tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. G

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi huduma za maktaba zinavyoweza kuinua hali ya maisha ya wa Tanzania

    Maktaba ni jengo au sehem yenye mkusanyiko wa vitabu majarida magazeti, tamani, kumbukumu mbalimbali nk vilivyopo kwenye mfumo wa ki electroniki au vilivyochapwa(printed), vyenye tarifa zinazo elimisha na kuburudisha maktaba huwa na rasilimali za kiada na ziada. Kuna aina tofauti za maktaba...
  2. JamiiForums Tanzania SoC02 Mapinduzi ya Tatu ya Internet (Web 3) na Fursa Zake kwa Kijana wa KiTanzania

    Vijana wengi tunapenda kutumia internet kufanya mambo yetu mbali mbali ikiwemo, kuperuzi katika mitandao mbali mbali ya kijamii, kutumiana jumbe, kuangalia video na pia kujifunza vitu mbali pia kujiburudisha kwa kucheza michezo mbali mbali inayopatikana mitandaoni maarufu kama games. Lakini je...
  3. JamiiForums Tanzania SoC02 Kipi kipewe kipaumbele kati ya Elimu-Taaluma na Elimu- Ufundi hapa Tanzania?

    UTANGULIZI Elimu ni njia utumiwayo na jamii kusambaza maarifa, ujuzi, mitazamo na maendeleo. Elimu hutolewa kwa njia kuu mbili, elimu rasmi ( itolewayo shuleni kwa miongozo maalumu) na Elimu isiyokuwa rasmi ( hutolewa nje ya darasa ( pasipo kufuata miongozo maalumu) Hapa Tanzania, elimu...
  4. JamiiForums Tanzania CAF huenda wakaikataa Jezi Majengo, Vifusi, Minara na Machinjio ya Vingunguti ya Klabu Moja Tanzania

    Jezi za Klabu Bingwa na Shirikisho zonatakiwa ziwe na Uhalisia wa Soka ( Mpira ) tu na siyo kuwa na Jezi zenye Picha za Vifusi, Maghorofa na Machinjio ya Vingunguti. Kuna Timu Moja hapa Tanzania ( siyo Simba SC ) inaweza Kucheza Kifua Wazi ( Kidali Po ) Mechi zake za Klabu Bingwa Afrika ( hatua...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania; Kama Mwanamke hajawahi fika Ukanda wa Pwani ni hakika Hajui Kupika chakula kitamu

    Kwema Wakuu! Kuna watu watabisha Kwa ubishi wao tuu lakini kimsingi na kitaalumuna unapozungumzia mapishi Kwa nchi yetu basi hapo utakuwa unazungumzia ukanda wa Pwani. Kama unaishi maisha ya kawaida Kurudi ufukara na hujawahi kuishi Maeneo ya Pwani na hapa nazungumzia DAR es salaam, Pwani...
  6. JamiiForums Tanzania Mtu kuwa Vice Chancellor wa Vyuo Vikuu 2 kwa wakati mmoja ni Tanzania pekee au na kwingine ipo?

    Bila kuchoshana,someni wenyewe👇 ''Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Dk Stergomena Tax amemteua Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe Profesa Lughano Kusiluka kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma.''
  7. JamiiForums Tanzania Hali ya vyama vya Siasa Tanzania katika Picha

    Toa maoni yako kuhusu tafsiri ya Mchoro huu
  8. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina watumishi wengi wenye upeo na maarifa madogo sana

    Watumishi wengi ni watu wenye maarifa na upeo mdogo sana! Wakati tangazo la nyongeza ya mishahara linatoka mimi Fumadilu Kalimanzila niliandika humu JF nikawaeleza kuwa Tanzania haina uwezo wa kuhimili nyongeza ya mishahara ya 23.3%! Nilishambuliwa sana humu. Leo mtu amekuta ameongezewa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Elimu ya tanzania ni kweli inamuaanda mwanafunzi kupambana na soko la ajira

    Soko la ajira limekuwa gumu sana watanzania wengi hushindwa kustahimili soko la ajira na kupelekea ongeza la watanzania wengi wanaomaliza vyuo kwenye ngazi mbalimbali za elimu kukosa ajira na wenye sifa mbalimbali muhimu kwenye jamii na maendeleo ya nchi . Je changamoto ipo wapi ambayo inafanya...
  10. U

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania na changamoto za ukuaji wa viwanda vidogo vidogo

    Viwanda vidogo vidogo ni miongoni mwa sekta muhimu ambazo zinasaidia saaana kutatua changamoto za uhaba wa ajira na kukuza uchumi wa mtanzania mtu mmoja mmoja. Mfano wa viwanda hivyo ni kama uselemala, ufundi kushona na vingine vingi. Viwanda hivi vidogo kama endapo vikawekewa mikakati ya...
  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA wanachukia maendeleo ya Tanzania?

