tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Hongereni Uhamiaji Tanzania kwa 'Kutowabughudhi' Wamalawi (hasa Wanawake) wanaoingia 'Kiholela' Tanzania

    Binafsi kama GENTAMYCINE nichukue Nafasi hii Kuwapongezeni kwa dhati kabisa UHAMIAJI Tanzania kwa Kuruhusu Wananchi wa Malawi (hasa Wanawake) Kuingia kwa Uwingi na Kiholela nchini Tanzania ( mhasa Mkoa wa Wajanja) wa Dar es Salaam. Sababu Kubwa inayonipelekea GENTAMYCINE Kufurahia hili ni...
  2. JamiiForums Tanzania China yasamehe baadhi ya madeni ya Tanzania

    Ikiwa ni mwendelezo wa ziara ya kiserikali ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan nchini China. Leo tarehe 03 Novemba 2022, China imesamehe baadhi ya madeni ya Tanzania. Sambamba na hilo; Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa China Xi Jinping...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania China na Tanzania siyo tu marafiki bali ni ndugu wa damu

    Hakika kama urafiki unapaswa kuhalalishwa kuwa ndugu basi Chini siyo tu raifiki yetu bali ni ndugu yetu wa damu tangu enzi. Chini kihistoria ni mjamaa mwenzetu wa enzi na enzi. wasiojua historia ndiyo watashangaa, lakini China siyo tu rafiki yetu bali ni ndugu yetu wa damu. Mungu ubariki udugu...
  4. JamiiForums Tanzania UNICEF, Tanzania, Kosa si Kosa Bali Kosa Kurudia Kosa

    Mnamo 18/10/2022 UNICEF Tanzania iliingia mkataba na Yanga SC wenye lengo la kuunga mkono jitihada za Serikali kupambana na magonjwa ya COVID 19 na Ebola. Mkataba huo ulianza kutekelezwa siku 5 kabla ya mechi ya jana dhidi ya Club Africain ambapo, UNICEF Tanzania walinunua tiketi 10,000 za...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kwa ushabiki huu uliopindukia Tanzania inaweza 'kutoboa' kisiasa na kiuchumi?

    Maendeleo ya nchi yoyote hutegemea human resource au rasilimari watu kwanza, aridhi na mitaji, ila kwa Tanzania naona kuna ukakasi mkubwa katika rasilimari watu ya nchi hii. Sometime na jiuliza who is behind kwa hu uchizi wa watanzania wa arika zote kua na ushabiki ulio pindukia, kuna mkono wa...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi wa Tanzania hawawajibiki kwa uzembe wao ila wenzetu wanakubali kuwajibika kwa tatizo ambalo siyo lao?

    Tatizo la maji hakuna hata Kiongozi mmoja aliyewajibika. Yuri Vitrenko ameripotiwa kujiuzulu kama Mkurugenzi Mtendaji wa Naftogaz wakati Ukraine ikikabiliwa na shida kubwa ya nishati. Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya mafuta na gesi ya Ukraine ya Naftogaz, Yuri Vitrenko, amejiuzulu, vyombo...
  7. JamiiForums Tanzania Ripoti: Tanzania yaongoza kwa idadi ya Nyati Afrika

    Wanyamapori wa aina 46 tofauti wameongezeka katika mfumo wa ikolojia ya Ruaha – Rungwa na Katavi – Rukwa baada ya kudhibitiwa kwa matukio ya ujangili. Takwimu hizo zimebainishwa katika ripoti ya sensa ya wanyamapori ambayo imefanywa na Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (Tawiri) kuanzia Septemba...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kuwa nayo ili uendeshe kampuni yenye faida,tija na ufanisi hapa Tanzania

    Habari wana jukwaa hili. Naomba kujua ni mambo gani ambayo unapaswa kuyaeka sawa kwa wakati wa mwanzo kabisa wa kuanzisha biashara(Yenye mfumo wa kampuni), ili iweze kuleata tija, faida na uendelevu kwa miaka ijayo mbele. Hili nikimaanisha namna ya kuandaa hesabu zako kwa ajili ya kodi...
  9. JamiiForums Tanzania Majina ya Wabunge feki wa Bunge la Tanzania wanaojiita CHADEMA. Watunga sheria hewa

    Kuna Wangu wanajiita ni Wabunge wa Chadema ambao chadema haiwatambui. Wabunge hao wanaotakiwa kutimuliwa bungeni ni Halima Mdee, Esther Matiko, Grace Tendega, Cecilia Pareso, Ester Bulaya, Agnes Lambart, Nusrat Hanje, Jesca Kishoa na Hawa Mwaifunga. Wengine ni Tunza Malapo, Asia Mohammed...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa haya mambo 2 natangaza rasmi kuunga mkono January Makamba kukamata kijiti kuongoza Tanzania kuanzia 2030

    Dunia inakabiliwa na changamoto kuu mbili sasa; 1. Uharibifu wa Mazingira 2. Kujenga uchumi imara katika mazingira magumu Kwa kuangalia kuanzia mwaka 2030 sioni mwanasiasa mwenye upeo wa kuiongoza Tanzania kupita kwenye changamoto hizi na kushinda zaidi ya January Makamba. Kwanini January...
  11. JamiiForums Tanzania Job vanacy - Finance officer at Ecoact Tanzania LTD

    FINANCE OFFICER JOB VACANCY About EcoAct Tanzania Limited EcoAct Tanzania Limited is a social enterprise established to address the challenges of post consumer plastic pollution, waste management, deforestation, and climate change. We recycle and transform plastic wastes to manufacture...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume (baadhi) wa Tanzania kufurahia Sensa, Low IQ!

