tena imani chini ya uongozi wa awamu hii ya sita. Kila unapoenda ni lawama na hali ya kutoridhika na utendaji wa serikali. Mambo haya yamekuwa yakilalamikiwa sana. 1: Uchumi wa Tanzania Umeporomoka. Laiti kama uongozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…