    Mara kadhaa imesemwa na CCM kwamba CHADEMA hupinga kila kitu/jambo linalofanywa na serikali inayoongozwa na CCM. Ina maana CHADEMA hawataki nchi yetu ipate maendeleo? Na ni kweli pia kwamba huwa wanapinga kila kitu kinachofanywa na serikali inayoongozwa na CCM?
  12. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi Tanzania inavyoweza kujikwamua kiuchumi licha ya kuwepo kwa changamoto za uchumi zilizosababishwa na UVIKO -19 na vita kati ya Urusi na Ukraine

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizoathiriwa na janga la UVIKO-19 pamoja na vita kati ya Urusi na Ukraine katika Nyanja ya uchumi wa mtu mmoja mmoja na uchumi wa taifa kwa ujumla. Majanga haya yamesababisha kuwepo kwa mfumuko wa bei za vyakula ,ongezeko katika bei ya mafuta na gesi pia kupungua...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Mama yangu Tanzania -sensa 2022

    Ni rushwa, ufisadi na upendeleo wa kutisha. Behold! Behold! Tazama! Tazama! Na. 164. Tabitha Nyansika Getama karani wa sensa kata ya kivule wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar Es Salaam ~ mtoto wa Diwani wa kata ya kivule. Na. 174. Yusuph Nyansika Getama karani wa sensa kata ya kivule wilaya ya Ilala...
  14. JamiiForums Tanzania Mwogeleaji wa Tanzania Collins Philip Saliboko akiwa katika mazoezi makali

    Mwogeleaji wa Tanzania, Collins Philip Saliboko akiwa katika mazoezi makali kujiandaa na mchuano wa Michezo ya Jumuiya ya Madola Jijini Birmingham. Collins, mwenye umri wa miaka 21, anaingia katika ushindani kesho Julai 29, 2022 katika ngwe ya mita 50 Butterfly. Keshokutwa Collins ataingia...
  15. JamiiForums Tanzania Mabondia wawili wa Tanzania Yusuf Changarawe na Kassim Mbundwike wameingia robo fainali za mchezo ya Jumuiya ya Madola

    Mabondia wawili wa Tanzania Yusuf Changarawe na Kassim Mbundwike wameingia robo fainali za mchezo ya Jumuiya ya Madola inayoanza rasmi leo jijini Birmingham, Uingereza. Bondia wa tatu wa Tanzania, Alex Isinde sio tu ataanzia mzunguko wa kwanza bali pia atakuwa ndiye Mtanzania wa kwanza kutupa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania haipo katika nchi kumi tajiri Afrika, tumezidiwa hata na Sudan na Kenya

    Kwa mujibu wa ripoti ya IMF Tanzania haipo katika nchi tajiri barani Afrika. Kweli Tanzania ni ya kuzidiwa hata na Sudan wanaoshika nafasi ya 10 huku Kenya ikishika nafasi ya 7. Hii ni aibu Watanzania tujitafakari hili suala halikubaliki kwa nchi yenye rasirimali nyingi kama Tanzania.
  17. JamiiForums Tanzania Wakati tukidanganywa kuwa Maambukizi ya 'VVU' yamepungua nchini, UN yasema sasa Maambukizi ya VVU ni Makubwa mno duniani

    Umoja wa Mataifa (UN) imesema kuwa kuna Ongezeko Kubwa sana na la Kutisha la Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (Dally Kimoko) duniani kuliko awali huku Waathirika Wakubwa wakiwa ni Wasichana na Wanawake. Taarifa: BBC Swahili Mwaka jana zaidi ya mara Mbili hapa hapa JamiiForums GENTAMYCINE...
  18. JamiiForums Tanzania Aibu, Ghana ilijenga Pokuase flyover kwa dola 94M wakati Tanzania imejenga daraja la Kijazi kwa dola 100M. Wote walitumia mikopo. Fananisha picha

    Hii hapa Pakuase flyover. Na hili hapa daraja la Kijazi Nadhani wote tunaweza kuelewa tatizo letu lilipo.
  19. J

    JamiiForums Tanzania Tafiti zinaonesha Takwimu zenye ubora huchangia GDP kwa zaidi 1.5% Usiache kuhesabiwa 23|08|2022

    [ ] " Tafiti zinaonesha upatikanaji na matumizi ya takwimu zenye ubora huchangia mpaka asilimia 1.5% ya pato la Taifa( GDP), Hii inaonesha umuhimu wa kazi mliyopewa kwani takwimu za sensa Agosti23, 2022 ndio zitatumika kuandaa Dira ya Pili ya Taifa ya 2025-2050 baada ya kumalizika Dira ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania RC Kafulila: Rais Samia anatupitisha njia ile ile ya Korea na Vietnam, tulikuwa nao sambamba kiuchumi miaka ya 1990's walituacha sasa tunawashika

    RAIS SAMIA ANAVYOIVUTIA KASI VIETNAM, KOREA KIMAENDELEO, Mhe Mkuu wa Mkoa wa Simiyu David Kafulila anasema, Ujenzi wa Chuo cha VETA Simiyu ni moja kati ya vyuo 25 anavyojenga Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, nchi nzima kuanzia mwaka jana, Mhe Rais anatujengea jumla ya majengo 25 na sasa tupo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…