    Majibu ya Sensa yameonyesha kwamba Wanawake ni wengi zaidi kuliko Wanaume, baadhi ya Wanaume wanaona ni jambo zuri kwao, lakini ni wajinga kwani wasichokijua ni kwamba Wanaume ni wachache kuliko Wanawake kwa sababu Wanaume wanakufa mapema kuliko Wanawake, Kibaologia uwiano kati ya Wanawake na...
  13. JamiiForums Tanzania Siasa ndiyo chanzo kikuu cha shida ya Umeme na Maji Tanzania

    UHABA WA MAJI KUPELEKEA MGAWO MPYA WA UMEME? Kwa wale wasiofahamu, uhaba wa maji nchini unaodaiwa kutokana na ukame uliosababishwa na ukosefu wa mvua kwa muda mrefu (mabadiliko ya Tabia ya nchi), una madhara ya moja kwa moja kwenye upatikanaji wa umeme hapa nchini. Hii ni kutokana na maji kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Idadi ya watu Tanzania inavutia maoni ya Serikali ya majimbo

    Matokeo ya Sensa 2022 inaonyesha kuwa idadi ya watu wa Zanzibar ni 3.06% tu ya watu wote wa Tanzania. Idadi hii ni ndogo sana kulinganisha na idadi ya watu kwenye baadhi ya mikoa ya bara. Takwimu hizi zinaonyesha namna muundo wa serikali yetu unavyotakiwa kubadilika kuwa wa kimajimbo ili...
  15. JamiiForums Tanzania Rostam ni Mfalme na mwamba hapa Tanzania

    Sasa Taifa gesi wanakwenda kuwa provider wa energy kwa kila mtanzania masikini na Tajiri. Ila tuwe positive jamani Rostam ni mwamba yeye anafit kwa kila Rais. Sasa wizara nzima ya Nishati ni Rostam. Rostam oyee. Tujifunze kwa huyu mwamba. Tuna kitu cha kujifunza kwa Rostam Aziz. Binafsi...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania watu zaidi ya milioni 40 hawana makazi yao ya kuishi

    Kiwango cha umasikini na sera ya nchi ya kumiliki ardhi na viwanja ni changamoto kubwa sana! Ukiacha watoto inaonyesha kuwa watu MILLION 40 MPAKA 45 hawana makazi, tatizo ni nini? Sera ya nchi ya kuhakikisha wananchi wanakuwa na makazi salama inaharibiwa na utaratibu mbovu wa watu kumiliki...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Majiji ya Mbeya na Arusha hayako kwenye top 10 ya idadi kubwa ya watu, yalipataje hadhi ya kuitwa majiji?

    Taarifa zilizotolewa jana na Tume ya Takwimu Tanzania imeonyesha mikoa yenye watu wengi Tanzania, kuanzia mkoa namba moja hadi namba ya mwisho kwa idadi. Katika orodha hiyo, majiji yetu ya Mbeya na Arusha hayako hata kwenye top 10. Mkoa wa mwisho wa idadi kubwa ya watu ni kina Mura, Mara Swali...
  18. JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania kusambaza huduma ya M-PESA nchi za SADC

    Watumiaji walio na M-Pesa ya Vodacom sasa wataweza kutuma na kupokea pesa kwa urahisi kwa nchi nane mpya zilizo na Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (Sadc), kutokana na upanuzi wa jalada la mfumo wa uhamishaji pesa wa kimataifa (IMT). Nchi mpya zitakazotumika katika upanuzi huo ni...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais wa Tanzania nchini China ni ishara ya kuimarika kwa uhusiano kati ya nchi hizo mbili

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Mambo ya China ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Humphrey Moshi amesema, ziara ya rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan nchini China itaimarisha uhusiano kati ya nchi hizo mbili. Profesa Moshi amesema, ziara ya rais Samia nchini China si kama tu ni...
  20. JamiiForums Tanzania INSYUKA ni movie bora sana kuwahi kuigizwa na wasanii wa Tanzania haina mpinzani

    Hi movie ilitakiwa ipewe heshima yake katika ulimwengu wa sanaa kwa namna bora ya uigizaji na namna ilivyoweza kuleta muamko mkubwa ndani na nje ya tasnia ya bongo movies. Nadhani hio ndio ilikuwa turning point ya bongo movies. Sidhani kama itakuja kuwa na mpinzani labda kwa baadae sana. Kudos...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…